Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

ZeMarcoPolo,
Debe Tupu hupiga kelele tu. Toa ushahidi wa unayosema. Vinginevyo ni upuuzi tu Kama ilivyo desturi yako.

Malalamiko yamefika mpaka kamati kuu ya chama na kwa kiasi fulani yameanza kushughulikiwa ingawa ushulikiwaji wake unakwamishwa na ofisi yako.
 
Kamati kuu ya chadema imefanya jitihada za kumdhibiti asiendelee kumpotosha katibu na kutumia vibaya resources za chama.

Jitihada za kamati kuu zimeanza kuzaa matunda ingawa bado Josephine anatawala ofisi ya katibu mkuu.

Bajeti ya Josephine ya safari ya Ujerumani iliyogharimiwa na chadema inatisha!
"INASEMEKANA" hata jina lake katika orodha ya wasafiri halikuwa jina halisi na kama ni kweli basi hii inaleta maswali mengi kuhusiana na INTEGRITY ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa kama alifahamu "mke" wake alikuwa anadanganya mamlaka nchini.

Kwa nini na kwa faida gani alikuwa anadanganya?
 
Huu ndiyo UJUMBE.

Wale wote ambao wanatumia UNVERIFIED USER IDENTITY kwa mtazamo wa Dr.W.Slaa siyo JASIRI. Is this TRUE?.

Huku ni kupotoka na kuwa na fikra muflisi kulingana na Sababu kuu iliyopelekea waanzilishi wa JF kuweka chaguo katika JF member identity.

Kwa mtu kama wewe wala huhitaji kuwa na verified user account ili tukutambue kwakuwa tayari tunakutambua.

Kwamba hauna ujasiri hilo si suala la kudebate hapa kwakuwa liko bayana sana.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha 2015 kazi ipo!
 
nampongeza dr slaa kwa majibu yake fasaha
vijana wa lumumba muache kuandika mada humu kujaza servor kwa kukurupuka
tafuteni mada zenye hoja nzito mkiwa na shahidi.

vijana tumechoka kila siku chadema imefanya hivi, Hivi huko CCM nyei wasafi sana?
mnaotumika na kulipwa buku 7 hakuna baya huko kwenu? akili zenu zimefungwa na kamba?
kijana wa leo anaekubali kutumika kwa maslahi ya kundi fulani huku akijua hilo kundi ni ovu huyu ni sawa na mfu.
bora afungwe kamba atupwe baari ili hata maiti yake isiibuke pindi anapokufa.

vijana wenzangu fungukeni acheni kutumika huu ni wakati wa kuijenga nchi kiuchumi na sio propaganda.
tokeni nje ya nchi muangalie vijana walivo bussy kujijenga wao wenyewe.
Tanzania tumelaaniwa hata wasomi wetu wakirudi nyumbani wanakuwa kama wamelogwa.
chadema tunategemea wataikomboa nchi yenye maziwa na asali.
haiwezekani nchi tajiri kwa rasilimali tuwe maskini kiasi hicho..
CCM hawaoni hili wanaishambulia chadema kila kukicha ,,ujinga mtupu
 
shoza aliuza kituo mbozi ili ccm washinde
mwampamba hajalipa deni la wananchi (aseme ccm imesfishika lini)
 
"INASEMEKANA" hata jina lake katika orodha ya wasafiri halikuwa jina halisi na kama ni kweli basi hii inaleta maswali mengi kuhusiana na INTEGRITY ya Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Slaa kama alifahamu "mke" wake alikuwa anadanganya mamlaka nchini.

Kwa nini na kwa faida gani alikuwa anadanganya?
Tunaomba majibu hapa Dr.W.Slaa manake hii ni kashfa nzito sana
 
Kwa mtu kama wewe wala huhitaji kuwa na verified user account ili tukutambue kwakuwa tayari tunakutambua.

Kwamba hauna ujasiri hilo si suala la kudebate hapa kwakuwa liko bayana sana.
Vipi ulipokea zawadi kutoka kwangu ya COLGATE?
 
Kamati kuu ya chadema imefanya jitihada za kumdhibiti asiendelee kumpotosha katibu na kutumia vibaya resources za chama.

Jitihada za kamati kuu zimeanza kuzaa matunda ingawa bado Josephine anatawala ofisi ya katibu mkuu.

Bajeti ya Josephine ya safari ya Ujerumani iliyogharimiwa na chadema inatisha!
Hivi Ujerumani walienda kufanya nini?

Mbona hakuna Tamko baada ya safari?
 
