Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

Walimu wa chuo kikuu wamekuwa makada wa ccm, wanajipanga kupokea rushwa ya vyeo toka kwa pombe. Namshukuru M/Mungu kwa kuninyima nafasi ya kwenda kupoteza muda kwenye vyuo hivi
 
Rubbish, huoni tofauti kati ya awamu zilizopita na hii in terms of haki, sheria, Katiba zinavyovujwa?
Uhuru Kenyata alivyoona uchaguzi umetenguliwa na Jaji Maraga, akamwambia hadharani ataona cha mtema kuni ! Mahakama ikapelekewa kesi ya kusimamisha uchaguzi wa marejeo, wakahepa.....eti idadi haijatimia !
 
Time will tell, tuombe tu uzima, itakuja kufahamika tu siku moja, na tutajua tu msema kweli na msema uongo, hii inaitwa saa ya ukombozi, mwisho wa siku maisha lazima yasonge mbele na siku hazigandi. Kikubwa pumzi
 
Bashiru, kandia utazawadiwa, you are on the right truck, tembea mwanangu tembea, unakua hivyo
 
Chama Cha Mapinduzi ni genge la wezi, wala rushwa na wabadhirifu wakubwa nchi hii! Ni genge ndani msitu mnene uliojaa muumiani na monsters!!

Ndani ya genge hili hatari duniani, wanahakikisha kuna vikaragosi wao wa kutosha nje ya msitu huo wa mafedhuli! Vikaragosi hivyo vitakuwa vitapewa kwa vipipi na vibiskuti na wakati mwingine kuishia kudanganywa kwa kauli na baada ya hapo, wataingia duniani kuwatetea mafedhuli na manduli wanaoiangamiza nchi!!

Ni kweli, kwavile ni msitu mnene uliojaa majahiri wa kila aina, haishangazi wengine kujikuta wamezaliwa kwenye hilo limsitu la waovu na kujikuta wakitenda kama manduli mengine yaliyomo humo yanavyotenda!! Hata hivyo, wapo miongoni mwao ambao hatimae wanakuja kupata maono kwamba udhalimu na uovu unaofanywa na jamii yao haukubaliki, sio dunia tu bali hata akhera!

Hawa ni wale wanaoamua kuukumbia msitu huku wakirushiwa kila aina ya silaha kutoka kwa mafedhuli wao ambao hawataki kuona watu wakiungama... wanachotaka ni kuona kizazi chao cha majahiri kikiendelea kushikamana!!!
....kabakia Chenge kuja huko !
 
..Dr amekwepa maswali.

..alichofanya ni kutoa maelezo mareeefu which have very little to do with the questions he was asked.

..Swali kuhusu uhuru wa bunge au mahakama lilipaswa kujibiwa kwa mifano ya bunge au mahakama kukataa mashinikizo na kutoa uamuzi uliozingatia katiba, sheria, na haki.
 
udsm scholars kwa sasa wako mguu sawa kusubiri teuzi kamwe hawawezi kua critical. Mtego umewanasa. Katiba hairuhusu mgombea binafsi?
Kweliiii aisee hata akina Barner wote sasa wamekuwa wasemaji wa serikali tukufu
 
Rubbish, huoni tofauti kati ya awamu zilizopita na hii in terms of haki, sheria, Katiba zinavyovujwa?

Kwani ndugu hauwezi kumjibu mtu mpaka utumie lugha za matusi.......

Kama una amini katika uhuru wa kutoa maoni kwanini unakereka na maoni ya wengine.....je huo si udikteta.....!!?
 
udsm scholars kwa sasa wako mguu sawa kusubiri teuzi kamwe hawawezi kua critical. Mtego umewanasa. Katiba hairuhusu mgombea binafsi?
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] Your 100% right [emoji106]
 
Nimeshindwa kusoma Mpaka mwisho maana nimepata kichefuchefu katikati ya andiko

Umepata kichechefu au ameandika usipokipenda kukisoma......!!??

