Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

"...Kitendo cha mbunge
kuhama chama kilichomteua kuwa mbunge kinamuondolea
uanachama na ubunge
bila hata ya kuandika
barua kwa spika wa bunge..."

Miye nimepapenda hapo tu.
 
Nyalandu anadhani ni political heavy hitter!

Sina shaka kuwa baada ya mwezi mmoja atasahaulika katika uwanja wa siasa.

Siasa za Tanzania bila kuzifahamu kwa undani huwezi kumaliza muda mrefu ukiwa hai kisiasa.

Nyalandu ni kama katongozwa vile, akakubali
 
Kaka maelezo yako haya yamebase zaidi katika speculation s zinazoongelewa na wanasiasa hakuna uhalisia hata kidogo.
Mimi sijaongelea "speculation za wanasiasa" bali nimetoa nukuu ya yale ambayo ameyaongea yeye mwenyewe JPM tena hadharani, na mambo ambayo yameandikwa na kushuhudiwa na watu mbalimbali. mfano kuhusu kubomoa nyumba ambazo Mahakama iliagiza zisibomolewe, katika eneo la Kimara. ishu hiyo imeandikwa sana magazetini, wahusika walilalamika mahakamani na mahakama ikatoa onyo, lakini bomoa bomoa inaendelea, na ukiongea na wahanga wanakuambia kabisa kama unabandika ile STOP ORDER kwenye nyumba yako, ndiyo watabomoa na hutaondoa kitu ndani. hiyo nimeshuhudiwa na wahanga kadhaa. Rais mwenyewe kule Mwanza amesikika live akitamka kwamba watu wa Mwanza wasibomolewe kwa kuwa walimpa kura nyingi. hapo hakuna speculation.

Alichojaribu kukiongelea Dk. Bashiru ni kuonyesha kwamba huwezi kuzuia suala la muingiliano wa mihimili ya serikali hususan kwa nchi ambayo rais wake ni Head of the State and the Government. Kwahiyo hapo utaona lazima mhimili mmoja uwe ahead ya mihimili mingine haiwezi kuwa sawa hata siku moja. Ndo maana Rais anateua jaji mkuu na majaji wa mahakama Kuu n.k na hii ni sehemu ya checks and balances inayoongelewa.

Lakini ukitaka kufanya analysis kujua kama mihimili hii haingiliani au la ni lazima uangalie katika majukumu yake ya kimsingi;
Hiyo ni theory. lakini alichokwepa Dr. Bashiru ni kuongelea kinachoendelea sasa hivi vs awamu zilizopita vs theory. ndio ninachosema kujificha katika theory. ni kweli head of state ndiye anasimamia vyombo vya kukusanya kodi na kugawa mafungu. lakini kuna checks and balances. kwamba ukimteua Jaji, au CAG, huna uwezo wa kumtoa. sasa kwa kawaida msimamizi wa wabunge ni Spika. lakini tunaona utawala huu, hata ruhusa ya wabunge kwenda nje ya nchi inatolewa ikulu. sasa hapo ni kuingilia mhimili. ni kuvuka mstari kabisa

Kwa mfano, Kazi kubwa ya Mahakama ni kutoa haki kwa maana ya kutafsiri sheria. Sasa kama tunasema Rais anaingilia mahakama, tujiulize ni lini Rais ameshawahi kuamua kesi mahakamani au kuingilia mashauri yaliyopo mahakamani au kutengua maamuzi ya mahakama. Lakini akiwa kama kiongozi wa nchi anaweza kuielekeza Mahakama kutekeleza majukumu yake bila kuingilia utendaji wake.

Nimekupa mifano ya serikali ime-ignore amri ya mahakama, kwa kuvunja nyumba ambazo mahakama imeagiza zisivunjwe kwanza. lakini kuingilia uhuru wa mahakama siyo lazima iwe hivyo unavyosema, bali inaweza kuwa more subtle. mfano kitendo cha kuahidi kutoa fedha zitakazotokana na maamuzi ya kesi, tayari ni kuingilia uhuru wa mahakama.

