Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

Lililo wazi ni kwamba, hao wote mnaowataja ni kwamba hawakufukuzwa CCM bali walitoka wenyewe! Mbaya zaidi wengi wao kama sio wote walikuwa NEC.

Ningekuwa CCM ningeona aibu kutamba hadharani kwamba eti CHADEMA inapokea mafisadi manake kama ni mafasadi, kumbe CCM imekuwa ikikaa na mafisadi miaka yote hii na bado iliendelea kuwakumbatia kwa kuwapa nafasi mbalimbali ikiwa pamoja na kugombea ubunge hadi pale walipoamua kutoka wenyewe!!!

Hata pale CCM ilipojaribu kuwachukulia hatua wanachama wake basi hawa ni wale walioitwa ni wasaliti lakini mafisadi mnaendelea kuyakumbatia!! Narudia, ni aibu kwa mwana-CCM kujitapa kwamba CCM ndio wazalishaji wa mafisadi manake, kama hawa wanaenda upinzani wakiwa tayari ni mafisadi ina maana hao watu wamekwiva kwa ufisadi wakiwa CCM!

Ingekuwa walifukuzwa huko CCM, ingeeleweka wazi kwamba CCM imeyatimua mafisadi ambayo yamekimbilia upinzani lakini hamjayafukuza!! Na mlivyokosa aibu bado mnaendelea kutamba kwamba mna mifisadi mingine kama akina Chenge huko CCM ambayo na yenyewe mmeyapa madaraka!!!

Lakini kwavile chama chenyewe kimezoea kukumbatia mafisadi, mnashindwa kuwafanya lolote zaidi ya kutamba kwamba bado mnafuga mafisadi kwenye chama chenu na watabaki hapo hadi watakapotoka wenyewe!!!!

Na labda nikukumbushe!! Huyo Chenge unayetutambia kwamba bado mnae ana kashifa ya radar na Escrow!!! Lakini pamoja nae, baadhi ya waliobaki ambao pia unatakiwa kutamba kwamba mnao ni:-
  • John Pombe Magufuli- Nyumba za serikali na boti yenye mwendokasi sawa na mtumbwi
  • Sospeter Muhongo- Escrow + makinikia
  • Anna Tibaijuka- Escrow
  • William Ngeleja- Escrow
  • Nimrod Mkono- Malipo ya shaka kutoka BoT.
Hao ni wale tu ambao hadi kesho CCM imeendelea kuwaamini kiasi cha kuwapa dhamana ya kukiwakislisha chama.

Kwahiyo, wakati unaendelea kuonea fahari kuwa na fisadi Chenge ndani ya CCM, usisahau kutembea kifua mbele huku ukitambia na hao mapapa wengine ambao bado wanakubalika ndani ya CCM!!
....kukaribisha hao watu ni kuwa chadema ni chama kisicho na itikadi yake inayo iamani. Tafuta clip ya Nasari akiwa bungeni umsikiliza jinsi akimchambua, kumchamba na kumtukana Nyalandu. Then leo ana cross the other side anakuwa jasiri !
Mimi ninacho wasikitikia ni kuwa your fight will not live long, hardly 20 yrs !
Where is NCCR, TLP, CUF !?
 
Lililo wazi ni kwamba, hao wote mnaowataja ni kwamba hawakufukuzwa CCM bali walitoka wenyewe! Mbaya zaidi wengi wao kama sio wote walikuwa NEC.

Ningekuwa CCM ningeona aibu kutamba hadharani kwamba eti CHADEMA inapokea mafisadi manake kama ni mafasadi, kumbe CCM imekuwa ikikaa na mafisadi miaka yote hii na bado iliendelea kuwakumbatia kwa kuwapa nafasi mbalimbali ikiwa pamoja na kugombea ubunge hadi pale walipoamua kutoka wenyewe!!!

Hata pale CCM ilipojaribu kuwachukulia hatua wanachama wake basi hawa ni wale walioitwa ni wasaliti lakini mafisadi mnaendelea kuyakumbatia!! Narudia, ni aibu kwa mwana-CCM kujitapa kwamba CCM ndio wazalishaji wa mafisadi manake, kama hawa wanaenda upinzani wakiwa tayari ni mafisadi ina maana hao watu wamekwiva kwa ufisadi wakiwa CCM!

Ingekuwa walifukuzwa huko CCM, ingeeleweka wazi kwamba CCM imeyatimua mafisadi ambayo yamekimbilia upinzani lakini hamjayafukuza!! Na mlivyokosa aibu bado mnaendelea kutamba kwamba mna mifisadi mingine kama akina Chenge huko CCM ambayo na yenyewe mmeyapa madaraka!!!

Lakini kwavile chama chenyewe kimezoea kukumbatia mafisadi, mnashindwa kuwafanya lolote zaidi ya kutamba kwamba bado mnafuga mafisadi kwenye chama chenu na watabaki hapo hadi watakapotoka wenyewe!!!!

Na labda nikukumbushe!! Huyo Chenge unayetutambia kwamba bado mnae ana kashifa ya radar na Escrow!!! Lakini pamoja nae, baadhi ya waliobaki ambao pia unatakiwa kutamba kwamba mnao ni:-
  • John Pombe Magufuli- Nyumba za serikali na boti yenye mwendokasi sawa na mtumbwi
  • Sospeter Muhongo- Escrow + makinikia
  • Anna Tibaijuka- Escrow
  • William Ngeleja- Escrow
  • Nimrod Mkono- Malipo ya shaka kutoka BoT.
Hao ni wale tu ambao hadi kesho CCM imeendelea kuwaamini kiasi cha kuwapa dhamana ya kukiwakislisha chama.

