Rais Samia: Vijana hawaoi na wala kuolewa kuna tatizo kwenye jamii ya kitanzania

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Rais Samia Hassan ameyazungumza hayo leo katika hafla ya kusimikwa rasmi mkuu wa kanisa la KKKT Askofu Dkt Alex Malasusa katika kanisa la Azania front jijini Dar es Salaam

Rais Samia ameshangazwa kwanini tatizo la vijana kutokuoa au kuolewa linaongezeka nchini Tanzania wakati vijana wamefikia umri wa kuoa na kuolewa

Rais Samia ameshangazwa kwa sasa vijana wa kike ndio wanaohudhuria sana kwenye mambo ya kidini na kuwaacha kundi kubwa la vijana wa kiume wakipotea na hivyo kusababidha ombwe kubwa kwenye jamii

Kwa mujibu wa Rais Samia Hassan,Taarifa ya ripoti ya mahusiano ya jamii inaonyesha maeneo ya mjini tatizo la vijana kutooa na kuolewa linazidi kuwa kubwa zaidi ukilinganisha na vijijini

Aidha Rais Samia amesisitiza kuna migogoro mikubwa sana ndani ya familia hasa ndoa na hivyo kupelekea vijana kulelewa kwa kukosa maadili

Kwa mujibu wa Rais Samia zaidi ya migogoro elfu thelathini na tisa ya ndoa imeripotiwa

Rais Samia amewaomba wa Tanzania warudi kwenye misingi yetu ya asili ambapo vijana walilelewa kwa maadili makubwa sana ,Akitolea mfano enzi zao ilikuwa ngumu sana kwa mwanaume kumtongoza mwanamke na mwanamke akakubali kirahisi rahisi kwani wanawake walikuwa na misimamo tofauti na leo

Rais Samia ameiomba jamii wazazi na walezi kuwafundisha watoto maadili mema kwa kuwapeleka kwenye imani zao ili kuwajengea misingi bora ya ufahamu na maisha hapo baadae
##

Maswali ya kujiuliza kama Taifa,
1.Tatizo la vijana kuoa na kuolewa ni mambo ya maadili kama Rais Samia alivyosema au maisha magumu kwa vijana wa kiume?

2.Lakini kuna vijana wana maisha mazuri mbona hawataki kuoa au kuolewa pia?
 
Rais Samia Hassan ameyazungumza hayo leo katika hafla ya kusimikwa rasmi mkuu wa kanisa la KKKT Askofu Dkt Alex Malasusa katika kanisa la Azania front jijini Dar es Salaam

Rais Samia ameshangazwa kwanini tatizo la vijana kutokuoa au kuolewa linaongezeka nchini Tanzania wakati vijana wamefikia umri wa kuoa na kuolewa

Rais Samia ameshangazwa kwa sasa vijana wa kike ndio wanaohudhuria sana kwenye mambo ya kidini na kuwaacha kundi kubwa la vijana wa kiume wakipotea na hivyo kusababidha ombwe kubwa kwenye jamii

Kwa mujibu wa Rais Samia Hassan,Taarifa ya ripoti ya mahusiano ya jamii inaonyesha maeneo ya mjini tatizo la vijana kutooa na kuolewa linazidi kuwa kubwa zaidi ukilinganisha na vijijini

Aidha Rais Samia amesisitiza kuna migogoro mikubwa sana ndani ya familia na hivyo kupelekea vijana kulelewa kwa kukosa maadili

Swali la kujiuliza kama Taifa,Tatizo la vijana kuoa na kuolewa ni mambo ya maadili kama Rais Samia alivyosema au maisha magumu kwa vijana wa kiume?
Vipi kuhusu katiba mpya?
 
Acheni kujifanya hamjui tatizo, vijana Wana maisha magumu hata kujihudumia wanashindwa... Mtu anawaza tena aanzishe na familia si atakufa na msongo wa mawazo, mtu kujilisha tu inakua shida je akiwa na familia je? Vijana wanaamua kutumbukia kwenye ulevi wa visungura angalau wapate faraja ya muda

Mkiambiwa toeni ajira kwa vijana Kila siku mnasema vijana wajiajiri huku nyie mmekalia viti vya utawala kwa miongo na miongo, ni kupeana uteuzi tu mpaka kwa wazee
 
Rais Samia Hassan ameyazungumza hayo leo katika hafla ya kusimikwa rasmi mkuu wa kanisa la KKKT Askofu Dkt Alex Malasusa katika kanisa la Azania front jijini Dar es Salaam

