Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,758
- 2,155
Hebu nipe uhakika,Maana hata inshu ya Ruangwa ulinipa uhakika na nikapata tumaini,leo pia naomba unipe tumaini hilo!Yes. Ila ameishinda. Now ni mazoezi ya kifua tu.
Hebu nipe uhakika,Maana hata inshu ya Ruangwa ulinipa uhakika na nikapata tumaini,leo pia naomba unipe tumaini hilo!Yes. Ila ameishinda. Now ni mazoezi ya kifua tu.
Jamaa yupo feet kabisa. SPO2 98%,.Kamegoma kufa.Hebu nipe uhakika,Maana hata inshu ya Ruangwa ulinipa uhakika na nikapata tumaini,leo pia naomba unipe tumaini hilo!
kama Lissu aliyelianzisha hawezi kusema hivyo, nawe una speculate kaa wengineInategemea na unaweza ona kuna ambao wanakuwa na Corona hata dalili hawana. Siyo automatic kuwa kwa vile kapata Corona basi atapata Permanent damage. Yes yupo kwenye risk. But as for now the man is coming back. Tujiandae kwa vichambo.
Nitumie nami hiyo Clip kama hautojali.Nimekutumia clip iangalie
Amina,Mungu yu mwema!Jamaa yupo feet kabisa. SPO2 98%,.Kamegoma kufa.
Nina asilimia 100 news ta ukweli. The man is bouncing back.kama Lisu aliyelianzisha hawezi kusema hivyo, nawe una speculate kaa wengine
Kuna huyu mtanzania anaitwa Dr. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?
Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba tumjadili kwa pamoja hapa free media JF
Huyo ndio alikua anaiba na meko toka wakati ujenzi.Kuna huyu mtanzania anaitwa Dr. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?
Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba tumjadili kwa pamoja hapa free media JF
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !Ni muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisa tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa kejeli alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.
Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.
Source za Lissu ni reliable, kumbuka kuwa yeye ni mwanasheria hawezi kuongea kwa uwazi kitu asicho na uhakika nacho.
Mbona hata suala la Nairobi na India, he was too confident!??? Wadanganyao ndivyo walivyo -- confusion at worst.
Tumeuona utukufu wake na tunalisifu jina lake milele.Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Wagita ni watu wa majungu sana khaaNi mjita anatokea either BUTIAMA au MUSOMA VIJIJINI na alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya ujenzi-over.
Amna bana, sio mgogo kweli?
Your so-called ^mwanasheria^ must apologize. Aache kubadili tune and narrative. He has proved time and again to be a very unreliable source & cornman.Source za Lissu ni reliable, kumbuka kuwa yeye ni mwanasheria hawezi kuongea kwa uwazi kitu asicho na uhakika nacho.
Kuna mwanafunzi kwenye lab yangu alipata Corona; akawa anahema sana na alihangaika nayo kwa muda kama wiki tatu. Nilikuwa na wasiwasi sana kuwa huenda kaniambukiza na mimi mzee wa shamba- nadhani niliweka bandiko hilo hapa, nikakaa karantini wiki mbili na baadaye nikapimwa na kukutwa negative. Sasa yule kijana alipopona na kurudi shule, alikuwa na backlog kubwa ya assignments ila alizipangua harakaharaka na sasa hivi anafanya vizuri tu wala hakuna athari zozote zinazoonyesha kuwa uwezo wake kiakili umeathiriwa!Inategemea na unaweza ona kuna ambao wanakuwa na Corona hata dalili hawana. Siyo automatic kuwa kwa vile kapata Corona basi atapata Permanent damage. Yes yupo kwenye risk. But as for now the man is coming back. Tujiandae kwa vichambo.
SPO298% ndio nini!?Jamaa yupo feet kabisa. SPO2 98%,.Kamegoma kufa.