Halikadhalika, Kazi kubwa ya Bunge ni kutunga sheria na kuisimamia Serikali. Kama tunasema Serikali inaingilia Bunge, Tujiulize ni lini Serikali imeshawahi kujitungia sheria zake yenyewe bila kupita Bungeni au ni lini Serikali ilitekeleza bajeti zake bila kuwa zimeidhinishwa na Bunge. Haya kusema Rais anatoa maelekezo kwa Spika, anaweza kufanya hivyo bila kuingilia utendaji wa kimsingi wa chombo hicho.

Ndugu unaishi Tanzania hii au uko nje ya nchi?? mara ngapi wabunge wa upinzani wamelalamika serikali inatumia fedha nje ya bajeti? na hili lilianza mara tu JPM alipoingia madarakani. na tena huwa anaongea waziwazi: "tutachomoa chomoa fedha hapa na pale". kumbuka KUB Mbowe aliwahi kuuliza swali kwa waziri mkuu kuhusu hongo iliyotolewa kwa wabunge wa CCM, milioni 10 nadhani. sasa tungetarajia spika amtake Mbowe athibitishe hilo au afute kauli hiyo. lakini Naibu Spika alikataa tu kuruhusu swali lijibiwe na ikawa mwisho wa stori hiyo. maana yake serikali wala haikutaka kukanusha hayo. huko ni kuingilia uhuru wa bunge kwa kiasi kikubwa mno. ni rushwa ya hali ya juu, ni kejeli kwa serikali inayojinadi kupambana na Rushwa.

Ukiangalia kwa undani madai ya kwamba Rais anaingilia utendaji wa mihimili mingine ni madai ya kisiasa tu ambayo yamelenga kutafuta uungwaji mkono kwa watu ambao hawafakirii sana. Rais hajawahi kuingilia utendaji wa mhimili wowote ule bali huwa anatekeleza majukumu yake kama kiongozi wa nchi.

Sasa hapo unapingana hata na kauli ya JPM mwenyewe. aliulizwa swali na Pascal Mayalla siku alipoongea na waandishi wa habari kule Ikulu, kuhusu mihimili. alijibu wazi kabisa kwamba mihimili hailingiani, kuna mihimili iko juu. hapo alikuwa anakiri kabisa kwamba hata akiingilia, ni sawa tu. na huwa anaingilia.

Ndio maana wenye busara, hekima zinawatuma kurejea kwenye Katiba Mpya kwasabbu hii iliyopo ndiyo inayompa mamlaka hayo.

Ni hoja nzuri tu na yenye logic. counter-hoja ni kwamba, kama JPM haheshimu hata hii katiba tuliyonayo, katiba inayotoa uhuru wa kukutana, kuongea. anapiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, kinyume kabisa cha sheria na katiba. anasema ngoja kwanza niinyooshe nchi. nchi siyo familia ya mtu. sasa kama haheshimu hii katiba yenye mapungufu, ataheshimu hiyo mpya?? sawa anaweza kusema fine. let us draw up a new constitution. lakini kwa jinsi alivyo na anavyoonekana kuwa, hakutakuwa na tofauti yoyote katika utendaji wake. and not many people will shout at him.
 
Taasisi inayotafsiri sheria, haki na katiba ni mahakama.

Kuandika hapa kuwa haki, sheria na katiba inavunjwa bila ya mahakama kutoa tafsiri ni haki ya fikra zako ambazo inawezekana hazina hata nguvu kisheria.
Mkuu hata ukiwauliza katiba inavunjwa vp hawatakuwa na majibu, wengi wao ni wafuata mkumbo
 
udsm scholars kwa sasa wako mguu sawa kusubiri teuzi kamwe hawawezi kua critical. Mtego umewanasa. Katiba hairuhusu mgombea binafsi?
Ndio ulichokariri, watu wakiongea facts unawaza uteuzi
 
Mimi sijaongelea "speculation za wanasiasa" bali nimetoa nukuu ya yale ambayo ameyaongea yeye mwenyewe JPM tena hadharani, na mambo ambayo yameandikwa na kushuhudiwa na watu mbalimbali. mfano kuhusu kubomoa nyumba ambazo Mahakama iliagiza zisibomolewe, katika eneo la Kimara. ishu hiyo imeandikwa sana magazetini, wahusika walilalamika mahakamani na mahakama ikatoa onyo, lakini bomoa bomoa inaendelea, na ukiongea na wahanga wanakuambia kabisa kama unabandika ile STOP ORDER kwenye nyumba yako, ndiyo watabomoa na hutaondoa kitu ndani. hiyo nimeshuhudiwa na wahanga kadhaa. Rais mwenyewe kule Mwanza amesikika live akitamka kwamba watu wa Mwanza wasibomolewe kwa kuwa walimpa kura nyingi. hapo hakuna speculation.

