leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,439
- 1,850
Sema Watu walumumba nawapenda kwa mishale yenu MTU akihama
CCM ichanganyikiwe kwa kuhama Nyalandu? Inaonekana huifahamu vizuri CCM.Mbona nikama ss ccm kuanzia mwenyekiti wetu mpaka wanachama wakawaida tumechanganyikiwa na kuhama kwa nyalandu vip nn shida kwa huyu fisadi
Kaka maelezo yako haya yamebase zaidi katika speculation s zinazoongelewa na wanasiasa hakuna uhalisia hata kidogo.Tatizo ndio liko hapo. kusema kwamba tatizo limeanza kabla Bashiru na Nyalandu hawajazaliwa, ni fact, lakini siyo hoja hapa. Hoja hapa ni kwamba katika awamu zetu tano za utawala, suala la muingiliano wa mihimili limekuwa ajenda kubwa sana hivi sasa kwa sababu za msingi kabisa. kwamba tunaye rais ambaye haoni ubaya wa kuchanganya mihimili apendavyo, na anaamini kabisa kwamba hakuna mhimili wala nini. kuna mhimili mmoja tu. ufalme wake.
JPM haoni tatizo kufanya siasa chafu katika tukio la Kijeshi. Awamu zote zilizopita, kamisheni kwa wanajeshi zilitolewa Monduli na ni zoezi la wanajeshi na Amiri jeshi mkuu wao. sasa hii kashfa ya juzi, mpaka Rais anapokea wanachama wa upinzani wanaohamia CCM, katika shughuli ya kijeshi, hiyo ni kashfa kubwa haijawahi kutokea. Hapa nataka kusema kwamba Rais JPM anajiona yeye ni mfalme kabisaaaa. hana kikomo cha madaraka, hakuna checks and balances unazosema. kwake kila kitu kinawezakana tu. hakuna katiba hakuna sheria. ndio maana amediriki kupiga marufuku mikutano ya vyama vya upinzani (siyo mikutano ya vyama vya siasa - CCM ni tofauti), kwanza ya nje, na baadaye hata ya ndani, kinyume cha sheria, with impunity.
Katika awamu hii, Rais wa nchi anadiriki kusema watu fulani wasibomolewe nyumba zao kwa sababu "walinipa kura nyingi". anataka kusema nini hasa? kwamba maeneo ambayo hawakumpa kura wataisoma namba? na kweli, angalia maeneo ambayo kitakwimu hawakumpa kura nyingi, wanaisoma namba. Bukoba, maeneo ya Dar ambapo Bomoa Bomoa ya kufa mtu inaendelea. Anabomoa hata nyumba ambazo Mahakama imezuia zisibomolewe. Hiyo hatujawahi kuiona katika taifa letu. Serikali ina-ignore mahakama wazi wazi namna hii, tena kwa matukio ambayo yanawaumiza raia wake yenyewe? Hapo kuna mihimili?
Rais ambaye anadiriki kuiambia mahakama kwamba kama kesi zikihukumiwa haraka na serikali ikapata fedha, basi robo ya mapato yatapelekwa kwa mahakama. Rushwa ya wazi. lugha kama hizo zina utata mkubwa sana.
Bunge ambalo Naibu Spika siyo mbunge wa kuchaguliwa, ni wa kuteuliwa na Rais. na Rais anaagiza Spika afanye hiki na kile, moja kwa moja. Anaagiza hata wajumbe wa kamati za Bunge. hayo yote ni mapya ya utawala huu. na inafikia hatua anaagiza spika awashughulikie wapinzani. hapo tuna haki ya kujiuliza hata hiyo concept ya separation of powers siyo tu kwamba ina matatizo, bali haipo kabisa as far as awamu hii is concerned
Kwa hiyo uchambuzi wa Dr. Bashiru umejikita katika ukada wake wa CCM, na kuogopa kuuchambua utawala. anatumia theory za Political Science kama nyenzo za ku-advance sentiments zake kwa utawala. sasa huo siyo uchambuzi wa kitaaluma. huo ni utetezi tu, tena usio na hoja za kisomi
Asante mkuu, jamaa kaja na povu wewe ukamjibu kistaarabu kabisa.Taasisi inayotafsiri sheria, haki na katiba ni mahakama.
Kuandika hapa kuwa haki, sheria na katiba inavunjwa bila ya mahakama kutoa tafsiri ni haki ya fikra zako ambazo inawezekana hazina hata nguvu kisheria.
