Dkt. Godwin Gunele: Rais ni taasisi hivyo Kikatiba inabadilika kila baada ya miaka 5, hivyo Rais Samia anatumikia kipindi cha Hayati Magufuli

Mzee kasome katiba ..Kwa mujibu wa katiba Mama Samia atagombea kipindi kimoja tu cha 2025/30 kama atataka lakini.
Kama ni hivyo basi kuanzia aapishwe ni serikali awamu ya sita, katiba naijua vzur nimejibu hivi ili kuwafumbua macho mnaoamini awamu ni miaka kumi.
 
Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5.

Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki.

Dr Godwin anasema hata waziri mkuu na mwanasheria mkuu wa serikali wataendelea na kazi hadi kufikia ukomo wa uwepo ofisini wa President elect yaani 2025.

Mjadala uko mubashara Star tv muda huu kipindi cha Ajenda.

Itaendelea.
Huyu akapimwe akili hata elim yake haimsaidii, awam za viongonzi zimekuwepo katika ulimwengu huu hata hajazaliwa, alafu ajue huo mjadala ulisha isha Kama hataki Basi akaame nchi
 
Kama anachosema ni sahihi basi upo uwezekano samia suluhu akawa rais kwa Muda wa miaka 14, yaani ikifika mwaka 2030 samia ajenge hoja kuwa, kuanzia 2021 to 2025 hakuwa rais kamili Bali alikuwa anahudumu awamu ya tano, so 2025/2030 ndo muhula wake wa kwanza awamu ya sita na 2030 achukue fomu tena ya urais kumalizia muhula wake wa pili wa 2030/2035
Mh
 
Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5.

Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki.

Dr Godwin anasema hata waziri mkuu na mwanasheria mkuu wa serikali wataendelea na kazi hadi kufikia ukomo wa uwepo ofisini wa President elect yaani 2025.

Mjadala uko mubashara Star tv muda huu kipindi cha Ajenda.

Itaendelea.
Amesoma ibara ya 40 ya katiba huyo "daktari tumbo" lakini??

Huyu mama anachagulika 2025 tu basi. 2030 bye bye!

1619086847096.png
 
Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5.

Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki.

Dr Godwin anasema hata waziri mkuu na mwanasheria mkuu wa serikali wataendelea na kazi hadi kufikia ukomo wa uwepo ofisini wa President elect yaani 2025.

Mjadala uko mubashara Star tv muda huu kipindi cha Ajenda.

Itaendelea.
So what?
 
Mtoto wako akiulizwa swali
Rais wa awamu ya tano ni ?
A.Magufuli
B.Kikwwte
C.Samia
Utajibu nini

Awamu ni ya mtu na kipindi alichoongoza,akifa au kujiuzulu awamu yake inaisha ,Rais Samia sawa sio elected president ila anaongoza awamu yake hii ya sita.
Kuna watu ni wasomi ila hawajui kung'amua jambo.
Yalizoea uongo uongo wa mwendazake.
 
22 April 2021
Dodoma, Tanzania

#LIVE: Mh. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akihutubia Bunge

Source : Global TV online
 
Kama anachosema ni sahihi basi upo uwezekano samia suluhu akawa rais kwa Muda wa miaka 14, yaani ikifika mwaka 2030 samia ajenge hoja kuwa, kuanzia 2021 to 2025 hakuwa rais kamili Bali alikuwa anahudumu awamu ya tano, so 2025/2030 ndo muhula wake wa kwanza awamu ya sita na 2030 achukue fomu tena ya urais kumalizia muhula wake wa pili wa 2030/2035
Ndivyo itakavyokua!
Wakuu hawezi kutawala miaka 14 labda katiba ibadilishwe. Katiba tulionayo inampa Rais Samia Hassan kugombea mara moja tu.

Katiba inasema rais akifariki, makamu wa rais ataapishwa kumalizia kipindi kilichobaki. Ikiwa anamalizia muda wa miaka chini ya mitatu anaruhusiwa kugombea mara mbili.
Akimalizia zaidi ya miaka mitatu (Rejea mheshimiwa Samia Suluhu) ruksa kugombea mara moja tu.
 