Hiyo ni theory. lakini alichokwepa Dr. Bashiru ni kuongelea kinachoendelea sasa hivi vs awamu zilizopita vs theory. ndio ninachosema kujificha katika theory. ni kweli head of state ndiye anasimamia vyombo vya kukusanya kodi na kugawa mafungu. lakini kuna checks and balances. kwamba ukimteua Jaji, au CAG, huna uwezo wa kumtoa. sasa kwa kawaida msimamizi wa wabunge ni Spika. lakini tunaona utawala huu, hata ruhusa ya wabunge kwenda nje ya nchi inatolewa ikulu. sasa hapo ni kuingilia mhimili. ni kuvuka mstari kabisa

Nimekupa mifano ya serikali ime-ignore amri ya mahakama, kwa kuvunja nyumba ambazo mahakama imeagiza zisivunjwe kwanza. lakini kuingilia uhuru wa mahakama siyo lazima iwe hivyo unavyosema, bali inaweza kuwa more subtle. mfano kitendo cha kuahidi kutoa fedha zitakazotokana na maamuzi ya kesi, tayari ni kuingilia uhuru wa mahakama.

Ndugu unaishi Tanzania hii au uko nje ya nchi?? mara ngapi wabunge wa upinzani wamelalamika serikali inatumia fedha nje ya bajeti? na hili lilianza mara tu JPM alipoingia madarakani. na tena huwa anaongea waziwazi: "tutachomoa chomoa fedha hapa na pale". kumbuka KUB Mbowe aliwahi kuuliza swali kwa waziri mkuu kuhusu hongo iliyotolewa kwa wabunge wa CCM, milioni 10 nadhani. sasa tungetarajia spika amtake Mbowe athibitishe hilo au afute kauli hiyo. lakini Naibu Spika alikataa tu kuruhusu swali lijibiwe na ikawa mwisho wa stori hiyo. maana yake serikali wala haikutaka kukanusha hayo. huko ni kuingilia uhuru wa bunge kwa kiasi kikubwa mno. ni rushwa ya hali ya juu, ni kejeli kwa serikali inayojinadi kupambana na Rushwa.

Sasa hapo unapingana hata na kauli ya JPM mwenyewe. aliulizwa swali na Pascal Mayalla siku alipoongea na waandishi wa habari kule Ikulu, kuhusu mihimili. alijibu wazi kabisa kwamba mihimili hailingiani, kuna mihimili iko juu. hapo alikuwa anakiri kabisa kwamba hata akiingilia, ni sawa tu. na huwa anaingilia.

Ni hoja nzuri tu na yenye logic. counter-hoja ni kwamba, kama JPM haheshimu hata hii katiba tuliyonayo, katiba inayotoa uhuru wa kukutana, kuongea. anapiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, kinyume kabisa cha sheria na katiba. anasema ngoja kwanza niinyooshe nchi. nchi siyo familia ya mtu. sasa kama haheshimu hii katiba yenye mapungufu, ataheshimu hiyo mpya?? sawa anaweza kusema fine. let us draw up a new constitution. lakini kwa jinsi alivyo na anavyoonekana kuwa, hakutakuwa na tofauti yoyote katika utendaji wake. and not many people will shout at him.
Kaka umetumia nguvu nyingi sana kuelezea lakini umemis the point au watoto wa kitaa wanasema ' umepiga nje' Nitakujibu kama ifuatavyo;

