polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,343
- 5,864
Najionaje juha mkuu wakati official notification ilikuwa haijatoka? Ya mitandaoni mbona mengi unataka tuamini hovyo hovyo?? Maana mtandaoni tuliambiwa Mh. Mpango katangulia mbele za haki, nikweli? Lakini pia tuliambiwa lowasa katangulia mbele za haki vp nikweli?? Lakini tuliambiwa pia mwinyi katangulia mbele za haki vipi ni kweli? Kuamini vitu hovyo hovyo yena vinavyo toka kwa wahuni wa mitandaoni ndio ujua mkuu.Unajisikiaje Leo ukisoma hii msg hujioni juha? polokwane
