The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,318
- 46,059
Huyo Victorie ndio nani kwenye jambo hili?mnapenda kusikia habari zinazowafurahisha ila za ukweli hamtaki.
Kwa kuwa hapa tupo JF, huyo Victoire ni member wa JF. Hakuna haja ya kusema huyo mtu ni nani hapa, cha msingi alichokisema nimekithibitisha kwa vyanzo vyangu nnavyoviamini.
Unafikiri wewe una uwezo wa kujua mie au watu wanapenda kusikia habari gani? Hauna uwezo huo na hautakuja kuwa nao mkuu.
yao iko abnormal.