Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

Tumeyataka wenyewe
walifikiri tutaisoma namba upande huu wakajisahau nao wanapita mulemule, huku wamejitoa ufahamu wakiimba ccm ni ileile hawakuuelewa msemo hata huo kiundani. Shobo dundo zimeisha mkuu angalia buku7 nao wameufyata
 
Hiyo ndio hali halisi na ndio ukweli wa bandari yetu mizigo mingi ilikuwa hailipiwi kodi hivyo ni bora wasije kabisa...!

Naipongeza serikali kwa hatua hii ya kudhibiti kwa sasa tunajua kabisa tunapata mizigo ya aina gani na kiasi gani.. Nina hakika kwa sasa mtu akiagiza gari lake hato ibiwa...!

Yani we hapo we umefikiria kodi tu! Hujawaza ajira NA mnyororo Wa biashara! Aiseee kweli nchi yetu ni maskini kwa vyote
 
Soon UKUTA itapata uungwaji mkono maana hali halisi itajieleza yenyewe.....kuna vitu haitawezekana kuwadanganya wadanganyika....wataona tu kama ambavyo walion bei ya sukari.

Ilianza sukari, wote tukaathirika, na haya pia wote tutaathirika. Nchi ni yetu sote. Si vema kuachia maamuzi makubwa yanayoathiri watu wengi kwa mtu mmoja tena asiyetaka kukosolewa. Watanzania, wenye vyama na wasio na vyama, tuweni makini na viongozi wetu (Prof Kitila alisema tusiwaamini sana viongozi wa kisiasa!).

Uchumi wa nchi hii unakwenda kuanguka.
 
hapo unachangia,huku machozi yakikulenga lenga!

Machozi yanawatoka wale walikuwa wanawaibia wengi. Sasa wanaona uchungu na maisha magumu Kama vile wengi wao walikuwa wakiona wakati wanaweka pesa za uma mifukoni. Matokeo yake wagonjwa walilala chini, wajawazito walizalia chini na watoto wetu wakikaa chini na shule hazina vyoo.. Sasa niulize, pesa hizi za bandali zilikuwa zikienda wapi? Kwa sasa bandali iko tupu, lakini watoto wetu wanakaa kwenye viti, na mahospitali yameanza kupata vitanda. Je pesa za bandali ni nani katuwekea? Wakati Rais Magufuli alikuwa sefu haina hata pesa za kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali?
 
Bado hatujafikia huko.miaka yote wakati wa kipindi kama hiki mizigo huwa inakata,lakini ikifika september bandari itakuwa ndogo kwa mizigo
 
Usafirishaji ni sekta muhimu kwa biashara yoyote duniani, ili biashara endelevu iwepo ni lazima kwanza kuwepo na MAHITAJI pili kuwepo UZALISHAJI tatu kuwepo USAFIRISHAJI au USAMBAZAJI hapo biashara hufanyika ni kanuni mojawapo ya biashara baina ya wauzaji na wanunuzi kimoja wapo kikikosekana biashara huwa ni ngumu kufanyika kwa muelekeo huo wakulima wetu watapata wakati mgumu kuuza bidhaa zao kama vile choroko, dengu, mbaazi, giligilani ambazo zote hizo hutumika kidogo sana nchini , kiasi kikubwa husafirishwa nchi zs mashariki ya kati ambao ndio walaji wakubwa wa bidhaa hizo mamia ya matani kama sio maelfu ya matani , na zote hizo husafirishwa kwa meli kubwa kubwa ambazo huja nchini kushusha bidhaa kutoka China India ,Japan na kwingineko na kawaida za meli hufanya biashara zake kama dala dala yaani hushusha na kupakia na huzunguka duniani kote kwa stail hiyo hiyo isipokuwa baadhi chache sana zile ndogo ndogo hupata mizigo ya kwenda mahali pamoja

Sasa ikiwa meli zinakuwa chache bandarini kuna maanisha shusha pakia itakuwa kwa kiasi kidogo sana hiyo itasababisha gharama za usafirishaji huenda zikawa ghali kwa maana hiyo atakaye fidia ughali wa usafirishaji akawa mkulima kwa kununuliwa bidhaa zake kwa bei pungufu kuliko miaka iliyopita , huu ni mtizamo tu
 
Kwa wale mnaolalamika poleni sana.. kwa wale walioisoma namba poleni zaidi.. kwa wale msiojua kinachoendelea ila still mnalalamika poleni zaidi na zaidi. Kwa wale ambao hata bandarini hawajawahi kufika na hata hawaelewi kinachoendelea ila still wanalalamika nawatakia pole pia.. kwa wale mnapinga tu as long as mwonekane mnatoka upande gani poleni sana pia..

