Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,150
- 137,132
Hivi mizigo ya wizi inaumhimu gani wa kuwepo ni bora ibaki michache ambayo unalipa kodi hakuna namna nyingine.
Hiyo ni kweli kabisa.
Sheria lazima ifuatwe.
Watu walizoea vibaya.
Na kwa hilo namuunga mkono Magufuli kwa nguvu zangu zote.