Mkuu, unamaanisha jamaa ana dalili za ujauzito au?......Itabidi uwahi kliniki kamanda maana hakuna namna tena!
Kwani uongo ??.Professor of mathematics ukisema 1+1=3 katika normal/natural mathematics, tutaku label kama Rubbish, your professorship!
Dr. mzima na PhD.. Doctor of Philosophy, kusema kuwa mihimili kuingiliana ilikuwepo hata kabla ya yeye kuzaliwa, ni rubbish statement from a Doctor of philosophy degree holder! Kama ilikuwepo , watu wasiikemee kwa vile ilikuwepo kabla hajazaliwa (Nyarandu)!
Kivipi?!Mumiani na monsters. Mkuu hili ni povu bilashaka!
Huyo aliyebakia kwa sasa bado yupo wapi? Bado yupo kwenye msitu wa majahiri na wezi wakubwa nchi hii sio?! Kabakia kwenye kiwanda kinachozalisha mazimwi na manduli wa uchumi wetu sio?! Bila shaka bado yupo kwenye chemchem ya maji machafu ambayo fahari yake ni kubujijisha majangiri, wabadhirifu na mafisadi wakubwa kwenye nchi hii!!!....kabakia Chenge kuja huko !
tafuta size yako, chekechea argumentsKwani uongo ??.
Unabisha nn refer awamu ya nyerere mpaka ya sasa yote yapo
Huyo mkuu wa mahakama anateuliwa na rais ,spika anateuliwa na rais wote wanakua mabestie kiufupi jaji mkuu,spika ni kama mkuu wa majeshi ,rais humteua cdf anayemuamini kwa sabb nyingi moja kulinda regime yake na chokochoko tawala za Africa zipo hivyo same kwa jaji na spika
Eti rais haingilii hio ni kwenye paper na sio real ,mfano mdogo chukua spika ni mbunge na mwanachama wa ccm sasa atashindwa vp kuendeshwa kwa remote na mwenyekiti wake ambaye ni rais .
Daktari yupo sahihi na wewe umekengeuka
Nilivyopima udadavuaji wako, unastahili uwe recturer chuoni unamwaga 'madini'.Kaka maelezo yako haya yamebase zaidi katika speculation s zinazoongelewa na wanasiasa hakuna uhalisia hata kidogo.
Alichojaribu kukiongelea Dk. Bashiru ni kuonyesha kwamba huwezi kuzuia suala la muingiliano wa mihimili ya serikali hususan kwa nchi ambayo rais wake ni Head of the State and the Government. Kwahiyo hapo utaona lazima mhimili mmoja uwe ahead ya mihimili mingine haiwezi kuwa sawa hata siku moja. Ndo maana Rais anateua jaji mkuu na majaji wa mahakama Kuu n.k na hii ni sehemu ya checks and balances inayoongelewa.
Lakini ukitaka kufanya analysis kujua kama mihimili hii haingiliani au la ni lazima uangalie katika majukumu yake ya kimsingi;
Kwa mfano, Kazi kubwa ya Mahakama ni kutoa haki kwa maana ya kutafsiri sheria. Sasa kama tunasema Rais anaingilia mahakama, tujiulize ni lini Rais ameshawahi kuamua kesi mahakamani au kuingilia mashauri yaliyopo mahakamani au kutengua maamuzi ya mahakama. Lakini akiwa kama kiongozi wa nchi anaweza kuielekeza Mahakama kutekeleza majukumu yake bila kuingilia utendaji wake.
Halikadhalika, Kazi kubwa ya Bunge ni kutunga sheria na kuisimamia Serikali. Kama tunasema Serikali inaingilia Bunge, Tujiulize ni lini Serikali imeshawahi kujitungia sheria zake yenyewe bila kupita Bungeni au ni lini Serikali ilitekeleza bajeti zake bila kuwa zimeidhinishwa na Bunge. Haya kusema Rais anatoa maelekezo kwa Spika, anaweza kufanya hivyo bila kuingilia utendaji wa kimsingi wa chombo hicho.
Ukiangalia kwa undani madai ya kwamba Rais anaingilia utendaji wa mihimili mingine ni madai ya kisiasa tu ambayo yamelenga kutafuta uungwaji mkono kwa watu ambao hawafakirii sana. Rais hajawahi kuingilia utendaji wa mhimili wowote ule bali huwa anatekeleza majukumu yake kama kiongozi wa nchi.