1.Unapoongelea rais kutumia fedha Nje ya bajeti unasahau/hujui kitu kinaitwa 'Reallocation'. Sheria ya Fedha inampa mamlaka Waziri wa Fedha kufanya reallocation ya fedha zilizoidhinishwa na Bunge kwenda kwenye matumizi mengine bila kupitia tena Bungeni lakini kwa kiwango maalum na huu mchakato unaitwa 'mid year review budget' na hufanyika kila mwezi Disemba.Ikitokea reallocation imezidi kiwango maalum kilichowekwa kisheria ndo hurudishwa tena Bungeni. Kwahiyo hakuna kitu kinaitwa kutumia fedha Nje ya bajeti bali kuna kubadilisha matumizi ambayo yameruhusiwa kisheria. Kwa mfano, kipindi kile rais alipozuia kufanyika kwa sherehe za Uhuru na fedha kuelekezwa kwenye kujenga barabara ya Morocco. Zile fedha zilitengwa kwenye bajeti kilichobadilika ni matumizi tu. Badala ya kutumika kwenye sherehe zilijenga Barabara. Kwahiyo, unapoongelea kutumia fedha nje ya bajeti maana yake unatumia fedha ambayo haikutengwa kwenye bajeti. Ssa fedha ambayo haikutengwa kwenye bajeti unaitoa wapi? Maana fedha kwa ajili ya matumizi ya Serikali ni lazima iwe kwenye bajeti ambayo inaidhinishwa na Bunge. Nadhani hapa umeona jinsi wanasiasa wanavyokupotosha.

2. Kuignore maamuzi ya mahakama maana yake siyo kuingilia mhimili mwingine bali ni kutoheshimu maamuzi ya Mahakama jambo ambalo halihusiani kabisa na utendaji wake. Na kutoheshimu maamuzi ya Mahakama kunaweza kufanywa na mtu yoyote tu siyo lazima iwe Serikali. Ndo maana umewekwa utaratibu wa kisheria wa kuchukua hatua kwa mtu au chombo chochote ambacho hakitaheshimu maamuzi ya mahakama. Ningekuelewa zaidi ungeniambia kuna kesi ilikua mahakamani Rais akaitolea maamuzi yeye bila kusubiri mahakama, hapo ungekua kweli umeonesha namna Serikali inavyoingilia mhimili mwingine.

Kuhusu rais kutoa fedha kwa Mahakama. Kwanza utakubaliana na mmi kwamba Serikali ndo inayokusanya kodi na kugawa kwa mihimili mingine. So aliongea kama mkusanyaji na mgawaji wa Fedha.

Pili, ile haikua 'tip' kwa Mahakama ili Serikali ishinde kesi bali zilikua ni fedha za Mahakama zilizotengwa kwa ajili ya kuendeshea kesi na zilipitishwa na Bunge. Utaratibu wetu wa matumizi ya fedha za Serikali unaitwa 'Cash Budget' yaani unakusanya then kilichopatikana ndo kinagawiwa kwa mihimili mingine kwa mfumo wa 'OC'. Kwahiyo alichofanya rais ni kuwapa Mahakama fedha zao zote zilizotengwa kwa ajili ya kuendeshea kesi ili kuwezesha kesi ambazo zilizokua zinahusu Kodi zimalizike haraka na Serikali kupata chake otherwise ingebidi kesi zisubiri muda mrefu kutokana na upatikanaji wa fedha. Hii ina maana kwamba, unapokua na kesi 70 zinazohusu kodi ambazo unadai zaidi bilioni 300 huwezi kushindwa zote. Kuna kesi ambazo utashinda zitakuingizia mapato. Ssa kwanni usitoe fedha ili upate fedha. Hii ni calculation ya kawaida sana kiuchumi.

Kwa maelezo haya, naamini angalau unaweza kuwa umepata mwanga nini maana ya Serikali kuingilia mihimili mingine. Usichanganye masuala ya Utaratibu wa Serikali na Utendaji wa mihimili mingine.
 
Ninashukuru kwa mchango wako.

Wana Jamiiforums wa aina yako wamekuwa wachache hapa jukwaani.

Endeleea kujitokeza ili kutoa somo/elimu kwa hawa vijana ambao wengi ni wajinga lakini hawajui kama ni wajinga.
 
