Lizaboni
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 33,901
- 20,416
Vip naskia siku hzi umekua dobi hapo Lumumba inakulipa?
mkuu wewe nasikia ni mhudumu wa ndani wa mzee vipi hilo limekaaje.
Vip naskia siku hzi umekua dobi hapo Lumumba inakulipa?
Wewe ni kiburudisho cha maccm huna lolote mchumia tumbo mkubwa wewe.sura mbaya kama bibi kizee.umekomaa utadhani unaumwa kwashakoo.
vijana wapewe zaidi nafasi wazee wabaki tu km washauri kwani wameshazeeka na haifai kung'ang'ania madaraka mwishoe unaharibu
DR SLAA NA UTENDAJI KAZI
KATIBU MKUU wa chadema DK WILBROD SLAA ndio chanzo cha migawanyiko chadema moja alichangia sana kuondoka kwa makamanda shonza na mwampamba,pili katika ofisi yake barua za siri zimekua zikivuja mfano ni barua ya zito ambayo tuliisoma hp mtandaoni,tatu kumshinikiza prof baregu ajitoe katika tume ya katiba bila kutoa 7bu za kueleweka na kusababisha mjadala mkubwa ndani na nje ya chama,tano kukurupuka na kusema chadema hawatashiriki ujio wa obama kisha tunamwona mwenyekiti wake akiwa ikulu jambo hili limeleta mkanganyiko na migawanyiko source akiwa dr SLAA.NAFIKIRI IMEFIKA WAKATI CHADEMA WAKATAFUTA MTENDAJI MKUU HUYU AKAWA MSTAAFU KWA SASA KWANI MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI
mkuu kazi ya heshima ni ipi
yawezekana hiyo ya kwako ambayo unaamini ni ya heshimaa kumbe siyo ya
heshima hawa vijana waache wafanye kazi ambazo nafsi zao zinawatuma
mapenzi ya mtu hayaingiliwi na mtu yeyote kila mtu hufanya kitu
kulingana na mapenzi yake,
Kmanda achana nao saa hizi wapo katika pressure Juliana Shonza usije pata laana ya kamkonoMkuu ile tu kupoteza mda wako kuniandika katika mada isiyonihusu inaonyesha ni jinsi gani siasa zangu zimewabana mbavu.
Haya umesikika na matusi yako wasalimie wafuasi wenzio wa kamkono hapo ufipa mlipopanga.
dada umekuwa mtu wa ajabu sana siku hiz hebu kacheki akili yako kama ipo vzrMkuu ile tu kupoteza mda wako kuniandika katika mada isiyonihusu inaonyesha ni jinsi gani siasa zangu zimewabana mbavu.
Haya umesikika na matusi yako wasalimie wafuasi wenzio wa kamkono hapo ufipa mlipopanga.
DR SLAA NA UTENDAJI KAZI
KATIBU MKUU wa chadema DK WILBROD SLAA ndio chanzo cha migawanyiko chadema moja alichangia sana kuondoka kwa makamanda shonza na mwampamba,pili katika ofisi yake barua za siri zimekua zikivuja mfano ni barua ya zito ambayo tuliisoma hp mtandaoni,tatu kumshinikiza prof baregu ajitoe katika tume ya katiba bila kutoa 7bu za kueleweka na kusababisha mjadala mkubwa ndani na nje ya chama,tano kukurupuka na kusema chadema hawatashiriki ujio wa obama kisha tunamwona mwenyekiti wake akiwa ikulu jambo hili limeleta mkanganyiko na migawanyiko source akiwa dr SLAA.NAFIKIRI IMEFIKA WAKATI CHADEMA WAKATAFUTA MTENDAJI MKUU HUYU AKAWA MSTAAFU KWA SASA KWANI MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI
Dr. Slaa is a problem mainly because of Josephine. Kabla ya kuwa na Josephine alikuwa normal tu.
Hivi kwan huyu babu atagombea tena? Amuulize profesa kila uchaguz kura zinapungua. Asijejidanganya kuwa 2015 zitaongezeka. Bora aachie majank ataumbuka buree
Dr. Slaa is a problem mainly because of Josephine. Kabla ya kuwa na Josephine alikuwa normal tu.
Naunga mkono hoja. Josephine ndio catalyst!
Hawa ni wafu tu mkuu, huna haja ya kupoteza nguvu na akili zako kuwajibu watembea na tindikali na sumu na mabomu
mafi ga mbene...mind your own businesses. kione kwanza ki HAMY-D. Au mnataka tuanze kuzungumza habari za wake zenu hapa walio hai na waliokufa. Nyamazeni. Josephine ameiba shilingi ngapi BOT. Josephine amejiuzia Mgodi wa Kiwira lini? Josephine alibeba mhuri wa serikali kuenda nao hotelini Uswisi tarehe ngapi?
Guys, why are you so much concerned with CHADEMA issues? Kama babu anaiharibu chadema nyie kinawauma nini, ilihali mnajulikana wazi ni wanaCCM? Kuharibika kwa CHADEMA si ndiyo faraja yenu ili nyie mfanikiwe? Sasa mnaumia nini? Au hata pilipili za shamba nyie huwa zinawawasha? Mind your business bwana, ya CHADEMA tuachieni CHADEMA wenyewe. Chama chenu kinaporomoka mchana kutwa, lakini hamuhangaikii kukinusuru, kucha kuchwa mnaiongelea CHADEMA.
Mkuu,
1. Bavicha waliwafukuza akina shonza kwa remot control kutoka kwako ndio mana hujawahi kujibu hoja za shonza, za mwampamba, ktb wa bavicha mkoa wa mwanza, tanga na wale wa mbeya. Na hutakaa uweze kujibu sana utaishia kutokwa povu.
2.baregu alichagua nchi kwanza chama baadae ndio mana alibaki kwenye tume tofauti na matamko yenu ya kujitoa na kumtaka aachie ngazi.kumbuka ht ktk bajeti yenu mlisimamia kujitoa
3.barua ya zitto ipo ht hapa jf, justfication ya muhuri wa siri ni kuishiwa hoja, jambo la msingi hapa ni content ya barua pamoja na uwezo wako km mtendaji mkuu wa chama kushindwa ku control issues. Kiufupi barua ilivuja kutoka chadema bila kujali minor cases km hiyo unayojaribu kujitetea. Msimamo wa zittoilikuwa ni lwakatare ajiuzulu nafasi zake kwa sababu anakabiliwa na tuhuma nzito ikiwa ni pamoja na kuandaa mipango haramu ya kumlisha sumu mhariri wa mwananchi denis msaki
4. Hujajibu hoja ya msingi ya ww kuwa chanzo cha migogoro ndani ya chadema na hilo ndio tatizo lako kujipofusha kwenye mambo ya msingi yanayokuhusu.