Dkt. Leonard Chamuriho ni nani?

Kiwingu gani ambacho katibu mkuu wa wizara ya usafirishaji anaweza kumuwekea Vice president?

Huyu bwana naambiwa sio katibu mkuu tena bali JIWE alimteua kuwa mbunge na hapo hapo akampa uwaziri wa usafirishaji!!!
 

Hivi wewe mrembo unakaa kabisa kwa akili na moyo wako. Watu watanzania wamchague Lissu over JPM. Are you for real. Naona mnazunguka kila mahali kuforce mada. Yani kimsingi ninyi Ni watoto wa baba NEGATIVITY. Mmeuza akili Sasa mnaongozwa na remote. It’s really a pity but Ndo hivyo kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake. Sifa moja ya wanafiki hawapingani wala hawagombani mana kuanzia sura mpaka maneno yao Ni Fake.

Ndugu yangu Lissu asingeweza kuchaguliwa kuwa Rais wa JMT. Angalia tu hata maneno yake huko aliko. Kuwa Rais Ni zaidi ya uharakati.
 

Umeongea ujinga kabisa.
 
👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👍🏽
 
Muosha HUOSHWA!
 

Watanzania kama wewe unamaanisha. 90 % love their president. Nyie wengine wambeya tu na mnajiwekea mkakati wa kucomment then mnajiona wengi. JPM is loved. Nenda FB INSta kwenye watu na ID zao uone. Hapa unajidanganya na watu wengi Ni mkumbo hasa akijua hajulikani. Fanya kazi tunza wazazi wako wewe Acha kujidanganya.
 
Hujaeleweka unasimamia wapi
 

This is what actually happens when the tongue turns the brain its rightful employee -- instead of being vice versa.
 
Lisu amesema kuwa yuko tayari kuhukumia kama yeye na vyanzo vyake vitasema uongo kuwa jiwe is Over na Matelefoni kuwa jiwe yuko kzina. Tafuta majojiano ya jana , he was too cnfident na statenemt zake BAK Sky Eclat


Kabla ya yote, afafanue kwanza Nairobi Rais alitoka lini kwenda India, then India akatoka lini kuja Tanzania. Hatuna mengi kwa sasa, ajibu hayo tu, sawa!??? Na kama bado yuko India, pia atuambie. Mr Mzungu anahaha na confusion zake, hatokaa aamini atakachokiona. Aliambiwa last year Ikulu wanaingia wenye reasonable mind only, akaanza kuleta vizungu vingiiii. Where is he now!???
 
Tumienu akili hata kidogo basi, Waziri wa Ujenzi tena kwa ubunge wa kuteyliwa ana nguvu gani juu ya Makamu wa Raisi.

Mnafikiri kwa kutumia nini ndugu watanganyika

Nakushangaa sana unahangaika na hawa vibweterere. Sasa hivi kila kihoja kwao ni hoja kubwa -- wamepoteana. Eti TISS succeeded in misinforming the public!!! Hivi hawahawa hawakusema wana taarifa zote, hata zile za chunguni!???
 
Ili kuonesha nyinyi ni mashetani mlijaribu kumuua mkashindwa.
 
Chamuriho akiwa UDSM alikuwa anafanya consultancies za structural analysis kwa ujenzi wa majengo mbali mbali ya magorofa hapo Dar; nadhani ni kupitia consultancies hizo aliweza kufahamiana na Magufuli wakati akiwa waziri wa ujenzi. Pamoja na kuwa alikuwa chuo kikuu kipindi kimoja na Magufuli, hawakua watu wa karibu kihivyo.
 
Tumienu akili hata kidogo basi, Waziri wa Ujenzi tena kwa ubunge wa kuteyliwa ana nguvu gani juu ya Makamu wa Raisi.

Mnafikiri kwa kutumia nini ndugu watanganyika
Peter Mutharika
Mdogo wa marehemu Mutharika aliyekuwa rais wa Malawi alikuwa na cheo gani hadi walipiga zengwe mama Banda avuliwe uvp kiharamu ili awe rais?nguvu ya jeshi ndiyo ilimzuia
Akili ya waafrika kwenye madaraka inafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…