Kwahiyo, wakati unaendelea kuonea fahari kuwa na fisadi Chenge ndani ya CCM, usisahau kutembea kifua mbele huku ukitambia na hao mapapa wengine ambao bado wanakubalika ndani ya CCM!!
Kwamba CCM imejaa mafisadi siyo kitu cha kuficha KIKO WAZI. CCM wenyewe wanalijua hili. Juhudi iliyotakiwa kufanywa ni kuitoa ccm madarakani kwa sababu walioko huko wote hawafai. Tatizo ni pale septic tank linapojaa na uchafu huo kuanza kutililika kuingia kwenye kisima chenye maji masafi japokuwa ni kiduchu. Ajabu pia ni pale mwenye kisima kisafi anaposimama hadharani kushangilia kwa kisima chake kuelekea kujaa kwa maji toka septic tank.
 
Hakuna mahojiano hapo,bali yalikuwa ni maandalizi ya kupiga muziki wa taarabu.
 
KATIKA professors nawadharau ni Bashiru na na Benson Bana. They're not OBJECTIVE,they are SUBJECTIVE PERCE
 
Dkt Bashiru Ally ni mwana CCM kindakindaki na kipindi kifupi nyuma aliwahi kupigiwa chapuo la kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Binafsi sioni kama uchambuzi wake una maana yoyote kwa sababu hawezi kutoa maoni kinyume na mtazamo wa chama chake.
Ni mwanachama wa wachumia tumbo kindakindaki! Sioni mwanachama anayeendana na ahadi za chama, miiko ya chama na maadili ya chama! Ndio maana huku kymarer wanaambiwa bomoa kufuata sheria na kule mwanzer wanaambiwa usibomoe fuata busara na hekima! Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja ishatupwa kapuni kitambo!
 
Nyalandu kaghafilika!!

kawa mtoto ghafla, ndo mlitaka mumpe nchi?

nitakubaliana nae tu siku akisema lini tuhuma alizosema hazijawahi kuwepo ccm?

uko nako watamtenga

Nyalandu anadhani ni political heavy hitter!

Sina shaka kuwa baada ya mwezi mmoja atasahaulika katika uwanja wa siasa.

Siasa za Tanzania bila kuzifahamu kwa undani huwezi kumaliza muda mrefu ukiwa hai kisiasa.
 
Ni kweli kabisa !!CCM ya Leo imepoteza dira ya zamani maana CCM ya zamani ilijawa na wezi na walanguzi ambayo hata mwenyewe Nyarandu alikuwa na dira ya kupandisha twiga kwenye ndege kwenda ulaya!!Sasa CCM ya Sasa ni kuwashugilikia wezi ,kujenga viwanda,kuondoa vyeti feki,kuondoa wakwepa kodi, kujenga standard Gage, Kujenga flyover, kununua ndege,kutengeneza madawati,kununua vitanda vya wagonjwa,kupeleka wataalam Wa dawa za usingizi huko mashuleni,kununua anesthesia machine ,hiyo ndiyo dira ya CCM ya Sasa!!Sasa kama ulizoea dira ya wizi basi lazima uhamie huko kwengine!!!
 
Nyalandu anadhani ni political heavy hitter!

Sina shaka kuwa baada ya mwezi mmoja atasahaulika katika uwanja wa siasa.

Siasa za Tanzania bila kuzifahamu kwa undani huwezi kumaliza muda mrefu ukiwa hai kisiasa.

Wee nae,ndio wale wale "Makanjanja" ukiulizwa maswali magumu unakimbilia kusema tuwaulize Azam,poor Kanjanja
 
Rubbish, huoni tofauti kati ya awamu zilizopita na hii in terms of haki, sheria, Katiba zinavyovujwa?
Very inferior memory! Katiba kuvunjwa! Wapi imevunjwa? Wakati Zanzibar inajitangaza ni nchi katiba haikuwepo? Ujinga umezidi hadi hoja za kizembe nazo zinapata like kibao!
 
Sasa huyo bashiru naye ana akili za ki-gamba gamba, sasa unatarajia atazungumza lipi la maana...?
 
Nyalandu anadhani ni political heavy hitter!

Sina shaka kuwa baada ya mwezi mmoja atasahaulika katika uwanja wa siasa.

Siasa za Tanzania bila kuzifahamu kwa undani huwezi kumaliza muda mrefu ukiwa hai kisiasa.

..kilichomfanya Nyalandu aondoke CCM ni jaribio la kutaka kumuua Tundu Lissu.

..sababu alizoeleza ni kupoteza malengo tu na hakuna haja ya kuzijadili.
 
Nyalandu anadhani ni political heavy hitter!

Sina shaka kuwa baada ya mwezi mmoja atasahaulika katika uwanja wa siasa.

Siasa za Tanzania bila kuzifahamu kwa undani huwezi kumaliza muda mrefu ukiwa hai kisiasa.
kwa ccm ni kama tone, ni kama angeondoka khadija kopa

waliondoka akina mwapachu baada ya mawezi akarudi

anadeka

angalau angesema anaanzisha chake, chadema?? seriously?
 
Back
Top Bottom