Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Unajisikiaje Leo ukisoma hii msg hujioni juha? polokwane
Najionaje juha mkuu wakati official notification ilikuwa haijatoka? Ya mitandaoni mbona mengi unataka tuamini hovyo hovyo?? Maana mtandaoni tuliambiwa Mh. Mpango katangulia mbele za haki, nikweli? Lakini pia tuliambiwa lowasa katangulia mbele za haki vp nikweli?? Lakini tuliambiwa pia mwinyi katangulia mbele za haki vipi ni kweli? Kuamini vitu hovyo hovyo yena vinavyo toka kwa wahuni wa mitandaoni ndio ujua mkuu.
 
Ni muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisa tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa kejeli alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.

Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.
Mwosha huoshwa.
 
Inategemea na unaweza ona kuna ambao wanakuwa na Corona hata dalili hawana. Siyo automatic kuwa kwa vile kapata Corona basi atapata Permanent damage. Yes yupo kwenye risk. But as for now the man is coming back. Tujiandae kwa vichambo.
Hello Victoire .
 
Ni masalia ya jpm hafai kwa lolote.. Zaidi ya udikteta
 
Kesho mtamuona mzee wetu kanisani akiwa na afya tele!! Mnalishwa matango pori yatawaumiza myoyo baadae!!

Nimejaribu kupitia story toka mwanzo naona nizakuunga unga tu!!

Ilianza nairobi
Ikaja india
Ikaja hajaondoka yuko dar
Ikaja mzena


Maneno meeengi bila ushaidi!! Kesho mnaumbuliwa!!!
Nani kasema
 
Back
Top Bottom