Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Hivi wewe mrembo unakaa kabisa kwa akili na moyo wako. Watu watanzania wamchague Lissu over JPM. Are you for real. Naona mnazunguka kila mahali kuforce mada. Yani kimsingi ninyi Ni watoto wa baba NEGATIVITY. Mmeuza akili Sasa mnaongozwa na remote. It’s really a pity but Ndo hivyo kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake. Sifa moja ya wanafiki hawapingani wala hawagombani mana kuanzia sura mpaka maneno yao Ni Fake.

Ndugu yangu Lissu asingeweza kuchaguliwa kuwa Rais wa JMT. Angalia tu hata maneno yake huko aliko. Kuwa Rais Ni zaidi ya uharakati.
Achana na huyo muke ya kibabu cha kituntu na frustration zake maana kazi yake kuwahudumia wazee huko ulaya
 
Watanzania kama wewe unamaanisha. 90 % love their president. Nyie wengine wambeya tu na mnajiwekea mkakati wa kucomment then mnajiona wengi. JPM is loved. Nenda FB INSta kwenye watu na ID zao uone. Hapa unajidanganya na watu wengi Ni mkumbo hasa akijua hajulikani. Fanya kazi tunza wazazi wako wewe Acha kujidanganya.
wengine mna hasira za ajabu, kwa vile tu humu hatuandikani jinsia na ukabila
hivi kweli ule uchaguzi wa 2015 huyu jamaa angepita kwa zile kura za NEC km sio mizengwe.
Mnachobishana mm hata sikielewi kwani kuna mahali mmeshabadili utaratibu wa kumuweka Makamu toka eneo moja au kabila moja?
Msiwavuruge watanzaia na Muungano wetu, Makamu lazima atoke upande mwingine na Dini nyingine
Ukabila sasa basi na tumekoma Kanda ya Ziwa Kigoma na Kagera basiiii
Hii ni nji ya mafununu!
Nasikia huenda akawa ndiye Makamu wa Rais iwapo parapanda Italia one of these days!!
 
Kabisa Mkuu, ukihisi kuumwa na kichwa na kizunguzungu ndio yenyewe hiyo. Jitahidi pia kunywa maji ya kutosha haswaa watu wanachanganyikiwa, Mimi hata nilipomwona Mh. Philip Mpango akiongea ni kama hakuwa sawa hivi
Hakua sawa kbs yeah maji nakinyw1.5 per day
 
Ninamjua Leonard Chamriho kwa kuwa nimewahi kufanya naye kazi.

Chamriho alipogombana na Mukandala pale UDSM wakati akiwa meneja wa idara ya miliki (Estate Manager) Magufuli (rafikiye, wakati huo akiwa waziri wa ujenzi), alimuahidi angemtafutia kazi nyingine, kisha 2014 alimteua kuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Ujenzi (NCC).

Mwaka 2015 mara baada ya uchaguzi mkuu Magufuli alimteua Chamriho kuwa Katibu Mkuu, Ujenzi Mwasiliano na Uchukuzi (akishughulikia Uchukuzi). Mwaka jana baada ya uchaguzi mkuu Magufuli alimteua Chamriho kuwa Mbunge kisha kumteua tena kuwa waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi. Masuala yote ya ununuzi wa ndege aliyashughulikia Chamriho.

Hata hivyo, Chamriho siyo mtu tough wala smart guy isipokuwa alikuwa too loyal kwa Magufuli. Ninadhani wanaomtaka am-replace VP ni kwa sababu ya hiyo character yake ya kutokuwa smart ili kulirahisishia kundi la Magufuli (wengi wao wasukuma) kupitishaji mambo yao (ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanalinda vyeo vyao) kwenye utawala ujao.

Chamuriho sio smart?
 
Januari covid ilinipiga kisawasawa. Nilikuja kuambiwa kuwa ilikuwa yenyewe zaidi ya mwezi na nusu baada ya kupona.

Namshukuru Mungu kwamba nilipona bila kutumia dawa yoyote. Si malimao wala kujifukiza.

Pole sana
Binadamu tuko tofauti kabisa
 
Ni mjita anatokea either BUTIAMA au MUSOMA VIJIJINI na alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya ujenzi-over.
Mr Econometricians,
Thank you so much for tracing the real trench to know Leonard Chamuriho not like other people who gossip.
Nilisoma Chamurio 2 mkubwa akiitwa Tanu na huyu Leonard wakiwa wadogo shule ya Msingi Mirongo mwaka 1966 nikiwa Darasa VIII wao wakiwa darasa either 2 au la 3 something like that, well I can't memorise it well.
Both their parents were teachers at the same school Mwl Chamuriho Mr and Mwl. Chamuriho Mrs.
As you have said they come from Musoma but mix of the 2 tribes, Kurya and Jita in that I think Baba in Mkurya haikuwa rahisi kujua kwa wakati ule na hasa watu hawa 2 wanapokuwa pamoja lugha zao zinahibiana.
Leonard later inasemekana alisoma Lake Secondary na hii nimehakikishiwa na Dada yangu who attended Lake Secondary school in between 1972 and 76 she is exactly Leonard's peer and this is the period this man finalised his O and A levels.
I think the ones who want to know this man better can start from here.
 
Kama ni muha nashauri ajihadhari na yatakayo zozote za kuvunja katiba..

Mfano tumeuona mwenye macho haambiwi tazama
Boss,
Hiyo sio muha aliyesema anaropoka tu, watu wengine hurukia maneno kama nyani arukiavyo miti
 
Muhimu ni kuwa taaluma ni zawadi.
Mengine ni Maajaliwa.
Dr. Chamu still very strong for coaching others.
 
Achaneni na ujinga wa habari za upotoshaji za mitandaoni nyie watu, yaani najiuliza huyo mnaye danganyana eti anaumwa sana siku mnamuona akiwa fiti sijui mtaficha wapi sura zenu na hao wapotoshaji wenu wa twita yaan nyie sijui kwakweli.
Unajisikiaje Leo ukisoma hii msg hujioni juha? polokwane
 
Back
Top Bottom