Hali gani, Mimi Niko nje kabisa ya wigo leo ndiyo nafungua simuNi muhimu kusimamia haki, yule mama alifurahi kabisha tukiporwa ushindi na aliona haki ikipokwa. Kwa je hei alitutamkia kuwa hata tukipiga kura kule ni sawa na kumwaga sukari Ziwa Victoria, wao ndiyo wataunda serikali.
Sasa serikali iliyoundwa bila haki inataka kumpoka haki yake.