Rais Samia ameshangazwa kwanini tatizo la vijana kutokuoa au kuolewa linaongezeka nchini Tanzania wakati vijana wamefikia umri wa kuoa na kuolewa

Rais Samia ameshangazwa kwa sasa vijana wa kike ndio wanaohudhuria sana kwenye mambo ya kidini na kuwaacha kundi kubwa la vijana wa kiume wakipotea na hivyo kusababidha ombwe kubwa kwenye jamii

Kwa mujibu wa Rais Samia Hassan,Taarifa ya ripoti ya mahusiano ya jamii inaonyesha maeneo ya mjini tatizo la vijana kutooa na kuolewa linazidi kuwa kubwa zaidi ukilinganisha na vijijini

Aidha Rais Samia amesisitiza kuna migogoro mikubwa sana ndani ya familia na hivyo kupelekea vijana kulelewa kwa kukosa maadili

Rais Samia amewaomba wa Tanzania warudi kwenye misingi yetu ya asili ambapo vijana walilelewa kwa maadili makubwa sana ,Akitolea mfano enzi zao ilikuwa ngumu sana kwa mwanaume kumtongoza mwanamke na mwanamke akakubali kirahisi rahisi kwani wanawake walikuwa na misimamo tofauti na leo

Rais Samia ameiomba jamii wazazi na walezi kuwafundisha watoto maadili mema kwa kuwapeleka kwenye imani zao ili kuwajengea misingi bora ya ufahamu na maisha hapo baadae
##

Maswali ya kujiuliza kama Taifa,
1.Tatizo la vijana kuoa na kuolewa ni mambo ya maadili kama Rais Samia alivyosema au maisha magumu kwa vijana wa kiume?

2.Lakini kuna vijana wana maisha mazuri mbona hawataki kuoa au kuolewa pia?
Yeye Mama haoni jua lilivyo kali mpaka mifukoni,tuoe ili tuwalishe nini Watoto wa watu.
Anatutafuta huyu Mama!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hivi bibi chaudele hajui kama vijana wa kiume wa hapa Tanzania ndio wanao ongoza kwa kua na maisha magumu kushinda matabaka yote na sababu ya ugumu huo wa maisha kwa kiasi kikubwa Sana una sababishwa na chama pamoja na serikali yake🤔🤔 au ndio kuongea kisiasa zaidi kama kawaida yao
 
Rais Samia Hassan ameyazungumza hayo leo katika hafla ya kusimikwa rasmi mkuu wa kanisa la KKKT Askofu Dkt Alex Malasusa katika kanisa la Azania front jijini Dar es Salaam

Rais Samia ameshangazwa kwanini tatizo la vijana kutokuoa au kuolewa linaongezeka nchini Tanzania wakati vijana wamefikia umri wa kuoa na kuolewa

Rais Samia ameshangazwa kwa sasa vijana wa kike ndio wanaohudhuria sana kwenye mambo ya kidini na kuwaacha kundi kubwa la vijana wa kiume wakipotea na hivyo kusababidha ombwe kubwa kwenye jamii

Kwa mujibu wa Rais Samia Hassan,Taarifa ya ripoti ya mahusiano ya jamii inaonyesha maeneo ya mjini tatizo la vijana kutooa na kuolewa linazidi kuwa kubwa zaidi ukilinganisha na vijijini

Aidha Rais Samia amesisitiza kuna migogoro mikubwa sana ndani ya familia na hivyo kupelekea vijana kulelewa kwa kukosa maadili

Rais Samia amewaomba wa Tanzania warudi kwenye misingi yetu ya asili ambapo vijana walilelewa kwa maadili makubwa sana ,Akitolea mfano enzi zao ilikuwa ngumu sana kwa mwanaume kumtongoza mwanamke na mwanamke akakubali kirahisi rahisi kwani wanawake walikuwa na misimamo tofauti na leo

Rais Samia ameiomba jamii wazazi na walezi kuwafundisha watoto maadili mema kwa kuwapeleka kwenye imani zao ili kuwajengea misingi bora ya ufahamu na maisha hapo baadae
##

Maswali ya kujiuliza kama Taifa,
1.Tatizo la vijana kuoa na kuolewa ni mambo ya maadili kama Rais Samia alivyosema au maisha magumu kwa vijana wa kiume?

2.Lakini kuna vijana wana maisha mazuri mbona hawataki kuoa au kuolewa pia?
Kuoa au kuolewa ni hiari ya mtu
 
Back
Top Bottom