Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Basi tuseme cdmyou are hallucinating, whatis Ukawa
it doesn't exist anymore
Basi tuseme cdmyou are hallucinating, whatis Ukawa
it doesn't exist anymore
Kama ilikuwa rahisi kujua idadi ya magari kwanini iwe ngumu kutaja kiasi cha pesa ili tuone difference? Ninasema hivyo nikizingatia suala la udanganyifu lililokuwepo kabla. Nafikiri Mmawia ulipaswa ujue hoja yangu imelalia wapi.Sasa hapo kigumu kiko wapi? Au hesabu kwako ni ngumu?
Hapo tunaongelea kupungua kwa mizigo bandarini hayo mengine kawaulize maprofesa wa uchumiMmawia naomba unijibu: Wakati bandani inajaa meli na sasa ambapo haijai kuna tofauti gani katika maisha ya mtu wa kawaida? Mimi sioni. Meli zilipojaa ni kina Home Shopping walikuwa wanafaidi.
Akili zenu mnaona hili linaathiri wana lumumba tu, ndio maana kuna post umesema wana lumumba wataisoma namba.Poleni sana wana lumumba
Umeonaeeeee?Wewe payuka tu kama mwenzio ,matokeo ndio hayo sasa ...
atakupotezea muda huyo.Kama ilikuwa rahisi kujua idadi ya magari kwanini iwe ngumu kutaja kiasi cha pesa ili tuone difference? Ninasema hivyo nikizingatia suala la udanganyifu lililokuwepo kabla. Nafikiri Mmawia ulipaswa ujue hoja yangu imelalia wapi.
Wacha tuisome nambaHapa Kazi tu wamepigwa TKO......hapo hakuna aliyefanya analysis kwenye utumishi....pako chini zaidi baada ya wakubwa kupandikiza chuki kati ya wananchi na watumishi
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiKuna watu wanashangilia utadhani wao si Watanzania.
Kuna watu wanatoa majibu rahisi tu kwa kusema kuwa waliokimbia bandari walikuwa hawalipi kodi. Nafikiri jibu hili sio la kisayansi hivyo haliwezi kuthibitisha kwa kupungua kwa mizigo bandarini kuwa hii ndio sababu kubwa. La hasha!! Ni kwa kiasi kidogo sana inaweza kuchangia ila naamini ni lazima kutakuwa na sababu nyingine za msingi zaidi ya hii inayotajwa kirahisi rahisi tu. Hivyo hakuna budi mamlaka ya bandari ni lazima wafanye uchunguzi ili waje na majibu na kutafutia ufumbuzi suala hili.
Nakupongeza sana kwa jibu zuri sana kwa hawa watu wa ajabuHebu Punguza Mawazo Mgando Ya Kudhani Kila Anaeikosoa Serikali Ni Mpizani. Kama Wewe Unadhani Ukiwa Mwana CCM Ni Sharti Kupongeza Kila Kitu Hata Kama Kikiwa Kibaya, Basi Ujinga Huo Unao Wewe Mwenye Akili Za Upimbi.
Tutafaidi sana hasa siku za sikukuuuWaifanye iwe beach yale mawinchi yawe bembea
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwi kwiAnd stupidity is far better than ignorance
Kuna watu wanatoa majibu rahisi tu kwa kusema kuwa waliokimbia bandari walikuwa hawalipi kodi. Nafikiri jibu hili sio la kisayansi hivyo haliwezi kuthibitisha kwa kupungua kwa mizigo bandarini kuwa hii ndio sababu kubwa. La hasha!! Ni kwa kiasi kidogo sana inaweza kuchangia ila naamini ni lazima kutakuwa na sababu nyingine za msingi zaidi ya hii inayotajwa kirahisi rahisi tu. Hivyo hakuna budi mamlaka ya bandari ni lazima wafanye uchunguzi ili waje na majibu na kutafutia ufumbuzi suala hili.
Lima pamba viwanda vya nguo Vinakuja acha kulalamika. Pamba inalipa sana nasikiaNchi inaendeshwa kwa mwendo kasi.Huku kwetu musoma njaa kali
Teeeeeeh teeeeeeeeh, wakati mnaimbishwa kama mazuzu hamkulijua hilo?Akili zenu mnaona hili linaathiri wana lumumba tu, ndio maana kuna post umesema wana lumumba wataisoma namba.
Hahaaaaaaaaa. Ki ukweli umenichekesha sana. Nimekuibia mke au?Mwizi wee