Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

Josephine amelipwa ruzuku ya chadema kwa manufaa yake binafsi. Anatumia resources za chadema kwa biashara zake.

Huu ni uongo. Josephine anafanya biashara medical kwa mtaji ambao hauna uhusiano wowote na CHADEMA. Sijaongea naye lakini nina vyanzo independent kabisa vinavyoshuhudia kwa uhakika kabisa mtaji wake ni kutoka nje ya chama. Kwanza hata hanijui! Wewe una chanzo gani zaidi ya ubunifu wako na uongo.
 
Huwa sina wasiwasi na Bavicha wananulika kirahisi sana kwenye uchaguzi.
 
huwa naumia sana moyoni nikiwaona wewe na mwenzio mwampamba!
inanishangaza sana inakuwaje vijana wadogo kama nyinyi badala ya kufanya kazi za halali na za heshima mnaishi maisha ya kuungaunga na ujanjaujanja!
its a shame..

Hi nimeipenda kuliko zote...lol vijana tubadirike jamaa haya maisha ya kutumia na wanasihasa siyo mazuri kwa metalware yao binafsi, ...mwisho wake ni kuwa kama... Then wanakuta.

Shonza na Mwamapamba....ujumbe wangu kwenu, wengi wameondoka Chadema kwenda CCM na CCM kwenda Chadema na bado wanafanya siasa za kiungwana na ndiyo maana bado wanaheshimiwa na kuliko walikotoka na kukubali kwa walikokwenda.... tafadhali badirikenimna kuwa wasikivu.
 
Usengerema huu yani kila siku slaa slaa tu inamana huko kwenu lumumba mmekosa kazi majuha ninyi mpaka muanze udaku tena kwenye vyama vya watu..

Mxuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Mkuu,
1. Bavicha waliwafukuza akina shonza kwa remot control kutoka kwako ndio mana hujawahi kujibu hoja za Shonza, za Mwampamba, ktb wa BAVICHA mkoa wa Mwanza, Tanga na wale wa Mbeya. Na hutakaa uweze kujibu.
2.Baregu alichagua nchi kwanza chama baadae ndio mana alibaki kwenye tume tofauti na matamko yenu ya kujitoa na kumtaka aachie ngazi.kumbuka ht ktk bajeti yenu mlisimamia kujitoa
3.barua ya Zitto ipo ht hapa JF, justfication ya muhuri wa siri ni kuishiwa hoja, jambo la msingi hapa ni content ya barua pamoja na uwezo wako km mtendaji mkuu wa chama kushindwa ku control issues. Kiufupi barua ilivuja kutoka CHADEMA bila kujali minor cases km hiyo unayojaribu kujitetea. Msimamo wa Zitto ilikuwa ni Lwakatare ajiuzulu nafasi zake kwa sababu anakabiliwa na tuhuma nzito ikiwa ni pamoja na kuandaa mipango haramu ya kumlisha sumu mhariri wa Mwananchi Denis Msaki

4. Hujajibu hoja ya msingi ya ww kuwa chanzo cha migogoro ndani ya CHADEMA na hilo ndio tatizo lako kujipofusha kwenye mambo ya msingi yanayokuhusu.
wewe si ulishafukuzwa CHADEMA? Mbona sasa unahangaika sana utafikiri kuku anataka kutaga? Hangaikia kujenga CCM mkuu. Wewe lala amka unaota CHADEMA tu!!?
 
Hivi dk slaa na wasira nani babu?au mnamgwaya rais mpya?Chilisosi;6762855]Tatizo la babu ni woga, anawaogopa sana vijana wanaokuja kasi na anajua kuwa hana tena sifa za kugombea Urais[/QUOTE]
 
Chilisosi,

Upotoshwaji ikiachwa kuendelea kwa muda mrefu hatimaye kuna watu wataamini ni ukweli. Naomba kujibu Mimi mwenyewe hoja zote zilizotolewa na mleta thread.

1) Ni dhahiri lengo la mleta thread ni kupotosha umma, na kujaribu kuchanganisha viongozi. Kuondolewa kwa Shonza, Mwampamba na kundi Lao ni matokeo ya tabia ya mbovu, utovu wa nidhamu, siyo tu ndani ya Chama, Bali hata ndani ya Chombo chao BAVICHA. Kamati ya kuwachunguza iliundwa Morogoro Katibu Mkuu hakuwepo. Hivyo ni wazi mleta mad a hajui au kwa makusudi tu ameamua kupotosha. Kwa Katiba ya CHADEMA namabaraza yake kuchukuliwa mtu hatua ya kinidhamu ni mchakato mrefu na unapitia vikao mbalimbali. Maswala ya nidhamu yanasimamiwa na Katiba ya Chama Toleo la 2006 Ibara za 5.4(1-4); Kukoma kwa uongozi ( Ibara 6.3.4(b na c na e). Mamlaka za Nidhamu zinatajwa Ibara ya 6.3.6 pamoja na Kanuni Mbalimbali za Chama nazo ziko ndani ya Kitabu cha Katiba. Mto mada au hajasoma, au ni mbumbumbu tu mwenye kutumika au mpotoshaji tu. Kama anavyosema mleta mada ni kweli, Dr Slaa anaweza kuamua tu, basi Dr Slaa ni sawa na Mungu. CHADEMA ni Kati ya vyama vichache vinavyofanya vikao vya kikatiba, siyo tu kwa mujibu wa Katiba na Mara nyingi kwa kutumia mamlaka ya vikao vya dharura. Kauli ya mleta mada ni matusi kwa wanachadema wote na hasa Kamati Kuu na Baraza Kuu, ambazo indigo vyombo vya maamuzi.