Kwa mtazamo huo una tofauti gani na Dikteta uchwara kama unashindwa kuheshimu maoni ya wengine mpaka unapatwa na kichechefu.....au kwako uhuru wa kutoa maoni ni kusikia yale yanayo kupendeza wewe....!!?
 
Taasisi inayotafsiri sheria, haki na katiba ni mahakama.

Kuandika hapa kuwa haki, sheria na katiba inavunjwa bila ya mahakama kutoa tafsiri ni haki ya fikra zako ambazo inawezekana hazina hata nguvu kisheria.
kaka usihangaike na hao darasa la saba utaumiza kichwa chako bure hawawezi kukuelewa hata kidogo. mpaka waambiwe na viongozi wao kutoka ufipa.
 
Nyalandu ana kasha nyingi sana, ila kwa bahati mbaya zaidi Dr. amejibu kama kada na sio kama mwanataaluma
Pamoja na kuwa na katiba wanayo isifia sana hapo Kenya, Uhuru Kenyata kaingilia mihimili yote ili abaki madarakani (mahakama, tume ya uchaguzi, bunge)
 
Ukiangalia mijadala ya wasomi wetu wa YUDII ni tofauti kabisa na wasomi wa kule kwa Kenyatta. Wasomi wetu ni aibu tupu. Anaulizwa kingine ana-prolong majibu hatimaye hata haeleweki anajibu swali gani.
Huko kwa Kenyata, kaingilia bunge, tume ya uchaguzi na mahakama.
IMG-20171030-WA0011.jpg
 
Haya majibu ya Dr Bushiru si ya mtaaluma,tena mwalimu wa chuo kikuu. Hakuna uchambuzi wa kifikra. Amejibu kama Slowslow
 
Chama Cha Mapinduzi ni genge la wezi, wala rushwa na wabadhirifu wakubwa nchi hii! Ni genge ndani msitu mnene uliojaa muumiani na monsters!!

Ndani ya genge hili hatari duniani, wanahakikisha kuna vikaragosi wao wa kutosha nje ya msitu huo wa mafedhuli! Vikaragosi hivyo vitakuwa vitapewa kwa vipipi na vibiskuti na wakati mwingine kuishia kudanganywa kwa kauli na baada ya hapo, wataingia duniani kuwatetea mafedhuli na manduli wanaoiangamiza nchi!!

Ni kweli, kwavile ni msitu mnene uliojaa majahiri wa kila aina, haishangazi wengine kujikuta wamezaliwa kwenye hilo limsitu la waovu na kujikuta wakitenda kama manduli mengine yaliyomo humo yanavyotenda!! Hata hivyo, wapo miongoni mwao ambao hatimae wanakuja kupata maono kwamba udhalimu na uovu unaofanywa na jamii yao haukubaliki, sio dunia tu bali hata akhera!

Hawa ni wale wanaoamua kuukumbia msitu huku wakirushiwa kila aina ya silaha kutoka kwa mafedhuli wao ambao hawataki kuona watu wakiungama... wanachotaka ni kuona kizazi chao cha majahiri kikiendelea kushikamana!!!
kwahiyo Nyalandu kuhamia CDM ni kuungama. basi tuelezwe na sisi wanachama tujue kaungama nnini?
 
Walimu wa chuo kikuu wamekuwa makada wa ccm, wanajipanga kupokea rushwa ya vyeo toka kwa pombe. Namshukuru M/Mungu kwa kuninyima nafasi ya kwenda kupoteza muda kwenye vyuo hivi
LOGIC BRO USE LOGIC BRO
 
Taasisi inayotafsiri sheria, haki na katiba ni mahakama.

Kuandika hapa kuwa haki, sheria na katiba inavunjwa bila ya mahakama kutoa tafsiri ni haki ya fikra zako ambazo inawezekana hazina hata nguvu kisheria.
ukiwa mtanzania mwenye akili timamu tueleze kwa nini hakuna ripoti ya ben saanane na wale wanaotupwa kwenye viroba?
 
Back
Top Bottom