Kwa sura naweza kusema hapana
ila matendo yanaweza kuwa yanafanana fanana na huyo mdudu
Si unajua tena
ila sijakuoffend lakini mkuu
Duh! Matendo yangu yanafanana na nzi?! Ngoja nianze kujifanyia utafiti!!
Husijali mzee...I see no offence!
Ahsante Nzi ila we unasema tu kwasababu hujaiona!!
okay, ni nzuri
japo mie napenda resources kama maji, mafuta na aina hiyo
Binti una vituko wewe....lol... Haya ukimaliza come brag a bit!
Hahahahah mkuu hebu jichunguze uangalie kama hayafanani
Maana unaweza kuta ni copyright kabisa na huyo mdudu
Hata kusafiri unasafiri bure kwenye daladala eti madai yako umesahaulika na konda
Au unaingia popote bila hata kubisha hodi au kuulizwa
"Nzi anapenda kukaa mahala pachafu na mahala penye utamu".
Nadhani huo ndio uwe msingi wa tathmini yangu.
Nimekuona misssun90!! You know what I mean!!
Najisifia kwa kuacha kula nyama, mwaka wa pili sasa nawapenda wanyama
LOH!!
REPORT ABUSE. . . REPORT ABUSE. . REPORT ABUSE!!
Ngoja nimpigie PAW.
Oooppss. Did I violate any JF rule?
Por favor, discúlpeme
AMEN dearest, you help me with my problems and i will be the best....that i promise.....you are a great lady too and thats why i gave you the job to do....God Bless you more dear....pamoja saaaaaaaaaaaaaana mpaka kieleweke....!
Braging at its snobbiest height! lolSilence is golden.... endeleeni tu..
Nimekuona misssun90!! You know what I mean!!
LOH!!
REPORT ABUSE. . . REPORT ABUSE. . REPORT ABUSE!!
Ngoja nimpigie PAW.
Hehehe! And I can rhyme with you too, aint that something really?!
Kwa maelezo haya you are right dear...lol.... Impressive kwa kweli, impressive kabisa! Haka kabinti kalitaka kawe kadogo kangu, in the sense amwite Sweetie shem, nikaona kua na such kind of mdogo, hapana ni bora awe niece ili nibanane nae kwa fimbo! lol
Do you know what rhymes with witch?