Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

Dkt. Mpango: Kodi si tatizo Bandarini

Mbona haraka ivo usha post huku
 
uploadfromtaptalk1471367094611.png
 
Mmh..ngumu kumeza... Tukubali tukatae maamuzi mengine ambayo yameshafanyika na ambayo yanaendelea kutekelezwa madhara yanaendelea kuonekana na bado yataendelea kuonekana na yataumiza wengi.

Jamani walio karibu waache woga wa kutoa ushauri au wasiache tu mpaka mambo yaharibike kabisa. Please do something...

Ukishakimbiwa na mteja akaenda sehemu nyingine kuja kumshawishi arudi siyo kazi ndogo..
 
Hiyo ndio hali halisi na ndio ukweli wa bandari yetu mizigo mingi ilikuwa hailipiwi kodi hivyo ni bora wasije kabisa...!

Naipongeza serikali kwa hatua hii ya kudhibiti kwa sasa tunajua kabisa tunapata mizigo ya aina gani na kiasi gani.. Nina hakika kwa sasa mtu akiagiza gari lake hato ibiwa...!
 
Back
Top Bottom