Mzee kasome katiba ..Kwa mujibu wa katiba Mama Samia atagombea kipindi kimoja tu cha 2025/30 kama atataka lakini.
Kama ni hivyo basi kuanzia aapishwe ni serikali awamu ya sita, katiba naijua vzur nimejibu hivi ili kuwafumbua macho mnaoamini awamu ni miaka kumi.
Wakuu hawezi kutawala miaka 14 labda katiba ibadilishwe. Katiba tulionayo inampa Rais Samia Hassan kugombea mara moja tu.

Katiba inasema rais akifariki, makamu wa rais ataapishwa kumalizia kipindi kilichobaki. Ikiwa anamalizia muda wa miaka chini ya mitatu anaruhusiwa kugombea mara mbili.
Akimalizia zaidi ya miaka mitatu (Rejea mheshimiwa Samia Suluhu) ruksa kugombea mara moja tu.
Katiba tunaifahamu kama ulivyoieleza na sie tumejibu kulingana na Maelezo ya mleta uzi
 
Kama ni hivyo basi kuanzia aapishwe ni serikali awamu ya sita, katiba naijua vzur nimejibu hivi ili kuwafumbua macho mnaoamini awamu ni miaka kumi.
Katiba tunaifahamu kama ulivyoieleza na sie tumejibu kulingana na Maelezo ya mleta uzi
Poa mkubwa, tuombe mungu watu wa chama cha kijani, wasishinikize katiba kubadilishwa.
Maana hawachelewi kusema atake asitake lazima alazimishwe.
 
Samia Suluhu Hassan President: A New Chapter for Tanzania?​

By Aikande C. Kwayu

In March, Samia Suluhu Hassan was sworn in as President of Tanzania after her predecessor John Magufuli passed away. What is the current state of the country that she is now tasked with leading?​

There is a fresh air and new ambiance of relief in Tanzania. Since she was sworn in, President Samia Suluhu Hassan has delivered at least 5 speeches. One on her swearing-in ceremony, two during funeral services of the late President Magufuli, and two during the swearing in of her new cabinet members and Permanent Secretaries for the Ministries. In all of the speeches, she has set a new tone towards improving civic space as well as the business environment. A shrinking civic space and a poor business environment were two main concerns during Magufuli’s administration. Thus, she is setting a new tone with directives such as reopening of all banned media outlets and asking the Tanzania Revenue Authorities to ensure taxes are charged in a way that would encourage business growth rather than shutting them down, which is a big relief to many Tanzanians.

Samia Suluhu Hassan’s style of governance seems different from the one of Magufuli, nicknamed the "Bulldozer". How would you explain her approach to politics?​

President Samia Suluhu Hassan’s approach is calm and diplomatic. She has set a reconciliatory tone.
Since she was sworn in, President Samia Suluhu Hassan has delivered at least 5 speeches. One on her swearing-in ceremony, two during funeral services of the late President Magufuli, and two during the swearing in of her new cabinet members and Permanent Secretaries for the Ministries. In all of the speeches, she has set a new tone towards improving civic space as well as the business environment. A shrinking civic space and a poor business environment were two main concerns during Magufuli’s administration. Thus, she is setting a new tone with directives such as reopening of all banned media outlets and asking the Tanzania Revenue Authorities to ensure taxes are charged in a way that would encourage business growth rather than shutting them down, which is a big relief to many Tanzanians.

Aikande C. Kwayu, Honorary Research Fellow, University of Wisconsin-Madison and currently based in Tanzania, gives us her perspective as to the power shift that may be happening in the country.
Read more : Samia Suluhu Hassan President: A New Chapter for Tanzania?
 
Tumuache Mama Samia akae miaka 10. Tumuache atimize yale anayotakiwa kutimiza. Kila mtu anawajibika kwa yale ambayo Mwenyezi Mungu amemjaaria. kama ameyafanya vema na iwe kheri juu yake. Kama ameharibu tutasikitika sana sababu sio makusudi ya kupewa dhamana hiyo.
Nikimuona Mzee Mwinyi leo, na pengine anatafakari maisha zaidi, namuona kabisa jinsi angelipenda kuona sasa tunakuwa serious na kujenga nchi yetu. Sote tuijenge nchi wajameni
 
Back
Top Bottom