Binafsi siku nikiingia JF nikakuta misukule ya ccm kama
MwanaDiwani,
ZeMarcopolo,
Boko haram,
assadsyria3,
Chilisosi na wengine wameacha kuwashambulia
Dr.W.Slaa na kamanda Mbowe na wameanza kuwasifia basi siku hiyo narudisha kadi ya Chadema kwakuwa itakuwa ni dhahiri kuwa viongozi wangu wametusaliti watanzania.
Lakini hizi kelele zinazopigwa hapa ni salamu tosha kuwa hao makamanda ndio kitisho kikuu kwa uhai wa ccm kwahiyo wanalazimika kukesha mitandaoni ili kujaribu kuchafua watu wakidhani watanusurika na maziko yao mwaka 2015.
Nawaona malaika wa shetani ccm wamejazana kwenye thread hii wakijaribu kutafuta mawindo wampelekee anayewaweka mjini!