johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,440
- Thread starter
- #41
Ngoma inachezwa mjengoni!Hiyo mada ina afya kwa Taifa au ni muendelezo wa ile ngoma inayopigwa na wadau KEDEMKA?!!
Ngoma inachezwa mjengoni!Hiyo mada ina afya kwa Taifa au ni muendelezo wa ile ngoma inayopigwa na wadau KEDEMKA?!!
Katiba inazungumzia Rais wewe unazungumzia mtu.haina maana yoyote,katiba imeeleza wazi,kama samia angekua VP kwa zaidi ya miaka mitatu,maana yake 2025 angeondoka tu,lakini kwa sasa itabidi tusubiri mpaka 2030 hatuna jinsi labda akatae kuendelea
na tumulize Huyo nguli, hivi ?" mabinvwa WA awamu walikosea kusema Nyerere alitawala awamu y'a Kwanzaa wakati alitawala takribani miaka 25,si ingekuwa "awamu ya:1,2 name 3.hivyo mwinyi alikuwa awamu ya 4 nakuendeleaJe aliyeridhi kiti akikataa sera za mtangulizi wake, za kupiga, kuteka, kuua, kubambika kesi,
Je akiruhusu demokrasia na Katiba mpya
Je akikubali korona ipo na tiba ya kisayansi
Huoni Kama zitakuwa awamu mbili tofauti
Sawa mkuu je hiyo mada inatusaidia nini sisi wanaichiJombaa kumbuka yule ni mwanasheria asiyefuata upepo wa wanasiasa na sisi wapiga porojo mtandaoni!! . Yule anasimamia misingi ya taaruma yake ya sheria. Si zambi kukosea Kisha akaja mtu akatusahihisha..
Jombaa kumbuka yule ni mwanasheria asiyefuata upepo wa wanasiasa na sisi wapiga porojo mtandaoni!! . Yule anasimamia misingi ya taaruma yake ya sheria. Si zambi kukosea Kisha
Kama ni mwana sheria basi arudi darasani maana ni mjinga na hajui maana ya kula kiapo cha urais na maana ya kuapishwa kuwa rais haijui,Mwanasheria nguli Dr Godwin Gunele amesema Rais siyo mtu bali ni taasisi ambayo kikatiba inakaa kwa miaka 5.
Kwa maana hiyo awamu tuliyopo ni ya 5 siyo ya 6 kwa sababu Rais Samia siyo " President elect" bali ni makamu wa Rais aliyechukua nafasi ya Rais aliyefariki.
Dr Godwin anasema hata waziri mkuu na mwanasheria mkuu wa serikali wataendelea na kazi hadi kufikia ukomo wa uwepo ofisini wa President elect yaani 2025.
Mjadala uko mubashara Star tv muda huu kipindi cha Ajenda.
Itaendelea.
Labda tatizo ni katiba!Kama ni mwana sheria basi arudi darasani maana hajui maana ya kula kiapo cha urais na maana ya kuapishwa haijui
Anacho takiwa kujua huyo mwanasheria koko maana imebidi nimuite mwanasheria koko bilankujali taaluma yake ni kwamba ukisha apishwa kuwa rais bila kujali urais umeupata kwa mfumo gani unaweza kufanya maamuzi yote ya kiurais ikiwa ni pamoja na kutengua jaji mkuu na kiteua mwingine ama vinginevyo
Huyo jaji hadi sasa hajui kama nafasi ya makamo wa rais nayo
Kama ni mwana sheria basi arudi darasani maana ni mjinga na hajui maana ya kula kiapo cha urais na maana ya kuapishwa kuwa rais haijui,
Anacho takiwa kijua kifo ni sehemu moja kati ya sehemu nyingi zinazo weza kuweka ukomo wa rais kama ambavyo ipo kwenye kuondolewa na bunge, kupinduliwa nk
Anacho takiwa kujua huyo mwanasheria koko maana imebidi nimuite mwanasheria koko bila kujali taaluma yake ni kwamba ukisha apishwa kuwa rais bila kujali urais umeupata kwa mfumo gani unakuwa na mamlaka kamili ya urais na unaweza kufanya maamuzi yote ya kiurais ikiwa ni pamoja na kutengua jaji mkuu na kuteua mwingine ama kuvunja baraza lote la mawaziri akiwemo waziri mkuu na kuweka wengibe au vinginevyo
Huyo jaji hadi sasa hajui kama nafasi ya makamo wa rais nayo imepigiwa kura ndio maana ukiitizama vizuri ile karatasi tiki inawekwa sehemu moja tu tena sio chini ya jina la mgombea bali mbele ya wagombea wote wawili tafsiri yake kura inayo mchagua rais ndiyo kura inayo mchagua makamu wake.
