Me nimewapa pole tu..Mkuu na wewe umeungana na wanao lalamika kwa kuwalalamikia kuwa wanalalama ,haya tupe ukwel basi ni upi ..
kwani ni sifa kuwa na mizigo mingi isio kuwa na maana , kama tuna michache halafu mapato ni mengi kuliko isivyokuwa hapo awali kuna haja gani
kwani ni sifa kuwa na mizigo mingi isio kuwa na maana , kama tuna michache halafu mapato ni mengi kuliko isivyokuwa hapo awali kuna haja gani
Hii inanikumbusha siku za nyuma kidogo, mwenye nyumba aliwapandisha kodi gafla bila kuwapa taharifa mapema wapangaji wake ili waweze kujiandaa kulipa.
Kilichofuata mwezi ulipofika wa kulipa kodi karibu robo tatu ya wapangaji wote wakahama na kuacha nyumba tupu, ilkaa tupu kwa muda wa zaidi ya miezi minne mpaka mwenyenyumba akajirudi na kupunguza bei tena, na kuanza kupata mpangaji mmoja mmjoja.
Kwa case hii ya bandari nafikiri serikali ikaze buti tu wakati wafanya uboreshaji wa bandari na system zote za usalama, ukaguzi, tarakimu na zinginezo ili wateja wakishaanza kutumia tena bandari hii basi wasiweze tena kubadilika na kuondoka kwa mara nyingine
Wewe wacha kudanganya mombasa meli zimefurika kibaoWalijifanya kukimbilia kenya jana kimenuka bandari ya Mombasa sasa wanajaribu kuanza kutumi wenye njaa wapige kelele ili Magufuli alegeze hakuna kulegeza ni kukaza tu sasa waende wakapitishie msumbiji
Mzee wa viatu vya asili!Kama kufukuza fukuzeni wote majengo tufugie kuku ilo ndo tutakalo wezamjomba bhn waga ana manenoooo
This time next year itakubidi uje kufafanua hiki unachokisemaBandari ilipokuwa imefurika kodi makusanyo wastani niilikua bilioni 800-900
Bandari zimekaukiwa na mizigo kodi wastani ni Trilioni 1-1.3
Inahitaji elimu ya darasa la saba tu kung'amua kwamba mafuriko yale ya mizigo,mingi kodi ilikuwa haiingii serikalini
Ni vizuri unavyojipa moyo,unalinda afya yakoThis time next year itakubidi uje kufafanua hiki unachokisema
Wee Mmawia, tumiaga akili japo kidogo. Hapo maana yake wote walioondoka walikuwa hawalipi kodi.
Title yako, Bandarini sasa kweupe, ni kwamba FAINALI, bandari imefika ulipotaka, wee jamaa ni kichwa cha mbu mwili wa tembo.