Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

Kiongozi, kwa hadhi yako hupaswi kutoa matusi, wewe jikite ktk kujenga hoja, matusi waachie vijana wako wa mia mbili per post. Kashfa za josephine zipo nyingi, ungejibu hoja ya marcoplo badala ya kutukana ili kuonyesha tofauti kati yake na ww.
Ha ha haa Dr Slaa leo amenifurahisha dah halafu ndio anategemea akakae pale magogoni!:lalala:
 
Huku sasa ni kuishiwa, sasa hii propaganda ya darasa la pili atakayezingatia nani? Jengeni chama chenu kwani mafisadi wanajiandaa kukigawa 2015 huku ninyi mkiwa busy na propaganda za kutugawa Wana-CHADEMA.Hivi kule kujivua gamba kuliishia wapi?
 
Mkuu ile tu kupoteza mda wako kuniandika katika mada isiyonihusu inaonyesha ni jinsi gani siasa zangu zimewabana mbavu.
Haya umesikika na matusi yako wasalimie wafuasi wenzio wa kamkono hapo ufipa mlipopanga.

Ni kweli maisha nimagum sana,ila sasa wewe na mwenzako mwampamba bado ni vijana wadogo sana,hivi mmekosa kabisa kazi ya kufanya hadi mkaamua kutumika na wale wazee wasio na mbele wala nyuma kwa maslahi ya kutafuta umaarufu na kuchumia tumbo?

Huwa nawaonea huruma sana,kwa kweli mnasikitisha sana,yule mwenzako kakimbia hadi kazi yake ya ualimu na kuweka matumain ya maisha yake kwa kuwatumikia watu hopless kama mwigulu,inahuzunisha sana
 
Kiongozi, kwa hadhi yako hupaswi kutoa matusi, wewe jikite ktk kujenga hoja, matusi waachie vijana wako wa mia mbili per post. Kashfa za josephine zipo nyingi, ungejibu hoja ya marcoplo badala ya kutukana ili kuonyesha tofauti kati yake na ww.
Mkuu taratibu jamaa yangu.

Matusi ni mojawapo ya sifa za kuwa mwana chadema. Yaani ni desturi kama vile salamu zao kwa watu ambao sio chadema
 
Josephine amelipwa ruzuku ya chadema kwa manufaa yake binafsi. Anatumia resources za chadema kwa biashara zake.
Ni lazima maisha yake yawe SUPPLEMENTED na CHADEMA kwa vile bado anasubiri UJAZO kutoka serikalini.

Kwani hufahamu kama ni FIRST LADY KIVULI. Nina wasiwasi atasubiri sana mpaka FOREVER kuwa Tanzania FIRST LADY.

She's dying everytime when she see a photo like this,
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    35.4 KB · Views: 52
  • image.jpg
    image.jpg
    53.8 KB · Views: 54
Huwa napata shida sana kuona Mtu Gamba anaanzisha thread za uongozi ndani ya Watu Gwanda! Sijui kwa interest zipi?? Why don't you mind your own business?????
 
Kweli watanzania tumejikita kwenye njaa zaidi. Hivi kwa mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kuzima moto kwa jirani wakati kwake ndo uko unaendelea kuteketeza kilichomo ndani? I now believe that "tuna laana ya fikra" Dr Slaa achana na hao wanaotumiwa na mwisho wa siku wanaambulia kofia na T-shirt.
 
mzee slaa angekuwa na upeo wa mambo angekuwa analea wanasisa vijana badala ya kuwafukuza.
 
Huwa napata shida sana kuona Mtu Gamba anaanzisha thread za uongozi ndani ya Watu Gwanda! Sijui kwa interest zipi?? Why don't you mind your own business?????
Have you ever ask the same question to those pro-CHADEMA who brings thread kuhusu CCM na makada wake every day?.

Kama hujawahi kufanya hivyo, huoni kama ulichokiandika hapa ni UNAFIKI wa kiwango cha juu.
 
vijana wapewe zaidi nafasi wazee wabaki tu km washauri kwani wameshazeeka na haifai kung'ang'ania madaraka mwishoe unaharibu
Vijana kuweni macho musiwaite watu wazima wazee kwa tamaa ya uongozi. Umri wa dr ndio muafaka, msidhani kuing'oa ccm ni yelemama. Ujuzi na maarifa tele vinahitajika.
 
