Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

Katika mahojiano maalum, Mtangazaji Charles Hilary wa Azam TV alianza kwa kumuuliza Dkt. Bushiru Ally kama anadhani Lazaro Nyarandu ni jasiri kwa uamuzi wake wa kuondoka CCM.

Dkt. Bushiru alijibu na kusema katika siasa wakati hutoa majibu halisi, tuna orodha ndefu ya watu walioitwa majasiri. Kwa mfano Dkt. Slaa wakati akiwa Katibu Mkuu na Mgombea Urais wa Tanzania ulikuwa unamuona alivyo jasiri kwenye jukwaa, kihoja na msimamo lakini leo yuko wapi? Tuna orodha ndefu. Kuhangaika na ujasiri wa mtu mmoja mmoja ni kupoteza muda kwa sababu kuna uwezekano hata yeye baada muda akapotea katika uwanja wa siasa.

Swali kuhusu tuhuma za Nyalandu kwa serikali ya Rais Magufuli kuingilia mihimili mingine ya dola na kusema kujiondoa kwake CCM iwe ni chachu ya kuanzisha mjadala wa suala hilo.

Dkt. Bushiru alitoa jibu kwa kusema, mjadala kuhusu serikali kuingilia mihimili mingine ya dola imeanza kabla hata ya Lazaro Nyalandu hajazaliwa.

Dkt. Bushiru alisema, misuguano ya mihimili ya dola kuhusu nani anamwingilia mwenzake ipo sio Tanzania pekee bali duniani kote kwenye nchi ndogo kama Tanzania na nchi kubwa kama Marekani. Hata wakati wa tawala zilizopita nchini mjadala ulikuwepo na kwa maana hii, anachokisema Lazaro Nyalandu siyo kipya.

Dkt. Bushiru alienda mbele zaidi na kusema, mihimili ya dola ni taasisi zinazotegemeana, ingawa zinaweza zikawa na mamlaka ya kiutendaji ya ndani lakini kimfumo, hizi ni taasisi zinazohudumia taasisi kuu moja inayoitwa dola. Hakutakuwa na muafaka/makubaliamo kwa wananchi wote kwa sababu vyombo hivi pia vinaingiliana, vinategemeana, vinasaidiana na vinafanya kazi moja ya kuwahudumia wananchi.

Charles Hilary alimuuliza kuhusu madai ya Nyalandu kuhusu CCM kushindwa kuisimamia serikali.

Dkt. Bushiru alijibu na kusema, huo ni mtazamo wa Nyalandu lakini anachojua yeye CCM ndio inayounda serikali na hakuna mtu aliye na cheo cha kisiasa ambaye hajapitishwa na vikao vya CCM kwa mujibu wa katiba yao lakini kikubwa zaidi, katiba ya Tanzania inasema, hakuna mtu anayeweza kuingia kwenye siasa bila kuidhinishwa na chama cha siasa. Katiba ya Tanzania hairuhusu wagombea binafsi. Kitendo cha mbunge kuhama chama kilichomteua kuwa mbunge kinamuondolea uanachama na ubunge bila hata ya kuandika barua kwa spika wa bunge. Chama ndicho kinachotengeneza serikali kupitia uchaguzi.

VIDEO:

Mnisamehe kwa ku koti uzi mrefu hivi ili nijibu kwa mstari mmoja.
"KUTI LA MAZOEA LILIMUANGUSHA MGEMA"
 
Nadhani hujaelewa mantiki ya Dkt. Bushiru kuhusiana na mfano wa Dkt. Slaa.

Msome vizuri ili uelewe vizuri.

Hebu niambie mfano wake ulikenga nn?

Nilichokielewa ni sahihi kwamba ujasiri wake yuko wapi sasa hivi

Slaa ni jasiri ndo maana aliweza ku-move on baada ya chama chake kukiuka anachoamini yeye kuwa ni sahihi
 
Katika mahojiano maalum, Mtangazaji Charles Hilary wa Azam TV alianza kwa kumuuliza Dkt. Bushiru Ally kama anadhani Lazaro Nyarandu ni jasiri kwa uamuzi wake wa kuondoka CCM.