2)Barua ya Siri kuvuja. Hiki ni kichekesho. Ebu to a hadharani barua iliyovuja. Kwanza barua hiyo ikiwasilishwa kwa Katibu Mkuu kwa Dispatch ya Tarehe ngapi na nani kwa mujibu wa dispatch kaipokea. Hiyo itaonyesha Kama kweli barua hiyo ya siri ikiwasilishwa under tight confidential system. Pili, weka barua hiyo hadharani ili WanaJF waone Kama in a mhuri wa siri. na Kama imewekwa muhuri kwa siri imeandikwa kwa Katibu Mkuu peke yake au imenskiliwa kwa wengine. Iwapo imenakiliwa kwa watu wengine, kwanini hoja iwe imefuja toka kwa Dr Slaa. Barua iliyoko kwa Ofisi ya Katibu Mkuu imenakiliwa kwa watu au vyombo vinginevyo pia. Huhitaji kuwa na elimu ya darasa la kwanza kujua kuwa jambo lililopelekwa kwa watu wengi, huwezi kusema tu fulani ndiye kavujisha, labda uwe tu na sababu zako binafsi kusema hilo.

3) Hoja ya Profesa Baregu kutakiwa kujitoa kwenye Tume.Kama Source ya Gazeti basi nafikiri unasababu zote kumwuliza Prof. Baregu, nini hasa tulizungumza, na kama kuna wakati wowote alitakiwa ajitoe. Aidha, mwulize Profe. baregu Kama hayo tuliyozungumza ni ya Dr Slaa au ni utekelezaji wa maamuzi ya vikao vya maamuzi. No research no right to speak. Rafiki yangu kana unaandika kwa dhamira njema chunguza kwanza nafsi yako, na uwe na hofu ya Mungu. Kuwapotosha Watanzania kutakuwa na gharama kubwa kwa vile kuna siku uzalendo utatushinda Kama ilivyo Leo, na nitatetea chama na procedures za chama. CHADEMA inaongozwa kwa Katiba, Kanuni na Taratibu, ni wazi Dr Slaa asingeweza kwa utashi wake kutoa amri yeyote kwa mtu yeyote yule.

4) Ujio wa Obama na kauli mbalimbali zilizotoka nimejibu Leo asubuhi. Sijakagua, labda Mods awe ameondoa majibu yangu. Vinginevyo siwezi kujibu hoja hiyo hiyo, tena ya kipuuzi tu na au ya ki propaganda.

WanaJF na wote wenye mapenzi mema. Narudia tena hoja za aina hii zany lengo la ki propaganda zisitupotezee muda, na ndiyo maana Mara nyingi sizijibu. Mkiona nimepuuza hoja mjue kuwa nimepuuza kwa kuwa ni ya ovyo. Wapuuzeni wahusika hao Kama ambavyo tupuuze hoja zao.
dr NAKUHESHIMU SN KAMANDA LAKINI SUALA LA BAREGU LIPO WAZI KASOME RAIA MWEMA BAREGU ALIKIRI KWAMBA ULIMPIGIA CM KWAMBA AJITOE NA AKAKUJIBU KWANN UMPIGIE CM NA USIMPE BARUA BADO UKAENDELEA KUSISITIZA NDIPO AKAKWAMBIA NINGEAMBIWA NICHAGUE KIPI KATI YA CHAMA NA MASLAHI YA NCHI NINGECHAGUA YA MASLAAHI YA NCHI HEMBU KANUSHA KWAMBA HUKUMPIGIA PROF BAREGU CM ANALICHOSEMA RAIA MWEMA NI UONGO.PILI KATIBA ULIOYONUKUU INATUMIKA NAKUBALI ILA UFAHAMU INFLENCE NA BIAS NDIO VIBAYA ZAIDI KULIKO HT HIYO KATIBA MFANO MAREKANI INAJUSTIFY SURVELLANCE ALIYOFICHUA SNOWDEN INGAWA NI KINYUME CHA KATIBA YAO KWAHIYO RAIS ANATUMIA INFLUENCE KUMFUNGA SNOWDEN HIVYO WW ULISHAWAONA HAWA VIJANA NI THREAT KWAKO HUONI INFLUENCE YAKO ILICHANGIA PAKUBWA HATA KM KATIBA IPO TATU SUALA LA BARUA YA ZITO KUVUJA MWENYEWE ALILALAMIKA KWAMBA BARUA ALIYOKUA AMEIPELEKA KWA KATIBU MKUU ANAIONA HP JF JE ZITO NI MUONGO KWAMBA HAKULETA BARUA YOYOTE OFISINI KWAKO?NA MWISHO NI KWAMBA KWANINI UNAPENDELEA MASULA MAZITO KAMA KUHUDHURIA VIONGOZI WA CHADEMA KWENYE SHUGHULI ZOZOTE ZA KITAIFA KUZITOLEA KWENYE VYOMBO VYA HABARI BILA KUSHAURIANA NA WENZIO KAMA SUALA HILI LA CHADEMA KUSHIRIKI UJIO WA OBAMA, HUONI KAMA UNGEJADIALIANA NA VVIONGOZI WENGINE KM MH MBOWE AU ZITO AU WENGINE UNGEPATA USHAURI KABLA YA KUROPOKA KWENYE VYOMBO VYA HABARI AND KUMISLEAD WANANCHI KWA KUTOKUA MAKINI KATIKA MASUALA NYETI NA YANAOGUSA WATU WENGI?
 
