Dkt. Mpango akerwa na Utaratibu wa Kuhamisha Watumishi Wabovu badala ya kuwaondoa kabisa

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameonesha kukerwa na utaratibu wa Kuhamisha Watumishi wanaonekana kushindwa kumudu Majukumu yao au kutuhumiwa kufanya vitendo vinavyoenda kinyume na sheria na kisa kupelekwa kwenye maeneo mengine ya utumishi.

Mpango ametoa kauli hiyo akiwa Kigoma ambapo ametaka Meneja wa TASAF na Meneja wa Mamlaka ya Maji waondolewe kazini moja kwa moja wakibainika kuhusika na tuhuma zilizotolewa na Wananchi ikiwemo kutoa lugha mbaya pamoja na wananchi kukosa maji kwa muda wa miaka miwili.

Yeye hicho cheo chake na Mkataba wa DP mbona hajamshauri Rais vzr. Na yeye atolewe, na Waziri Mkuu, Waziri Mbarawa , na Katibu mkuu miundombinu. Yaani mtu ana panua tu mdomo kisa haiko kwake.
 
Yeye hicho cheo chake na Mkataba wa DP mbona hajamshauri Rais vzr. Na yeye atolewe, na Waziri Mkuu, Waziri Mbarawa , na Katibu mkuu miundombinu. Yaani mtu ana panua tu mdomo kisa haiko kwake.
Nakazia Watolewe
 
Back
Top Bottom