Naomba munisaidie kutambua kama hawa watu ni vjana,kikwete,kinana,mangula,shein,hawa ni vjan?kama kikwete n kjana Ridhiwan ni nan?muswe wanafk watanzania umri sio kigezo cha uongoz bora, rais mwai kibak wa kenxa alpokuwa madarakan nch yake ilkuwa inauchumi mzr zaid ya tanzania kama ni umr kibak na kkwete nan alikuwa na umri mkubwa?hebu mrnganshe nape na dr slaa jaman kwel nape hata propaganda hazjui her uzee ulio tukuka wa dr slaa kuliko ujna wenye upumbavu wa Nape na Mwigulu usio na mtazamo wa mbele