Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

vijana wapewe zaidi nafasi wazee wabaki tu km washauri kwani wameshazeeka na haifai kung'ang'ania madaraka mwishoe unaharibu

naona huu ujumbe hata ccm unawafaa pia, au unafikisha ujumbe kupitia cdm? au we polisi nini unalalamika wazee kupandishwa cheo?
 
Hivi Ujerumani walienda kufanya nini?


Mbona hakuna Tamko baada ya safari?
kwahiyo busara yako inakutuma kuwa alitakiwa kutoa tamko baada ya kurudi???
Dr. Slaa yuko makini sana hakurupuki hata siku moja..!
Wanachadema tunajua alichoenda kufanya, wewe na "UVCCM" wenzako nendeni lumumba mkaulize mrejesho wa safari zake za ughaibuni..
 
mzee slaa mbona unaongea
maneno matupu bila hata ya kutoa vielelezo,hujasema kwa nini juliana
shonza ulikuwa unamzuia hata kuzungumza jukwaani halafu unawaita watovu
wa nidhamu how.

wewe ndiye unaye ongea maneno matupu bila hoja.!
Dr. Slaa hawezi kujibu hoja za kitoto kama hizi..
Kuna sifa nyingi sana zinaangaliwa mpaka kufikia kumsimamisha mtu jukwaani.. And kwa kifupi shonza didnt had any of those qualufications
 
halafu vijana wa cdm mbona htwa
hampendi kushughulisha akili mtafikiri kuku wa kisasa!uwezo wenu wa
kufikikiri na kupambanua mambo ni mdogo mno!ukitaka kujua kuwa nyie
hakuna kitu hoja ya dr slaa au mbowe iletwe humu,,amkeni wao si
malaika,mnaua chama acheni kuwa mburula

kwa maneno haya unayotamka hivi nani ni mbulura kati ya sisi na wewe??
 
Kiukweli Dr Slaa
ameishiwa. Huo ni ukweli usiopingika. JK anatoka madarakani anamuwekea
mwingine amgatagaze tena. Kiukweli huyu mzee angetakiwa kutumia huu muda
kuweka ndoa yake vizuri. Siasa apumzike.

binafsi nashauri muda huu uliotumia kuandika hii post ungetumia kufanya research hujue ni nani hasa aligalagazwa 2010.!
muulize prof. lipumba jinsi walivyo haha kumuokoa jeikei then akaja kuwatosa baada ya kurudi ikulu..
 
assardsyria3!unasumbuka
bure,babu anasumbuliwa na uzee,ukiangalia comment zake humu jf
utakubaliana nami babu ameshachoka kifikira na kiuongozi,hana
jipya,amebaki kupayukapayuka !uwezo wake umeshafikia mwisho

wewe akili yako imechoka ukiwa bado mdogo kabisa!
pole
 
narudia tena vijana wengi wa
cdm humu jf ni washahabiki tu,hamkijui chama,ni wahuni ndo maana hamna
point za maana!!mnakiua chama taratibu,mnapayukapayuka tu!waachie wenye
uchungu kama kamamda mawazo,tumaini makene ,zitto wafanye kazi la sivyo
cdm itasambaratika vpande vpande

who are you to say that?
inaonekana you dont have an idea of how democracy works.!
kila wazo lina haki ya kutolewa hata kama ni la kijinga ..
 
Babayako,
Jibu maswali ya msingi niliyokuuliza. Vinginevyo unayosema ni upuuzi. Hata mbuzi ukimpigia Gita hatacheza kwa mdundo, maana kama inning'angania tu hoja zako, ni dalili ya upungufu wa akili, kuwafanya wengine waamini hoja zako tu ndizo za ukweli. Kwanza huna ujasiri, Kama uko jasiri reveal your identity. Tukuone Kama mwamba.

Hivi unadhani wewe kujiweka wazi ndo kunadhiirisha umwamba wako?? Au labda ulikuwa unaamanisha nini kusema wewe ni mwamba?? Don't be so cheap kwa kutoa majibu yasoyo ya msingi kama huwa unakosa hoja za kujibu bora kukaa kimya tu kuliko unavyojidharirisha na reply za kipuuzi kama hizi
 
Hivi unadhani wewe
kujiweka wazi ndo kunadhiirisha umwamba wako?? Au labda ulikuwa
unaamanisha nini kusema wewe ni mwamba?? Don't be so cheap kwa kutoa
majibu yasoyo ya msingi kama huwa unakosa hoja za kujibu bora kukaa
kimya tu kuliko unavyojidharirisha na reply za kipuuzi kama hizi

hahaha
angalia hoja alizoandika sio kuleta kebehi zako za kitoto hapa!
 
Zote extravagance za Josephine tu, hakuna cha maana kichama.

subiri karibuni tu dr atawapa mrejesho wa alichoenda kukifanya (kwa vitendo)
i hope umeiona ile article katika US Today & New York Times.... Ule ni mwanzo tu wa 'mrejesho' wa safari ya dr
 
subiri hivi karibuni tu utaelewa kama alienda kutalii ama la.!
Ok , ina maana tutaona picha za mabomu Arusha na Mwangosi au?

Vipi leo mnafanya vurugu wapi? manake siku nyingi sana mmekuwa kimya
 
Ina maana walikwenda kutalii au?

Unaulizia Mbege kibosho........babu anapewa good time na mtoto Jozevine...mamaa yupo kikazi zaidi..

Ukiweza kuziona ndoto zake kila akilala ni jinsi ya kuingia magogoni, mambo ya red carpet, vimulimuli, body guard...na unawajua tena kina "ishomire"

Msishangae baada ya 2015 babu akishaangukia pua na ndoto kuyeyuka, bi mdang'a ataanza kuimba...nilipe nisepe...nilipe nisepe....
 
Back
Top Bottom