Huyu Mzee wa makafara anaishi kwa matumaini ya kuteuliwa. Atamaliza kutoa watoto kafara ili apate uwaziri tena.
Acha uzandiki polepole na sisi umma wa wananchi tunawajua wahuni ni nani. Wala msihangaike.Kwa hiyo ya kwake yeye hayana ushahidi wawazi? Ajiandae maana na yeye ni muhuni tu kama alivyo yule Polepole
SQUANDERING YOTE ALIYOIFANYA KWENYE UTALII FESTIVAL LIMESAHAU PUMBAVU
Jamaa ana elimu kubwa sana... Ila ni kama mwanamke wa uswahilini, yeye ni mipasho tu.. Na battle zisizo za msingi..
Kova naye anapatia haya?Hata kama Jiwe alikuwa muovu na kweli alikuwa lakini Kigangwala, Dungai wasingemsema vibaya kabisa. Jiwe alimgharamikia Kigwa ile ajali aliyomtoa Braza Temba kafara. Pia Jiwe alivunja hazina kabisa kumtibu jobu (mbishi wa kufa). Hapo unajifunza unafiki wa kiwango cha juu kwa watanzania.
Suleiman Kova Sasa hivi anadai akiwapigia polisi wenzake waliopo kazini simu hawapokei anabaki kushangaa WTF!
Tena haswaaMwanaume upande wa ccm amebaki polepole tu!, na anawakilisha kundi kubwa nyuma yake. Mama asiwe na papala atulize mizuka awe mpole
MpuuzI tu huyu. Anajipendekeza tu. Yeye mbona uchafu wake ulikuwa wazi.
Ahahahahhaha mke wake mwenyewe pisi kali kishenzi, anafanyakazi Aghakan pale kwa mshahara wa 4M.Jamaa ana elimu kubwa sana... Ila ni kama mwanamke wa uswahilini, yeye ni mipasho tu.. Na battle zisizo za msingi..
In short huyu jamaa kuna uwezekano huwa anachambana na mke wake..usiku ??
Sasa anawapigiaje simu polisi wakati raia wenzake tupoSuleiman Kova Sasa hivi anadai akiwapigia polisi wenzake waliopo kazini simu hawapokei anabaki kushangaa WTF!
Mwambieni Kova polisi walikuwa wafanyakazi wenzake tu siyo ndugu Wala rafiki zake. Kwahiyo asiwalumu kutokupokea siku zakeSuleiman Kova Sasa hivi anadai akiwapigia polisi wenzake waliopo kazini simu hawapokei anabaki kushangaa WTF!
Baba rizmoko kwa loose balls harembiAhahahahhaha mke wake mwenyewe pisi kali kishenzi, anafanyakazi Aghakan pale kwa mshahara wa 4M.
Sema jk alipita naye wakati jamaa anaumwa.