BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,044
Kuna huyu mtanzania anaitwa Dr. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?
Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba
Jumatano tarehe 10/3/2021 nikiwa kazini nilijisikia msukumo mkubwa ndani ya moyo na sauti ikisema: nenda haraka kaombe kwa ajili ya afya ya rais JPM. Nikajifungia ofisini nikatii agizo. Ninamwamini Mungu, mtenda miujiza!Nina asilimia 100 news ta ukweli. The man is bouncing back.