Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,754
- 3,680
Kama hizo multplier effects zipo basi tungeona bei zikishuka kutokana na kupungua kwa gharama za uzalishaji.
Tumeona mfumuko wa bei ukishuka.
Kama hizo multplier effects zipo basi tungeona bei zikishuka kutokana na kupungua kwa gharama za uzalishaji.
Nimekuuliza ni bidhaa gani ambazo bei zake zimeshuka?Tumeona mfumuko wa bei ukishika.
Nimekuuliza ni bidhaa gani ambazo bei zake zimeshuka??
Wakati mwingine usiongee vitu ambavyo huna ushahidi navyo.Ni bidhaa zinazo tumiwa kujua kupanda na kushuka kwa mfumuko wa bei.
Wakati mwingine usiongee vitu ambavyo huna ushahidi navyo.
Hoja yako haina uhalisia, ongezeko la mishahara ya wafanyakazi lina mchango mdogo kwenye mfumuko wa bei.Yanaweza semwa meeengikuhusu nyongeza ya mishahara aliyoahidi rais kwa kifupi ndg zangu bora aondoe kodi kiasi flani.
Kuongeza mshahara kuna madhara makubwa, ielewekekwamba mengi huibuka mshahara ukiongezwa. Ni mh apunguze kodi ifike kias kiddo ni bora Mara 1000.
Mungu atamweka pembeni,system imelazimisha awepo katiHuyu ni wakuweka pembeni tumemchoka sn
Wamemchagua.Ni miatano tenaHakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.
Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.
Kiko wapi?Mungu atamweka pembeni,system imelazimisha awepo kati
Kabisa mkuuMungu atamweka pembeni,system imelazimisha awepo kati