ukosahihi wanaficha ninihawa watu was bandari watoe ripoti zinazo eleweka kama wasomi. waseme wazi kuwa mapato yamepungua kiasi gani, swala la idadi ya magari halitoi picha sahihi.
ukosahihi wanaficha ninihawa watu was bandari watoe ripoti zinazo eleweka kama wasomi. waseme wazi kuwa mapato yamepungua kiasi gani, swala la idadi ya magari halitoi picha sahihi.
Uongo mwingine bhana, yaani ICDs kibao hazina magari wala mizigo, badari kwenyewe hakuna kitu kisha tunasema chanzo ni China, yaaani mizigo yote na magari yote yanatokea China?? Basi tuwe sehemu ya Jamhuri ya China hhahahahahaaaa“Waambie waache porojo, waende kwenye takwimu, hata kwa nchi jirani ya Kenya mizigo inayoingia imepungua kwenye Bandari ya Mombasa. Waende wakapate ripoti.”
Takwimu Vs Uhalisia?? Takwimu zinaweza kuwa generated tu na mtu yoyote??“Waambie waache porojo, waende kwenye takwimu
Hao china walikua wanaleta makontena bure kugawa ?
Kwani nchi jirani zimesita kuagiza bidhaa?
Kwani sisi tumesita kuagiza bidhaa ?
Wanachisema watu ni kuwa hata bidhaa zetu nyengin e zinapita kenya . Why ? Kweli tatizo io kodi tu peke yake ni huduma mbovu hapo bandarini na feed zisizo eleweka.
Madukani hakuna uoungufu wowote upo kama kawaida kuonesha bidhaa zinaingia ...lakini bandari ipo kavu ...na waziri anasema wanakwepa kodi,...sasa hizi bidhaa zinapita wapi..? Ukweli hawatumii bandari yetu lakini mizigo inakuja kama. Kawa
Ni muhimu bandari kuwa buzzy , hixi sababu za kichina hazisaidii.
...Mpango amefafanua kuwa, kuyumba kwa soko la China ndiyo sababu ya mizigo hiyo kupungua...
waagizaji hawana soko maana wanunuzi waliokuwa wanahonga wametumbuliwaMagari nayo yanatoka China?
Hawapo sasa, atawabanaje?Aendelee kuwabana walipe kodi
Hapo bandarini kuna tatizo kubwa sana.HATUA ya kupungua kwa mizigo inayotoka nje ya nchi kwenye Bandari ya Salama haitokani na ongezeko la kodi, anaadika Regina Mkonde.
Dk. Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mpango amesema kuwa, pamoja na kuwepo kwa madai kwamba, mizigo kutoka nje ya nchi imepungua kutokana na ongezeko la kodi “kauli hii si ya kweli.”
Dk Mpango ametoa kauli hiyo leo katika mkutano wa uorodheshwaji wa hisa kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) uliofanyika jijini Dar es Salaam.
Mpango amefafanua kuwa, kuyumba kwa soko la China ndiyo sababu ya mizigo hiyo kupungua kwa kuwa, Tanzania inashirikiana na nchi hiyo katika masuala ya kiuchumi.
“Muangalie uchumi wa China unavyokwenda, soko lake limepungua ulimwenguni, kutokana na sababu ya nchi kuwa na ushirikiano wa kiuchumi na china kumeathiri.
Kodi haiathiri chochote kile, na kelele zote zinazoendelea zinafanywa na wale wakwepa kulipa kodi.
“Waambie waache porojo, waende kwenye takwimu, hata kwa nchi jirani ya Kenya mizigo inayoingia imepungua kwenye Bandari ya Mombasa. Waende wakapate ripoti.”
Amesema kuwa, serikali ipo makini na wafanyabishara ambao hawataki kulipa kodi.
“Walipe kodi tu ili serikali iweze kuwahudumia, haiwezekani bandari itoe huduma kwa wafanyabiashara pasi na wao kulipa kodi, hapana.”
Nilimuona then ITV wakamundoa haraka. Usishanage ITV leo wakaomba radhi kwa ''kosa'' la kuruhusu ile clip kuwa aired!Kuna msemaji mmoja kaongea kwa hasira kweli... Nafkiri alitukana kabisa.
hii ni style ya kukumbuka shuka kumekucha visingizio havikosekani lakini kekundu kekundu .....................Shule muhimu sana sana sana sanaUkweli wafanyabiashara hawapendi kulipa kodi, kama wameshindwa kufanya biashara hapa tanzania wapo huru kuondoka na kwenda kufunya nchi nyingine ambako watafanya ufisadi wao wa kutokulipa kodi.