Akili ya M.A.T.A.K.O IPO KWA WALE WENYE AKILI FINYU MARA NYINGI.ACHA NJAA YAKO.NJOO NIKUPE KAZI HAPA HUSITUMIKE WAKATI NDUGU ZAKO WANA TABU SASA HIVI .MTOTO WA SHANGAZI YAKO UNAWEZA WEWE KUMSAIDIA ,MTOTO WA MJOMBA WAK WEWE UNAWEZA KUMSAIDIA?.ACHA NJAA GOI GOI HIYO
 
Nakutafuta sana wewe ,umeingia tena kwenye anga zangu.najua ulinikimbia sasa nipo na wewe tena .tuendelee tena.tutoe hoja za kujenga nchi sio njaa za goigoi.
 
unauhakika hawaelewani? au unasikia tu ukikaa kwenye kahawa jion na story za yanga na simba mixer za siasa ndo unatoa za rejaleja kama hizo?
tuthibitishie wana jf n lini waligombana na ww ulikua wapi,may b ulishilikishwa kama paparazi? au umekulupuka usingizini ukaona kama nape wanagombana na lawasa!
kama unataka kubalance law of equilibrium sema, simply bse upande wa pili wa shilingi kuna hiki ahaa wacha tuformulate na upande huu ili iwe bila bila!
also we are making follow up on wht is go' on don't make us fool!
refrect b4 u speak! and b sure on wht u'r taking abt!
 
Propaganda zilezile kutoka ka watu walewale wa kikundi kilekile chenye uchafu uleule kwa malengo yaleyale..
 
Jaribuni sometimes kujibu hoja na sio matusi

Yan unaandika upuuzi,ukiitwa mpuuzi unasema matusi?


TORELANCE DOES NOT MEAN TORELATING INTORELANCE,
YES,YOU MUST BE SO SO CRAIZY,CCM'S LEFT OVER EATER...
 
Slaa ataingia kwenye kitabu cha kumbukumbu cha CCM na JK kwa kumpeleka kasi 2010! Wizi tu ndo uliwaokoa
CCM hakuna kitabu cha kumbukumbu za kupelekana KASI bali kuna vitabu vya kumbukumbu na mrejesho wa KILIPOTOKA, KILIPO, NA KINAPOKWENDA.

Hayo ya kumbukumbu za kupelekana KASI tunawaachia CHADEMA kwa sababu siasa zao za ndani na nje zinachagizwa na VISASI vilivyoko kwenye vitabu vya kumbukumbu ya kupelekana KASI.
 
ZeMarcoPolo,
Debe Tupu hupiga kelele tu. Toa ushahidi wa unayosema. Vinginevyo ni upuuzi tu Kama ilivyo desturi yako.
Kiongozi, kwa hadhi yako hupaswi kutoa matusi, wewe jikite ktk kujenga hoja, matusi waachie vijana wako wa mia mbili per post. Kashfa za josephine zipo nyingi, ungejibu hoja ya marcoplo badala ya kutukana ili kuonyesha tofauti kati yake na ww.
 
ZeMarcoPolo,
Debe Tupu hupiga kelele tu. Toa ushahidi wa unayosema. Vinginevyo ni upuuzi tu Kama ilivyo desturi yako.
Ile kadi ya CCM umeilipia ada ya mwaka huu?? Au unailipia miaka mitano mitano km kawaida yako
 
Back
Top Bottom