Chadema chadema chadema ni ndoto za baadhi ya watu, yupo mwingine jana kwenye kipima joto anasema zipo familia zinayumbishwa na siasa hivyo watanzania hawawezi nufaika na ujio wa Obama, yani chadema hongereni sasa tunawajua viongozi wachapa kazi na walamba miguu,pole zao
 
Ni kweli maisha nimagum sana,ila sasa wewe na mwenzako mwampamba bado ni vijana wadogo sana,hivi mmekosa kabisa kazi ya kufanya hadi mkaamua kutumika na wale wazee wasio na mbele wala nyuma kwa maslahi ya kutafuta umaarufu na kuchumia tumbo?

Huwa nawaonea huruma sana,kwa kweli mnasikitisha sana,yule mwenzako kakimbia hadi kazi yake ya ualimu na kuweka matumain ya maisha yake kwa kuwatumikia watu hopless kama mwigulu,inahuzunisha sana

mkuu shonza anakunyima usingizi,atawapeleka mchakamchaka mpaka mtaipata tu.
 
Ni lazima maisha yake yawe SUPPLEMENTED na CHADEMA kwa vile bado anasubiri UJAZO kutoka serikalini.

Kwani hufahamu kama ni FIRST LADY KIVULI. Nina wasiwasi atasubiri sana mpaka FOREVER kuwa Tanzania FIRST LADY.

She's dying everytime when she see a photo like this,
Mkuu umenichekesha sana,

Ina maana ndio maana huwa anaingia humu na kuanza kutukana hovyo kwa sababu ya stress inayotokana na hizi picha nini?

Sio kila mtu tu anakuwa First lady, sio rahisi hata kidogo. Na u first lady haununuliwi wala kulazimishwa, labda u fisrt lady wa Karatu
 
Babayako,
Jibu maswali ya msingi niliyokuuliza. Vinginevyo unayosema ni upuuzi. Hata mbuzi ukimpigia Gita hatacheza kwa mdundo, maana kama inning'angania tu hoja zako, ni dalili ya upungufu wa akili, kuwafanya wengine waamini hoja zako tu ndizo za ukweli. Kwanza huna ujasiri, Kama uko jasiri reveal your identity. Tukuone Kama mwamba.
Huu ndiyo UJUMBE.

Wale wote ambao wanatumia UNVERIFIED USER IDENTITY kwa mtazamo wa Dr.W.Slaa siyo JASIRI. Is this TRUE?.

Huku ni kupotoka na kuwa na fikra muflisi kulingana na Sababu kuu iliyopelekea waanzilishi wa JF kuweka chaguo katika JF member identity.
 
Last edited by a moderator:
Ni lazima maisha yake yawe SUPPLEMENTED na CHADEMA kwa vile bado anasubiri UJAZO kutoka serikalini.

Kwani hufahamu kama ni FIRST LADY KIVULI. Nina wasiwasi atasubiri sana mpaka FOREVER kuwa Tanzania FIRST LADY.

She's dying everytime when she see a photo like this,

Kamati kuu ya chadema imefanya jitihada za kumdhibiti asiendelee kumpotosha katibu na kutumia vibaya resources za chama.

Jitihada za kamati kuu zimeanza kuzaa matunda ingawa bado Josephine anatawala ofisi ya katibu mkuu.

Bajeti ya Josephine ya safari ya Ujerumani iliyogharimiwa na chadema inatisha!
 
Boko Haram,
Sijui Kama unajua Kiswahili. Kumwambia mtu ukweli wa upuuzi wa tabia na kauli yake ni tusi. Niambie lugha isiyo tusi ya kumpa ukweli niliomwambia! Upuuzi na ujinga hayana mbadala. Kama unary chukka dictionary uyaweke hapa tuyajue.

Nimemwambia weka ushahidi Sijaona jibu. Asijifiche chini ya kivuli cha kutukanwa. Anatakiwa kutoa majibu yanayostahili if he deserves to be a GT. Wametuharibia Forum iliyopata heshima ya GT and reliable source of information na kuigeuza kuwa source of majungu na umbeya.

[/B]
Ha ha haa Dr Slaa leo amenifurahisha dah halafu ndio anategemea akakae pale magogoni!:lalala:
 
Back
Top Bottom