Ndio maana wenye busara, hekima zinawatuma kurejea kwenye Katiba Mpya kwasabbu hii iliyopo ndiyo inayompa mamlaka hayo.
tafuta size yako, chekechea arguments
Chenge akija huko atakuwa malaika na yeye ! chigeHuyo aliyebakia kwa sasa bado yupo wapi? Bado yupo kwenye msitu wa majahiri na wezi wakubwa nchi hii sio?! Kabakia kwenye kiwanda kinachozalisha mazimwi na manduli wa uchumi wetu sio?! Bila shaka bado yupo kwenye chemchem ya maji machafu ambayo fahari yake ni kubujijisha majangiri, wabadhirifu na mafisadi wakubwa kwenye nchi hii!!!
Kama huyo Chenge bado kabaki kwenye msitu mnene unaohifadhi nguruwe na mapanya buku waharibifu basi nae anatakiwa kumrudia Mungu wake manake, wengine husema bora ya Mhalifu anayekutwa na umauti wakati yupo kanisani au msikitini huku akiwa na nia ya kumrejea Muuumba kuliko yule anayeonekana ni mwema anayefia kwenye kinena cha mwanamke/mwanaume ambae sio mwenza wake wa ndoa halali!
Mungu awaongoe tule tunyama tudogo tudogo ambao kutwa kuchwa hawana la maana watendalo zaidi ya kutetea mafisi na manguruwe pori ambayo kwao fahari yao ni kuteketeza raslimali za wavuja jasho!!!
.....badala ku recruit chadema cadets nyie mmekalia kukaribisa ma goons, losers, and corrupt culprit wanaokuja kujihifadhi huko baada maslahi yao kuathiriwa.Huyo aliyebakia kwa sasa bado yupo wapi? Bado yupo kwenye msitu wa majahiri na wezi wakubwa nchi hii sio?! Kabakia kwenye kiwanda kinachozalisha mazimwi na manduli wa uchumi wetu sio?! Bila shaka bado yupo kwenye chemchem ya maji machafu ambayo fahari yake ni kubujijisha majangiri, wabadhirifu na mafisadi wakubwa kwenye nchi hii!!!
Kama huyo Chenge bado kabaki kwenye msitu mnene unaohifadhi nguruwe na mapanya buku waharibifu basi nae anatakiwa kumrudia Mungu wake manake, wengine husema bora ya Mhalifu anayekutwa na umauti wakati yupo kanisani au msikitini huku akiwa na nia ya kumrejea Muuumba kuliko yule anayeonekana ni mwema anayefia kwenye kinena cha mwanamke/mwanaume ambae sio mwenza wake wa ndoa halali!
Mungu awaongoe tule tunyama tudogo tudogo ambao kutwa kuchwa hawana la maana watendalo zaidi ya kutetea mafisi na manguruwe pori ambayo kwao fahari yao ni kuteketeza raslimali za wavuja jasho!!!
....unafurahia goon na crook lililoka ccm almost 30 yrs ! Ukitegemea likiwa huko litakuwa malaika na kwamba anayosema kweli ni maono. Tafuta crip za Nasari jinsi akimchamba bungeni.tafuta size yako, chekechea arguments
Hahahaaa....! NimeipendaNgosha inabidi aongeze mafuta ya taa kwenye kichuguu...inaonekana bado kuna nyoka wengi...na kila anayetokeza analamba rungu la kichwa....Hapa kazi tuu
Lililo wazi ni kwamba, hao wote mnaowataja ni kwamba hawakufukuzwa CCM bali walitoka wenyewe! Mbaya zaidi wengi wao kama sio wote walikuwa NEC......badala ku recruit chadema cadets nyie mmekalia kukaribisa ma goons, losers, and corrupt culprit wanaokuja kujihifadhi huko baada maslahi yao kuathiriwa.
What is additional value ya Kingunge !?
Mbowe himself is a crook that's why he entertain such moves. Wengine wakikosa maslahi wanageuza tena kule walikotoka. Hata Juma Mwapachu aligeuza akarudi ccm baada kuona wadao wa makinikia wamebanwa koo !
Hakuweza kuwasaidia, ikabidi ajiuzulu ukurugenzi wa bodi. Zile millions za marafikia wa Lowassa ndo zilikokuwa zinatoka huko !