Kaka umetumia nguvu nyingi sana kuelezea lakini umemis the point au watoto wa kitaa wanasema ' umepiga nje' Nitakujibu kama ifuatavyo;

1.Unapoongelea rais kutumia fedha Nje ya bajeti unasahau/hujui kitu kinaitwa 'Reallocation'. Sheria ya Fedha inampa mamlaka Waziri wa Fedha kufanya reallocation ya fedha zilizoidhinishwa na Bunge kwenda kwenye matumizi mengine bila kupitia tena Bungeni lakini kwa kiwango maalum na huu mchakato unaitwa 'mid year review budget' na hufanyika kila mwezi Disemba.Ikitokea reallocation imezidi kiwango maalum kilichowekwa kisheria ndo hurudishwa tena Bungeni. Kwahiyo hakuna kitu kinaitwa kutumia fedha Nje ya bajeti bali kuna kubadilisha matumizi ambayo yameruhusiwa kisheria. Kwa mfano, kipindi kile rais alipozuia kufanyika kwa sherehe za Uhuru na fedha kuelekezwa kwenye kujenga barabara ya Morocco. Zile fedha zilitengwa kwenye bajeti kilichobadilika ni matumizi tu. Badala ya kutumika kwenye sherehe zilijenga Barabara. Kwahiyo, unapoongelea kutumia fedha nje ya bajeti maana yake unatumia fedha ambayo haikutengwa kwenye bajeti. Ssa fedha ambayo haikutengwa kwenye bajeti unaitoa wapi? Maana fedha kwa ajili ya matumizi ya Serikali ni lazima iwe kwenye bajeti ambayo inaidhinishwa na Bunge. Nadhani hapa umeona jinsi wanasiasa wanavyokupotosha.

Unapoongelea hiyo "Budget Reallocation", kumbuka kwamba ina mchakato, "process" yake, na viwango vyake, na huwa inafanyika tu siku zote, na hakuna anayelalamikia hilo. kinachopigiwa kelele hapa ni kwamba hiki kilichofanyika na serikali hii ni nje kabisa ya utaratibu. of course hata JK alikuwa ana tatizo hilo kwa kiasi fulani, lakini kwa serikali hii ni more serious. JPM anatoa maagizo, tena nje ya "written speech", jukwaani. na wala haoni aibu na hashangai na anafanya hayo katika maeneo mengi tu.

kwa walio wengi inakubalika kufuta sherehe na kupeleka fedha kwenye barabara. lakini unapoongelea kuanzisha shughuli kubwa kama fast track ya kuhamia Dodoma, tena bila kuipangia bajeti, hiyo ni nightmare scenario. kwa sababu kupanga ni kuchagua. ulipanga tufanye hivi kwa kipindi hiki, na tutaanza na hiki ili tukamilishe baada ya phase mbili tatu. sasa fedha yooote inaondolewa na kupelekwa sehemu nyingine tofauti. unaweza kuniambia economic impact ya kuhamia dodoma, tofauti na "kutekeleza maamuzi ya siku nyingi ya TANU", ambayo yanaweza kuwa yalishakuwa-overtaken na events? na hata kama kuna umhimu huo, si uingizwe kwenye utaratibu? na ndio maana ya mhimili, kwamba serikali inaleta muswada bungeni, unajadiliwa, unapitishwa baada ya kufanyiwa marekebisho kutoka mrejesho wa wawakilishi wa wananchi. sasa kama miswada iliandaliwa kutoka ngazi ya chini, ikajadiliwa, ikaletwa bungeni na kufanyiwa maamuzi, kwa kupitishwa kifungu kwa kifungu, halafu yoote inawekwa kando, kisa eti mkulu alitoa ahadi mahali atawajengea barabara baada ya kuguswa na mabango, hiyo ndiyo government procedure? kumbuka inagharimu sana kuendesha Bunge la bajeti. gharama hiyo ina justification kama tutafuata bajeti hiyo kwa nidhamu, na of course reallocation zinafanyika kadiri ya utaratibu uliopo.

