Ungejibu hoja. Sugu kajenga hoteli. Hayo ni maendeleo ya watu au vitu?Watu wa Mbeya sio wajinga kiasi hicho washindwe kutofautisha kati ya mtu na kiatu.
Kwamba watu wa mbeya wachague Tulia wamuache Sugu?
Napendaga Ninasoma kwenye online media za Radio one, Nipashe na ITV. Kwenye mikutano ya CCM wanaandika Maelfu ya wananchi. Ila mikutano ya CHADEMA na ACT Zanzibar wanaandika mamia ya wananchi. Sijui wanaogopa nini jamani hawa watuWatu wa Mbeya sio wajinga kiasi hicho washindwe kutofautisha kati ya mtu na kiatu.
Kwamba watu wa mbeya wachague Tulia wamuache Sugu?
Last kicks of a dying lamb after butcher's sword has passed through wind pipeMama Dk Tulia Kachachamaa majukwaani Mbeya Mjini awajibu Lisu na Sugu kuhusu maendeleo ya vitu
Hili tu linakushinda?Ungejibu hoja. Sugu kajenga hoteli. Hayo ni maendeleo ya watu au vitu?
Kwani lazima iwekwe jana?Hii video si ilikuwa ya jana mkuu, mbona hukuiweka? Au hukuiona
Mkuu Bill bila usijiaibishe. Kama hujui, busara ni kukaa kimya kama wenzako wengi tu waliomo humu.Hili tu linakushinda?
Sugu kapata maendeleo kama mtu halafu akatengeneza vitu. Ndicho kinachohubiriwa.
Kwanini usitumie busara hiyo hiyo, kukaa kimya mkuu?!Mkuu Bill bila usijiaibishe. Kama hujui, busara ni kukaa kimya kama wenzako wengi tu waliomo humu.
Nikae kimya kwa lipi mkuu? Mtu anayeona Sugu kujenga hotel ni maendeleo ya vitu?Mkuu Bill bila usijiaibishe. Kama hujui, busara ni kukaa kimya kama wenzako wengi tu waliomo humu.
Nipo kwa ajili ya kuwapeleka kwenye mwanga wale walio gizani licha ya kuwa ni saa sita mchana!Kwanini usitumie busara hiyo hiyo, kukaa kimya mkuu?!
Ile mithali ya “nyani haoni kundule!” ina maanisha, unaweza kuona wenzako wapo gizani unajaribu kuwapeleka nuruni, kumbe mwenyewe ukawa gizani zaidi!Nipo kwa ajili ya kuwapeleka kwenye mwanga wale walio gizani licha ya kuwa ni saa sita mchana!