Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

Dkt. Wilbroad Slaa ndio chanzo cha migawanyiko CHADEMA

subiri karibuni tu dr atawapa mrejesho wa alichoenda kukifanya (kwa vitendo)
i hope umeiona ile article katika US Today & New York Times.... Ule ni mwanzo tu wa 'mrejesho' wa safari ya dr

kwa hiyo inamaanisha mnatafuta 'worid sympathy',,CDM mnafurahisha na wenzenu wa CCM,,,,,we neutral citizens need politics and people who are worthy enough to rule the country without help from the superpowers because they will keep you and you shall be their slave,,,,,please CDM give us a break!!!
 
Dr, ulishachoka cha msingi ni kutafakari na kuchukua hatua,huenda ziara ya nje imekulewesha unaanza kuweweseka na kuongea vitu ambavyo unaongea kama unatoka usingizini,je ungekuwa unaenda kila siku huko si ungekuwa mchovu wa akili kabisa,pisha vijana rudi ukamtumikie Bwana aliyekuita mwanzo,sasa umeanza kutapatapa tusubiri tuone mwisho.:clap2:
 
DR SLAA NA UTENDAJI KAZI
KATIBU MKUU wa chadema DK WILBROD SLAA ndio chanzo cha migawanyiko chadema moja alichangia sana kuondoka kwa makamanda shonza na mwampamba,pili katika ofisi yake barua za siri zimekua zikivuja mfano ni barua ya zito ambayo tuliisoma hp mtandaoni,tatu kumshinikiza prof baregu ajitoe katika tume ya katiba bila kutoa 7bu za kueleweka na kusababisha mjadala mkubwa ndani na nje ya chama,tano kukurupuka na kusema chadema hawatashiriki ujio wa obama kisha tunamwona mwenyekiti wake akiwa ikulu jambo hili limeleta mkanganyiko na migawanyiko source akiwa dr SLAA.NAFIKIRI IMEFIKA WAKATI CHADEMA WAKATAFUTA MTENDAJI MKUU HUYU AKAWA MSTAAFU KWA SASA KWANI MGEMA AKISIFIWA TEMBO HULITIA MAJI

=========MAJIBU KUTOKA KWA DR. SLAA==========​

CDM huwa wanajitahidi sana kurop.o.ka kwamba hawakurupuki ila kwa hoja chache tu ulizozibainisha hapo juu wanajitambulisha wao niwakurupukaji kwa kiwango gani.
 
vijana wapewe zaidi nafasi wazee wabaki tu km washauri kwani wameshazeeka na haifai kung'ang'ania madaraka mwishoe unaharibu


Shonza na Mtela ni makamanda? Sina uhakika!
Kwani nafasi ni chadema tu? Si muwape wakiwa huko ccm?
 
Tatizo la babu ni woga, anawaogopa sana vijana wanaokuja kasi na anajua kuwa hana tena sifa za kugombea Urais
hivi kwa akili yako unafikiri shonza na mwampamba walikuwa ni tishio kiivyo unavyofikiri wewe? mbona wameondoka na CDM haijapungukiwa chochote?
 
vijana wapewe zaidi nafasi wazee wabaki tu km washauri kwani wameshazeeka na haifai kung'ang'ania madaraka mwishoe unaharibu

Ni Wazi wewe unaweza kumuomba baba (sababu ya uzee wake) yako akuachie ulingo kwa mama (sababu ya ujana wake). quite obvious.
 
safi sana dr slaa.dokta wa kweli.watu wanakuponda lakini huko ni kuweweseka.hawatakuweza kwani wewe ni kiongozi makini!
 
Dr, ulishachoka cha msingi ni kutafakari na kuchukua hatua,huenda ziara ya nje imekulewesha unaanza kuweweseka na kuongea vitu ambavyo unaongea kama unatoka usingizini,je ungekuwa unaenda kila siku huko si ungekuwa mchovu wa akili kabisa,pisha vijana rudi ukamtumikie Bwana aliyekuita mwanzo,sasa umeanza kutapatapa tusubiri tuone mwisho.:clap2:
dr wa ukwel huwa hachok labda yule wa kukopa,huyo mzee anawatsha ccm,kwan hujui hata siasa ni kumtumikia Mungu,mtu msaf hupendwa na wacha mungu bwana,hv kwa mtazamo wako leo hii zikpgwa kura za uadrifu kat ya mwenyekt wa ccm na dr slaa nan atashnda?kumbuka hata Nape na Mangula wanajua kwenye mchakato wa 2005 taarfa ya Mangula ilmuona mchafu,na Nape altangaza kuhama Nch
 
Mzee pumzika mwachie Zito Hiyo nafasi
Jaman wakat wa Zitto ukfika c atapewa?na sio Zitto wapo weng muachen katbu wetu rais wa mioyon mwa watu kwa sasa akjenge chama,nadhan huyo Zitto na cc wengne 2nahtaj mising mzur ya chama bwana
 
Back
Top Bottom