Dkt. Bushiru alijibu na kusema katika siasa wakati hutoa majibu halisi, tuna orodha ndefu ya watu walioitwa majasiri. Kwa mfano Dkt. Slaa wakati akiwa Katibu Mkuu na Mgombea Urais wa Tanzania ulikuwa unamuona alivyo jasiri kwenye jukwaa, kihoja na msimamo lakini leo yuko wapi? Tuna orodha ndefu. Kuhangaika na ujasiri wa mtu mmoja mmoja ni kupoteza muda kwa sababu kuna uwezekano hata yeye baada muda akapotea katika uwanja wa siasa.

Swali kuhusu tuhuma za Nyalandu kwa serikali ya Rais Magufuli kuingilia mihimili mingine ya dola na kusema kujiondoa kwake CCM iwe ni chachu ya kuanzisha mjadala wa suala hilo.

Dkt. Bushiru alitoa jibu kwa kusema, mjadala kuhusu serikali kuingilia mihimili mingine ya dola imeanza kabla hata ya Lazaro Nyalandu hajazaliwa.

Dkt. Bushiru alisema, misuguano ya mihimili ya dola kuhusu nani anamwingilia mwenzake ipo sio Tanzania pekee bali duniani kote kwenye nchi ndogo kama Tanzania na nchi kubwa kama Marekani. Hata wakati wa tawala zilizopita nchini mjadala ulikuwepo na kwa maana hii, anachokisema Lazaro Nyalandu siyo kipya.

Dkt. Bushiru alienda mbele zaidi na kusema, mihimili ya dola ni taasisi zinazotegemeana, ingawa zinaweza zikawa na mamlaka ya kiutendaji ya ndani lakini kimfumo, hizi ni taasisi zinazohudumia taasisi kuu moja inayoitwa dola. Hakutakuwa na muafaka/makubaliamo kwa wananchi wote kwa sababu vyombo hivi pia vinaingiliana, vinategemeana, vinasaidiana na vinafanya kazi moja ya kuwahudumia wananchi.

Charles Hilary alimuuliza kuhusu madai ya Nyalandu kuhusu CCM kushindwa kuisimamia serikali.

Dkt. Bushiru alijibu na kusema, huo ni mtazamo wa Nyalandu lakini anachojua yeye CCM ndio inayounda serikali na hakuna mtu aliye na cheo cha kisiasa ambaye hajapitishwa na vikao vya CCM kwa mujibu wa katiba yao lakini kikubwa zaidi, katiba ya Tanzania inasema, hakuna mtu anayeweza kuingia kwenye siasa bila kuidhinishwa na chama cha siasa. Katiba ya Tanzania hairuhusu wagombea binafsi. Kitendo cha mbunge kuhama chama kilichomteua kuwa mbunge kinamuondolea uanachama na ubunge bila hata ya kuandika barua kwa spika wa bunge. Chama ndicho kinachotengeneza serikali kupitia uchaguzi.

VIDEO:

Yaani kama kungekuwa na kipimo cha kumuonyesha mtu kuwa baada ya kuwa msomi/kusomeshwa akili zake atazitumia aje,(samahani)mimi ningeshauri hawa walio,wanao na watakaopewa mikopo kwa ajili ya elimu ya juu kweli wangepimwa!Ingeweza bainika nani atakuja kuwa msaada kwa umma wa watanzania wanao lipa kodi ya kusomesha watu,ili wote wapate mikopo!Na hao wengine wa aina ya sijui Dkt wajitafutie wenyewe.
Ni mbaya sana kuhamishia madigirii hayo yote tumboni!Unakuta hata professor mzima awaza tumbo tu,hata kama uozo unaofanywa na watawala unamzunguka pande zote,bado atawasifia tu watawala ili apate mkate!
 
Huwezi kuelewa ''amekaangwa'' kama uelewa wako wa kupambanua masuala ni mdogo!

Kwa hiyo ulichokiandika siwezi kushangaa!
Wafia akili za wengine ktk ubora wao!Usinishangae mie drs pili la mkoloni!Wasomi wa kiwango cha yule msomi wa uchumi wa buguruni siwezi shindana nao!
 
unawafikiriaje wananchi ukiwa ndani ya CCM ?
WAKIWA NA NJAA MWENYEKITI ANAKULAZIMISHA USEME HAWANA NJAA !
huyu kisheti cha harusi, kinamegwa na vigelegele.
 