Ukweli mchungu ni..

HAMNA MTAKACHOWEZA KUFANYA..au KUBADILISHA

Endeleeni kulalamika..

Mkuu na wewe umeungana na wanao lalamika kwa kuwalalamikia kuwa wanalalama ,haya tupe ukwel basi ni upi ..
 
Usafirishaji ni sekta muhimu kwa biashara yoyote duniani, ili biashara endelevu iwepo ni lazima kwanza kuwepo na MAHITAJI pili kuwepo UZALISHAJI tatu kuwepo USAFIRISHAJI au USAMBAZAJI hapo biashara hufanyika ni kanuni mojawapo ya biashara baina ya wauzaji na wanunuzi kimoja wapo kikikosekana biashara huwa ni ngumu kufanyika kwa muelekeo huo wakulima wetu watapata wakati mgumu kuuza bidhaa zao kama vile choroko, dengu, mbaazi, giligilani ambazo zote hizo hutumika kidogo sana nchini , kiasi kikubwa husafirishwa nchi zs mashariki ya kati ambao ndio walaji wakubwa wa bidhaa hizo mamia ya matani kama sio maelfu ya matani , na zote hizo husafirishwa kwa meli kubwa kubwa ambazo huja nchini kushusha bidhaa kutoka China India ,Japan na kwingineko na kawaida za meli hufanya biashara zake kama dala dala yaani hushusha na kupakia na huzunguka duniani kote kwa stail hiyo hiyo isipokuwa baadhi chache sana zile ndogo ndogo hupata mizigo ya kwenda mahali pamoja

Sasa ikiwa meli zinakuwa chache bandarini kuna maanisha shusha pakia itakuwa kwa kiasi kidogo sana hiyo itasababisha gharama za usafirishaji huenda zikawa ghali kwa maana hiyo atakaye fidia ughali wa usafirishaji akawa mkulima kwa kununuliwa bidhaa zake kwa bei pungufu kuliko miaka iliyopita , huu ni mtizamo tu
Hata mimi layman nimeielewa hii concept .
 
H

Hii ni uthibitisho tosha juu ya nchi ilivyokuwa inaliwa. Kuambiwa walipe kodi wameamua kutimua! Hongera Rais kwa kuondoa mtandao Wa wasiolipa kodi bandarini.

Hakuna aliepinga kuna lugha za kuongea na mteja wako kuna ushindani. Wewe kariri tuu mkuu wako anavyoongea. Sikulaumu ungekuwa umejaribu kufanya biashara ata ya nyanya ungeelewa unapotumia mabavu lazima umpoteze mteja mteja ni mfalme. Ayoo maneno angeongea kama bandari ingekuwa yenyewe africa nzima.
 
Bandari ilipokuwa imefurika kodi makusanyo wastani niilikua bilioni 800-900
Bandari zimekaukiwa na mizigo kodi wastani ni Trilioni 1-1.3
Inahitaji elimu ya darasa la saba tu kung'amua kwamba mafuriko yale ya mizigo,mingi kodi ilikuwa haiingii serikalini
 
Machozi yanawatoka wale walikuwa wanawaibia wengi. Sasa wanaona uchungu na maisha magumu Kama vile wengi wao walikuwa wakiona wakati wanaweka pesa za uma mifukoni. Matokeo yake wagonjwa walilala chini, wajawazito walizalia chini na watoto wetu wakikaa chini na shule hazina vyoo.. Sasa niulize, pesa hizi za bandali zilikuwa zikienda wapi? Kwa sasa bandali iko tupu, lakini watoto wetu wanakaa kwenye viti, na mahospitali yameanza kupata vitanda. Je pesa za bandali ni nani katuwekea? Wakati Rais Magufuli alikuwa sefu haina hata pesa za kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali?
Kwenye ukweli kubali tu huo ubishi hautakusaidia chochote hapo bandarini ni sawa na pembe la ng'ombe halifichiki
 
Back
Top Bottom