ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,830
Utukufu utauona roho yako ukiwa njema...Tumeuona utukufu wake na tunalisifu jina lake milele.
kinyume na hapo utausikia tu...
Utukufu utauona roho yako ukiwa njema...Tumeuona utukufu wake na tunalisifu jina lake milele.
Upo sawa mkuu, nilisha pata huo ugonjwa bahati nzuri haukunichukua sana, lakini kama ukikukamata vizuri kisha oxgeni mwilini mwako ikishuka below 77% kitu cha kwanza kuathirika mwilini mwako ni ubongo, kwa hapa ulaya madakitari wanacho fanya ni kukulaza usingizini yaani coma na kukuweka ICU na kuendelea kukutibu ukipona hauta kuwa 100% fit, na utakuwa na athali za kiafya na mentali maisha yako yote.Corona inaharibu mapafu, brain na moyo. Huyo moyo wake tayari ulikuwa una hitilafu kubwa hivyo hata kama hajafa kurudi tena madarakani inawezekana ikawa ni kwa ubishi tu but health wise he’ll be UNFIT to remain in SH.
Amen..nauona uponyaji kwakweliPole mwaya, Yesu Yesu azidi kukutunza kwa mkono wake
Upo sawa mkuu, nilisha pata huo ugonjwa bahati nzuri haukunichukua sana, lakini kama ukikukamata vizuri kisha oxgeni mwilini mwako ikishuka below 77% kitu cha kwanza kuathirika mwilini mwako ni ubongo, kwa hapa ulaya madakitari wanacho fanya ni kukulaza usingizini yaani coma na kukuweka ICU na kuendelea kukutibu ukipona hauta kuwa 100% fit, na utakuwa na athali za kiafya na mentali maisha yako yote.
Yes. Ila ameishinda. Now ni mazoezi ya kifua tu.
Agenda si bado ni mitano tena?Utukufu utauona roho yako ukiwa njema...
kinyume na hapo utausikia tu...
Mouth 3 tuAgenda si bado ni mitano tena?
One of " The midnight six"Kuna huyu mtanzania anaitwa Dr. Leonard Chamuriho, huyu ni nani hasa katika historia ya Tanzania?
Nini mafanikio yake katika utumishi wa Tanzania? Naomba tumjadili kwa pamoja hapa free media JF
Nimekutumia clip iangalie
Naomba ka clip PM dadaAgenda si bado ni mitano tena?
Mbwa kala mbwaNi muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisa tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa kejeli alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.
Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.
Kiwingu gani ambacho katibu mkuu wa wizara ya usafirishaji anaweza kumuwekea Vice president?Hata mimi natamani kumfahamu maana naskia ndio anayemuekea mama Samia kiwungu
Ooh ok sawa hapa sasa nimekupata vizuri mkuu BAKUpo sawa mkuu, nilisha pata huo ugonjwa bahati nzuri haukunichukua sana, lakini kama ukikukamata vizuri kisha oxgeni mwilini mwako ikishuka below 77% kitu cha kwanza kuathirika mwilini mwako ni ubongo, kwa hapa ulaya madakitari wanacho fanya ni kukulaza usingizini yaani coma na kukuweka ICU na kuendelea kukutibu ukipona hauta kuwa 100% fit, na utakuwa na athali za kiafya na mentali maisha yako yote.
Vp loading. ...Kiwingu gani ambacho katibu mkuu wa wizara ya usafirishaji anaweza kumuwekea Vice president?
Some clues on that pack pleaseOne of " The midnight six"
kwenye kupeleka viroba vya kura feki kulifuatwa katiba ipi?Katiba haifuatwi kwa hiyo
Naomba clip na mimiNimekutumia clip iangalie
Sasa kwa mwigulu nchemba itakuaje🙆🏾♂️Nina asilimia 100 news ta ukweli. The man is bouncing back.
KarmaNi muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisa tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa kejeli alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.
Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.