Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Hata mimi natamani kumfahamu maana naskia ndio anayemuekea mama Samia kiwungu
Achaneni na ujinga wa habari za upotoshaji za mitandaoni nyie watu, yaani najiuliza huyo mnaye danganyana eti anaumwa sana siku mnamuona akiwa fiti sijui mtaficha wapi sura zenu na hao wapotoshaji wenu wa twita yaan nyie sijui kwakweli.
 
Kuna huyu mtanzania anaitwa Dr. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?

Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba tumjadili kwa pamoja hapa free media JF
Unadhani najua basi?wala.
 
Achaneni na ujinga wa habari za upotoshaji za mitandaoni nyie watu, yaani najiuliza huyo mnaye danganyana eti anaumwa sana siku mnamuona akiwa fiti sijui mtaficha wapi sura zenu na hao wapotoshaji wenu wa twita yaan nyie sijui kwakweli.
Ata kuwa kapoma tutafurahi tukimuona
 
Corona inaharibu mapafu, brain na moyo. Huyo moyo wake tayari ulikuwa una hitilafu kubwa hivyo hata kama hajafa kurudi tena madarakani inawezekana ikawa ni kwa ubishi tu but health wise he’ll be UNFIT to remain in SH.
Ulichosema ni kweli mkuu..mie iliniaafect kbs brain..nilikua nawaza kwa muda mrefu mno ndo nijibu..kifupi mm.nilikua nawehuka kbs sasa sipatii picha yeye
 
Achaneni na ujinga wa habari za upotoshaji za mitandaoni nyie watu, yaani najiuliza huyo mnaye danganyana eti anaumwa sana siku mnamuona akiwa fiti sijui mtaficha wapi sura zenu na hao wapotoshaji wenu wa twita yaan nyie sijui kwakweli.
Kuugua sio kufa ni kawaida kwa binadamu
 
Kuna utafiti unaendelea kuhusu athari za corona kwa wale ambao hawakufariki. Kuna baadhi ni maselule kabisa wameshindwa hata kurudi makazini au kwenye biashara zao pamoja na kuwa wengine waliipata miezi mingi iliyopita. Na picha za MRI za brain zinaonyesha brain 🧠 yao iko abnormal.
Ulichosema ni kweli mkuu..mie iliniaafect kbs brain..nilikua nawaza kwa muda mrefu mno ndo nijibu..kifupi mm.nilikua nawehuka kbs sasa sipatii picha yeye
 
Corona inaharibu mapafu, brain na moyo. Huyo moyo wake tayari ulikuwa una hitilafu kubwa hivyo hata kama hajafa kurudi tena madarakani inawezekana ikawa ni kwa ubishi tu but health wise he’ll be UNFIT to remain in SH.
Inategemea na unaweza ona kuna ambao wanakuwa na Corona hata dalili hawana. Siyo automatic kuwa kwa vile kapata Corona basi atapata Permanent damage. Yes yupo kwenye risk. But as for now the man is coming back. Tujiandae kwa vichambo.
 
Back
Top Bottom