Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Kuna huyu mtanzania anaitwa Dr. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?

Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba tumjadili kwa pamoja hapa free media JF
Ongeza nyama mkuu, amefanya nini?,kuna tatizo gani?.
 
Shetani hana rafiki, acha na yeye aisome namba tu.
Mkuu tangu Kama siku mbili nilikabiwa na codes mbali mbali husiana na mh rais but nilizama kimaombi zaidi japo mie sio mchungaji, but leo nimepata jibu ,kwamba, Kuna kitu hakipo sawa so wamtakao rais wao kujitokeza popote hakipo nawaunga mkono, sio maneno yangu asema bwana
 
Back
Top Bottom