2. Kuignore maamuzi ya mahakama maana yake siyo kuingilia mhimili mwingine bali ni kutoheshimu maamuzi ya Mahakama jambo ambalo halihusiani kabisa na utendaji wake. Na kutoheshimu maamuzi ya Mahakama kunaweza kufanywa na mtu yoyote tu siyo lazima iwe Serikali. Ndo maana umewekwa utaratibu wa kisheria wa kuchukua hatua kwa mtu au chombo chochote ambacho hakitaheshimu maamuzi ya mahakama. Ningekuelewa zaidi ungeniambia kuna kesi ilikua mahakamani Rais akaitolea maamuzi yeye bila kusubiri mahakama, hapo ungekua kweli umeonesha namna Serikali inavyoingilia mhimili mwingine.
Mara nyingi Rais amenukuliwa akifoka "mnachelewesha nini? mtu ameshikwa red handed, halafu
eti tunaendelea na upelelezi? hawa wafungwe haraka! nataka kuona watu wanafungwa!!" kama hujasikia hizo basi kalaga baho.
Kuhusu rais kutoa fedha kwa Mahakama. Kwanza utakubaliana na mmi kwamba Serikali ndo inayokusanya kodi na kugawa kwa mihimili mingine. So aliongea kama mkusanyaji na mgawaji wa Fedha.

Pili, ile haikua 'tip' kwa Mahakama ili Serikali ishinde kesi bali zilikua ni fedha za Mahakama zilizotengwa kwa ajili ya kuendeshea kesi na zilipitishwa na Bunge. Utaratibu wetu wa matumizi ya fedha za Serikali unaitwa 'Cash Budget' yaani unakusanya then kilichopatikana ndo kinagawiwa kwa mihimili mingine kwa mfumo wa 'OC'. Kwahiyo alichofanya rais ni kuwapa Mahakama fedha zao zote zilizotengwa kwa ajili ya kuendeshea kesi ili kuwezesha kesi ambazo zilizokua zinahusu Kodi zimalizike haraka na Serikali kupata chake otherwise ingebidi kesi zisubiri muda mrefu kutokana na upatikanaji wa fedha. Hii ina maana kwamba, unapokua na kesi 70 zinazohusu kodi ambazo unadai zaidi bilioni 300 huwezi kushindwa zote. Kuna kesi ambazo utashinda zitakuingizia mapato. Ssa kwanni usitoe fedha ili upate fedha. Hii ni calculation ya kawaida sana kiuchumi.

Naona wewe ndio hukuelewa. kesi zilizokuwa mahakamani zilikuwa na kadirio la madai ya Tshs Trilioni 1. JPM aliahidi mahakama kama serikali ikipata hiyo fedha, maana yake kama mahakama itawezesha serikali kupata hiyo fedha, basi Mahakama itapewa Bilioni 250. Kauli hii ilikuwa tata, na ililaaniwa na wengi. Magufuli hakuwa anaongelea fedha za kawaida zinazotengwa kwa ajili ya mahakama. alikuwa anazungumzia kama fedha za madai katika kesi zitapatikana, yaani mdaiwa akilipa. sasa kesi ni kesi. inawezekana mtu kabambikiwa kodi, ambalo ni jambo la kawaida kwa nchi yetu. sasa akishinda kesi, serikali itakosa kufikisha hiyo Trilioni moja. Hapo mahakama iliwekwa mtegoni. na ni Rushwa hiyo. Mahakama ni chombo cha haki, siyo cha kuzalisha mapato. hiyo ndiyo falsafa ya JPM. angalia Polisi sasa hivi. ni kitengo cha kuzalisha mapato. Trafiki akikukamata anachokumbuka ni ile fedha aliyoambiwa lazima akusanye kila siku. haangalii umekosa wapi au akushauri vipi. Kama unadhani Polisi wameamua tu kubuni wenyewe mkakati huo, kalagabaho. Ila mahakama nadhani imepuuzia amri ya JPM.

Kwa maelezo haya, naamini angalau unaweza kuwa umepata mwanga nini maana ya Serikali kuingilia mihimili mingine. Usichanganye masuala ya Utaratibu wa Serikali na Utendaji wa mihimili mingine.
hapa siongelei ushabiki. natoa hoja, jibu hoja.
 
Tatizo ni ushabiki. Na sio hoja. Kwa kweli tusubiri baada ya uchaguzi Mdogo wa singida kwa Nyalandu.....
 