Binafsi siku nikiingia JF nikakuta misukule ya ccm kama MwanaDiwani, ZeMarcopolo, Boko haram, assadsyria3, Chilisosi na wengine wameacha kuwashambulia Dr.W.Slaa na kamanda Mbowe na wameanza kuwasifia basi siku hiyo narudisha kadi ya Chadema kwakuwa itakuwa ni dhahiri kuwa viongozi wangu wametusaliti watanzania.

Lakini hizi kelele zinazopigwa hapa ni salamu tosha kuwa hao makamanda ndio kitisho kikuu kwa uhai wa ccm kwahiyo wanalazimika kukesha mitandaoni ili kujaribu kuchafua watu wakidhani watanusurika na maziko yao mwaka 2015.
Nawaona malaika wa shetani ccm wamejazana kwenye thread hii wakijaribu kutafuta mawindo wampelekee anayewaweka mjini!
 
Last edited by a moderator:
vijana wapewe zaidi nafasi wazee wabaki tu km washauri kwani wameshazeeka na haifai kung'ang'ania madaraka mwishoe unaharibu
vijana wa tz wanawaza maji ya ilala na chang'ombe,wakiachwa kwenye nafasi nyeti itakuwa msiba kwa taifa.
 
Kama yamefika Kamati Kuu, toa ushahidi. Kwa barua ipi, imewasilishwa lini, nani kawasiisha. Unaweza kudanganya lakini uwongo haufiki mbali. Thibitisha. Debe Tupu!!! Mbona imepoteza self confidence. Jiamini, to a ushahidi tukuelewe na jamii ikuelewe!

Malalamiko yamefika mpaka kamati kuu ya chama na kwa kiasi fulani yameanza kushughulikiwa ingawa ushulikiwaji wake unakwamishwa na ofisi yako.
 
Vipi ulipokea zawadi kutoka kwangu ya COLGATE?

Nasubiri container la mitumba. Uliahidi kuja nalo mwezi June lakini hadi sasa tuko mwezi July bado sijaona kitu. Sijui box limekuwa zito ama hujapokea nauli toka lumumba?
 
Nasubiri container la mitumba. Uliahidi kuja nalo mwezi June lakini hadi sasa tuko mwezi July bado sijaona kitu. Sijui box limekuwa zito ama hujapokea nauli toka lumumba?
Mkuu tatizo kubwa hapa ni nauli,
Kama namna gani vipi nirekebishie halafu nitakucheki nikifika huko au sio Bro!
 
Dr. Slaa!

Tunakusihi usiwe unajibu uzushi huu!

Watz wana macho na wanaweza kujua na kuchambua masuala yenye manufaa kwa Taifa letu!

Tafadhali wapuuze kwa kukaa kimya!
 
CCM kweli mnatia aibu! Mmejaribu kila mbinu chafu zinabuma sasa mnakuja na la uchonganishi kama usemi wa waingereza usemao 'DIVIDE AND RULE' ila mbinu zenu ovu zote tunazipata mapema kabla hata hamjaanza kutekeleza maazimio yenu machafu.
 
Kwa mtu kama wewe wala huhitaji kuwa na verified user account ili tukutambue kwakuwa tayari tunakutambua.

Kwamba hauna ujasiri hilo si suala la kudebate hapa kwakuwa liko bayana sana.
Wewe unayejibu bandiko langu una huo "ujasiri" kulingana na mtazamo na fikra za Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr.W.Slaa

Unapata wapi "ujasiri" wa kuniambia sina "ujasiri" wakati na wewe ni wale wale.
 
Last edited by a moderator:
moc kabisa cna chama ila wengi c cdm wala ccm hamjui kutengeneza hoja zaidi ya matuc halaf mtu akitoa point pinga kwa hoja c kwa tuc naamn mkiyafanyia kaz mtanishawishi nijiunge chama gani baadaye ni mtazamo wangu mbarikiwe sana
 
Hivi kule magamba ni kijana gani ambaye kapewa nafasi ndani ya chama!? Hebu angalia hawa wanaopigiwa debe la kuwemo kwenye kinyang'anyoro cha Urais 2015 (Lowassa, Magufuli, Membe, Migiro, Sitta n.k.) ndani ya magamba hakuna kijana hata mmoja!!! Hili hujaliona au ndio uandishi wa kishabiki!? Ukitaka kuikosoa CHADEMA uwe unaangalia na upande wa pili wa shilingi kuona je hili ninalokosoa ndani ya CHADEMA kule magamba limekaaje!?

vijana wapewe zaidi nafasi wazee wabaki tu km washauri kwani wameshazeeka na haifai kung'ang'ania madaraka mwishoe unaharibu
 
Back
Top Bottom