Huyo mwanasheria ni popoma sana tena POPOMA HASWA kwenye maswala ya kisheria halafu eti ndio wasomi wetu hawa ndio maana watu wanafungwa bila hatia na hasa kama jambo hili dogo limemshinda.
Huwezi kuwa rais mwingine ndani ya awamu ya mtu mwingine ni sawa na ofisi yeyote ile kiongozi akifa au akiacha kazi au vinginevyo huwezi sema huyo mpya yupo kwa ajili yaa wamu ya wanyuma yake
Katiba mbona ipo bayana kabisaa ni basi tu hawa vilaza wa kukalili sheria wanataka kukwepesha ukweliLabda tatizo ni katiba!
Wakati anafanya hivyo sisi Wananchi tunakuwa Maboya au? Kwa mambo gani mpaka atake kukaa madarakani kwa miaka 14? Kwa hiyo, pamoja na ile 5 aliyohudumia akiwa na marehsmu inakuwa 19? Ni mambo gani anataka lufanya kwa miaka 14 ambayo hakufanya kwa miaka 5 na hii 4? Hebu tuache utani!Ndivyo itakavyokua!
Dr Godwin alitumia katiba ya lugha ya kimombo alisema ile ya kiswahili inapotosha!Katiba mbona ipo bayana kabisaa ni basi tu hawa vilaza wa kukalili sheria wanataka kukwepesha ukweli
KiKilaza anakuwa yule anakimbilia kuhesabu Awamu kuliko kuacha Agenda ndiyo zi-name Awamu. Kwani angekaa kimya tu bila kujitaja kuwa ni Kiongozi wa ngapi watanzania wangalikosa namna ya kumtofautisha na aliyemtangulia? Kwani la maana ni lipi ni kuwa na mambo ya kumtofautisha au kutofautisha na namba?Katiba mbona ipo bayana kabisaa ni basi tu hawa vilaza wa kukalili sheria wanataka kukwepesha ukweli
MiMi namuona ni msomi anayejua kutafsiri maandishi. Vilaza ni wale wanaosoma na kushindwa kutoka na maudhui. Huyu sio Raisi wa kuchaguliwa bali wa kurithi madaraka.Dr Godwin alitumia katiba ya lugha ya kimombo alisema ile ya kiswahili inapotosha!
Wenzako wanaangalia Rais Samia ataongoza kwa miaka 9 au 14?KiKilaza anakuwa yule anakimbilia kuhesabu Awamu kuliko kuacha Agenda ndiyo zi-name Awamu. Kwani angekaa kimya tu bila kujitaja kuwa ni Kiongozi wa ngapi watanzania wangalikosa namna ya kumtofautisha na aliyemtangulia? Kwani la maana ni lipi ni kuwa na mambo ya kumtofautisha au kutofautisha na namba?
Yeye kama ataingia katika huo mtego tutajua fika ana Uroho wa Madaraka! Marehemu alishasema Yeye na Mama wangaliachia madaraka mwaka 2025 na mama hakuwahi kukanusha. Sasa leo aje ademke na Uongozi kwa muda zaidi, tumueleweje? Ina maana atakuwa anaongozwa na Falsafa ya Kufa kufaana? Na kama ndivyo, kule anakosema anafanana na Marehemu kuko wapi?Wenzako wanaangalia Rais Samia ataongoza kwa miaka 9 au 14?
Wako kiuchaguzi zaidi!
Endellea kukariri bwashee!Mjadala mwingine hauna maana yoyote Kwa Jamii
hatudemki tunadamshiHiyo mada ina afya kwa Taifa au ni muendelezo wa ile ngoma inayopigwa na wadau KEDEMKA?!!
Wasome vizuri ibara ya 37 ibara ndogo ya 5 >> IBARA YA 37 (5) amabayo inasema :-Labda tatizo ni katiba!
Inashangaza, wanavyoongea as if kamshikia mtu.... ni kama vile kaazimwa kiti, mwenyewe anakuja. Watu bado wako kwenye denial stage, ni kama vile mtu aliyeachwa na meli kwenye kisiwa... bado haamini kama meli ndio imeondoka.Anaachaje kuwa president elect wakati alipigiwa kura sambamba na Mwendazake? SSH aligombwa umakamu wa rais na akapigiwa kura, kama zilikua halali, sijui, lakini lengo lilikua kama rais atashindwa kuendelea na kazi, makamu ashike hatamu! Akiamua kuteua mwanasheria mkuu, waziri mkuu, anaweza hata leo!