Katika mahojiano maalum, Mtangazaji Charles Hilary wa Azam TV alianza kwa kumuuliza Dkt. Bushiru Ally kama anadhani Lazaro Nyarandu ni jasiri kwa uamuzi wake wa kuondoka CCM.

Dkt. Bushiru alijibu na kusema katika siasa wakati hutoa majibu halisi, tuna orodha ndefu ya watu walioitwa majasiri. Kwa mfano Dkt. Slaa wakati akiwa Katibu Mkuu na Mgombea Urais wa Tanzania ulikuwa unamuona alivyo jasiri kwenye jukwaa, kihoja na msimamo lakini leo yuko wapi? Tuna orodha ndefu. Kuhangaika na ujasiri wa mtu mmoja mmoja ni kupoteza muda kwa sababu kuna uwezekano hata yeye baada muda akapotea katika uwanja wa siasa.

Swali kuhusu tuhuma za Nyalandu kwa serikali ya Rais Magufuli kuingilia mihimili mingine ya dola na kusema kujiondoa kwake CCM iwe ni chachu ya kuanzisha mjadala wa suala hilo.

Dkt. Bushiru alitoa jibu kwa kusema, mjadala kuhusu serikali kuingilia mihimili mingine ya dola imeanza kabla hata ya Lazaro Nyalandu hajazaliwa.

Dkt. Bushiru alisema, misuguano ya mihimili ya dola kuhusu nani anamwingilia mwenzake ipo sio Tanzania pekee bali duniani kote kwenye nchi ndogo kama Tanzania na nchi kubwa kama Marekani. Hata wakati wa tawala zilizopita nchini mjadala ulikuwepo na kwa maana hii, anachokisema Lazaro Nyalandu siyo kipya.

Dkt. Bushiru alienda mbele zaidi na kusema, mihimili ya dola ni taasisi zinazotegemeana, ingawa zinaweza zikawa na mamlaka ya kiutendaji ya ndani lakini kimfumo, hizi ni taasisi zinazohudumia taasisi kuu moja inayoitwa dola. Hakutakuwa na muafaka/makubaliamo kwa wananchi wote kwa sababu vyombo hivi pia vinaingiliana, vinategemeana, vinasaidiana na vinafanya kazi moja ya kuwahudumia wananchi.

Charles Hilary alimuuliza kuhusu madai ya Nyalandu kuhusu CCM kushindwa kuisimamia serikali.

Dkt. Bushiru alijibu na kusema, huo ni mtazamo wa Nyalandu lakini anachojua yeye CCM ndio inayounda serikali na hakuna mtu aliye na cheo cha kisiasa ambaye hajapitishwa na vikao vya CCM kwa mujibu wa katiba yao lakini kikubwa zaidi, katiba ya Tanzania inasema, hakuna mtu anayeweza kuingia kwenye siasa bila kuidhinishwa na chama cha siasa. Katiba ya Tanzania hairuhusu wagombea binafsi. Kitendo cha mbunge kuhama chama kilichomteua kuwa mbunge kinamuondolea uanachama na ubunge bila hata ya kuandika barua kwa spika wa bunge. Chama ndicho kinachotengeneza serikali kupitia uchaguzi.

VIDEO:

Tanzania wasomi halisi ni wachache sana, wengi ni wale walofanikiwa kumaliza vyuo ila ukiwasikiliza hoja zao huoni chembe chmbe za usomo ndani yake. mifano ni mingi kuna atu wanaitwa Dr.. ila hawana hadhi ya phd mfanao mzuri ni yule jamaa asiyejaribiwa. Hivi majibu ya Bashiru kweli ni ya kisomi au kisiasa na kuganga njaa?
 
Huyu Bashiru Ally naona ameamua kuutafuta u-katibu mwenezi wa lumumba kwa nguvu. Polepole watch out, umekalia kuti kavu!
 
