Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

Umeme tangu aingie madarakani haujapanda hsaa senti moja, ulisikia mgao ukiongezeka na wahindi kuagiza majenereta ya kutulangua? Wenye biashara za sukari na cement si cartel practice hiyo needs a longrun plan and solution.

Ule mradi wa umeme tegeta wa wahuni, matapeli na wezi ulishausikia?
Na haujashuka pia
 
Hakuna mfanyakazi atakaa achague huyu dhalimu. Anajidanganya tu.

Si alijifanya kuwafokea! Leo maji yamemfika shingoni ndo anaanza kutapatapa. Ameshachelewa yaani.
Kijana we una matatizo sana,hivi mangap Raisi Magufuli ameyafanya kuhusu wafanya kazi.

Ameleta heshima makazini na kupunguza wingu la rushwa na utumiaji wa fedha kiholela.ulitaka afanye nini,au ulitaka tubaki na wafanya kazi hewa nchi iendeleee kuwa na hasara?

Mbona nyie mbuzi hamtaki kujiongeza,mi naumia sana mtu anapokosa kuwa muelewa.

KURA YANGU KWA RAISI MAGUFULI TUUU
 
Kila mwaka utasikia sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi!
43890890.jpg
 
Wafanyakazi na vijana wa Tanzania mjiandae neema inakuja JPM akiahidi anatimiza.

October 28th twendeni tukamchague Magufuli kwa kura nyingi sana

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Acha umbulula kwani 2015 pia si aliahidi na baadae akaanza kutufomea.
 
Acha umbulula kwani 2015 pia si aliahidi na baadae akaanza kutufomea.
Habari ya asubuhi Mbulula Mkuu.

October 28th kura yako kwa JPM ni muhimu sana himiza na wengine twende tukampigie kura za ndio Magufuli na wabunge na madiwani wa CCM.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Mgombeawa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania...
Kwakweli amejitahidi sana kujenga nchi amechoka na sasa watanzania tunampa nafasi akapumzike

Hilo la sisi wafanyakazi tumuachie Lissu atamsaidia kuliweka sawa

#NI YEYE + PONDA 2020
 
Mgombeawa Urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM amesema sasa ni wakati wa kujali maslahi ya wafanyakazi wa Tanzania.

Amesema kwa miaka mitano aliyoongoza ameweza kufanya nchi ifike uchumi wa kati wa chini na hivyo kwa miaka mitano inayofuata ataanza kuboresha maslahi ya wafanyakazi.

Amesema hauwezi kuongeza mishahara wakati hauna hela ya kuongeza mishahara. Aidha amesema hao wanasema kuhusu kuongeza mishahara hawajawahi kutawala.

Amesema wengine vyama vyao wameshindwa hata kujenga ofisi za vyama vyao. Amesema kuzungumza ni rahisi kuliko vitendo.
Kachelewa tumetawaliwa km mifugo
 
Hivi kuna mfanyakazi atakayedanganywa na ahadi hizo za kitoto kwamba nitakuletea pipi wakati siku zote umemnyima hizo pipi?
 
Hata uongeeje jomba Magufuli wananchi wameshafanya maamuzi wanakwenda kimsimika ikulu..no matter what...unapoteza muda wako bure nikwambie...rudini tena 2030 Kama mtakuwa Bado mpo salama..waambieni mabwana zenu huku watanzania wamekomaa..hawana mchezo
1.5 Trillioni?.Ameshatoa majibu zilipo?
 
Back
Top Bottom