Kaka umetumia nguvu nyingi sana kuelezea lakini umemis the point au watoto wa kitaa wanasema ' umepiga nje' Nitakujibu kama ifuatavyo;

1.Unapoongelea rais kutumia fedha Nje ya bajeti unasahau/hujui kitu kinaitwa 'Reallocation'. Sheria ya Fedha inampa mamlaka Waziri wa Fedha kufanya reallocation ya fedha zilizoidhinishwa na Bunge kwenda kwenye matumizi mengine bila kupitia tena Bungeni lakini kwa kiwango maalum na huu mchakato unaitwa 'mid year review budget' na hufanyika kila mwezi Disemba.Ikitokea reallocation imezidi kiwango maalum kilichowekwa kisheria ndo hurudishwa tena Bungeni. Kwahiyo hakuna kitu kinaitwa kutumia fedha Nje ya bajeti bali kuna kubadilisha matumizi ambayo yameruhusiwa kisheria. Kwa mfano, kipindi kile rais alipozuia kufanyika kwa sherehe za Uhuru na fedha kuelekezwa kwenye kujenga barabara ya Morocco. Zile fedha zilitengwa kwenye bajeti kilichobadilika ni matumizi tu. Badala ya kutumika kwenye sherehe zilijenga Barabara. Kwahiyo, unapoongelea kutumia fedha nje ya bajeti maana yake unatumia fedha ambayo haikutengwa kwenye bajeti. Ssa fedha ambayo haikutengwa kwenye bajeti unaitoa wapi? Maana fedha kwa ajili ya matumizi ya Serikali ni lazima iwe kwenye bajeti ambayo inaidhinishwa na Bunge. Nadhani hapa umeona jinsi wanasiasa wanavyokupotosha.

2. Kuignore maamuzi ya mahakama maana yake siyo kuingilia mhimili mwingine bali ni kutoheshimu maamuzi ya Mahakama jambo ambalo halihusiani kabisa na utendaji wake. Na kutoheshimu maamuzi ya Mahakama kunaweza kufanywa na mtu yoyote tu siyo lazima iwe Serikali. Ndo maana umewekwa utaratibu wa kisheria wa kuchukua hatua kwa mtu au chombo chochote ambacho hakitaheshimu maamuzi ya mahakama. Ningekuelewa zaidi ungeniambia kuna kesi ilikua mahakamani Rais akaitolea maamuzi yeye bila kusubiri mahakama, hapo ungekua kweli umeonesha namna Serikali inavyoingilia mhimili mwingine.

Kuhusu rais kutoa fedha kwa Mahakama. Kwanza utakubaliana na mmi kwamba Serikali ndo inayokusanya kodi na kugawa kwa mihimili mingine. So aliongea kama mkusanyaji na mgawaji wa Fedha.

Pili, ile haikua 'tip' kwa Mahakama ili Serikali ishinde kesi bali zilikua ni fedha za Mahakama zilizotengwa kwa ajili ya kuendeshea kesi na zilipitishwa na Bunge. Utaratibu wetu wa matumizi ya fedha za Serikali unaitwa 'Cash Budget' yaani unakusanya then kilichopatikana ndo kinagawiwa kwa mihimili mingine kwa mfumo wa 'OC'. Kwahiyo alichofanya rais ni kuwapa Mahakama fedha zao zote zilizotengwa kwa ajili ya kuendeshea kesi ili kuwezesha kesi ambazo zilizokua zinahusu Kodi zimalizike haraka na Serikali kupata chake otherwise ingebidi kesi zisubiri muda mrefu kutokana na upatikanaji wa fedha. Hii ina maana kwamba, unapokua na kesi 70 zinazohusu kodi ambazo unadai zaidi bilioni 300 huwezi kushindwa zote. Kuna kesi ambazo utashinda zitakuingizia mapato. Ssa kwanni usitoe fedha ili upate fedha. Hii ni calculation ya kawaida sana kiuchumi.

Kwa maelezo haya, naamini angalau unaweza kuwa umepata mwanga nini maana ya Serikali kuingilia mihimili mingine. Usichanganye masuala ya Utaratibu wa Serikali na Utendaji wa mihimili mingine.

Asiyekuelewa analake jambo!
 
Kwa majibu haya, huo ni professor wa kukariri nondo. Ngoja huko nako akamezeshwe na sizonje.
 
Back
Top Bottom