Nyalandu alikuwa hana jinsi zaidi ya kuondoka CCM hasa baada ya baraza la Mawaziri kutangazwa na Wizara ya Maliasili na Utalii kupewa Kingwangalla.
Wewe unaonekana ni ukuku tu...upo kwa ajili ya kutetea maslahi ya washamba wanaoiongoza nchi hii huku hawana weledi yaani ni mazero brain!Kwahiyo Nyalandu alitegemea kupewa hiyo wizara au?Ifike mahali tujitathimini tufanyeje ili tuweze kusonga mbele kama nchi na hasa wenye uwezo na weledi wajitokeze kwa nguvu zote kumkosoa mkulu anapokosea..kama inashindikana basi maamuzi magumu yafuate kama ya Nyalandu..mwachieni lichama limfie..ili tuweze kukiokoa kizazi hiki na kijacho la sivyo tutadidimia kama Zimbabwe!
 
Taasisi inayotafsiri sheria, haki na katiba ni mahakama.

Kuandika hapa kuwa haki, sheria na katiba inavunjwa bila ya mahakama kutoa tafsiri ni haki ya fikra zako ambazo inawezekana hazina hata nguvu kisheria.
Mahakama yenyewe iko huru? Au unabwabwaja bwabwaja tu?
 
Kuna hoja ya Nyalandu anayodai kuhusu CCM kwa sasa kukosa dira.

Kwanza unaposema kwa sasa CCM imekosa dira wakati umekuwa ndani yake kwa kipindi kirefu inabidi utueleze, kipindi cha nyuma ilikuwa na dira gani?

Je, hiyo dira iliyokuwepo kipindi cha nyuma ilikuwa inaonekana kwenye chama alichojiunga nacho? Hajui kuwa wakati akiwa Waziri ndani ya CCM alikuwa anaambiwa hana maono na chama chake hakina dira?

Je, chama alichojiunga nacho kimepata dira baada ya CCM kukosa dira? Au dira inapatikana tu pale unapokuwa Naibu Waziri au Waziri?

Hiyo dira iliyokuwepo kipindi cha nyuma ilimsaidiaje mwananchi hasa mwenye uwezo mdogo kielimu na kiuchumi?
Hongera kwa kufafanua kilichopumbaza fikra BUTU.
 
Kua msomi raha sana maana unaangalia mambo kutoka kika engo pasi na kupepesa macho sema ndio hivyo tena jambo lenyewe limeletwa Jf ambamo vijana wa ufipa wanataka kusikia yale yenye kuwaweka mahala patakatifu tu
 
Haya ya kujikomba kwa wasomi wa Afrika ni balaa kubwa (tragedy).
Ngugi wa Thiong'o once said, I quote:
"By comparing our bad things with those of others which are worse, does not make ours any better"
 
Huyu Bashiru, naona uchambuzi wake ukiwa sio objective kabisa ni sawa na madokta wengi tulionao leo.

Hawa madokta wa kwenye makaratasi tatizo lao kubwa ni njaa inayotokana na vyuoo vyetu kutokuwa na budget za tafiti hali inayowafanya wabaki kuwa watu wa kujipendekeza tu kwa wanasiasa.
 
Dkt Bashiru Ally ni mwana CCM kindakindaki na kipindi kifupi nyuma aliwahi kupigiwa chapuo la kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Binafsi sioni kama uchambuzi wake una maana yoyote kwa sababu hawezi kutoa maoni kinyume na mtazamo wa chama chake.
 
Kuna hoja ya Nyalandu anayodai kuhusu CCM kwa sasa kukosa dira.

Kwanza unaposema kwa sasa CCM imekosa dira wakati umekuwa ndani yake kwa kipindi kirefu inabidi utueleze, kipindi cha nyuma ilikuwa na dira gani?

Je, hiyo dira iliyokuwepo kipindi cha nyuma ilikuwa inaonekana kwenye chama alichojiunga nacho? Hajui kuwa wakati akiwa Waziri ndani ya CCM alikuwa anaambiwa hana maono na chama chake hakina dira?

Je, chama alichojiunga nacho kimepata dira baada ya CCM kukosa dira? Au dira inapatikana tu pale unapokuwa Naibu Waziri au Waziri?

Hiyo dira iliyokuwepo kipindi cha nyuma ilimsaidiaje mwananchi hasa mwenye uwezo mdogo kielimu na kiuchumi?
Kuambiwa huna maono ndani ya chama chako haina maana huna maono one can possibly be ahead the rest ndani ya chama so wakashindwa kumuelewa
 
Back
Top Bottom