Dkt. Bashiru Ally ''amkaanga'' Lazaro Nyalandu

Nyarandu hata hivyo alikuwa amecherewa cku zte mda ndo hutoa majibu, tilitegemea kuachwa na Ccm amewahi Ku lisign. Ondoka uligawa vitaru vya loliondo kwa wamarekani wako. Achape raba
 
Ngosha inabidi aongeze mafuta ya taa kwenye kichuguu...inaonekana bado kuna nyoka wengi...na kila anayetokeza analamba rungu la kichwa....Hapa kazi tuu
Hahahahah!

Kwamba kila anayetokeza analamba rungu la kichwa!

Inaonekana watalamba rungu wengi ndani ya CCM na nje ya CCM.

Kelele zimeanza kusikika polepole.
 
Taasisi inayotafsiri sheria, haki na katiba ni mahakama.

Kuandika hapa kuwa haki, sheria na katiba inavunjwa bila ya mahakama kutoa tafsiri ni haki ya fikra zako.
Ni ujinga kufikiria kuwa kila kosa ni lazima litamkwe na mahakama. Kuna watu ni wajinga kiasi kwamba hata mtu akipigwa na mwenzake au hata na kiongozi wake wa kazi watasema siyo kosa mpaka mahakama itamke kuwa aliyempiga mwenzake ametenda kosa.

Mahakama zinatoa hukumu lakini kinachoeleza nini ni kosa ni katiba na sheria zetu. Mathalani mtu akifukuzwa kazi bila ya kupewa nafasi ya kujitetea/kujieleza, tunajua kuwa hilo ni kosa, hata kama aliyefanyiwa hilo kosa ataamua kutokwenda mahakamani.
 
Dr bhana eti haoni ujasiri wa Dr slaa,

Kile kitendo cha mtu kusimamia anachokiamini ninujasiri tosha,

Hatuwezi kuogopa kusimamia tunavyoviamin kwa kuogopa kupotea hizi PhD sijui wanazipataga wap

Halafu habari ya mihimili kuingilia hatuwezi kuendelea kuruhusu kisa kuna nchi nyingi tu zipo hivyo au zamani ilikuwa hivyo,

Hapa simtetei Nyalandu kwa sababu najua naye ana majanga yake ya kutosha tu ila tukitaka kujenga hoja lazima tulete maoni yenye mashiko
 
Dr bhana eti haoni ujasiri wa Dr slaa,

Kile kitendo cha mtu kusimamia anachokiamini ninujasiri tosha,

Hatuwezi kuogopa kusimamia tunavyoviamin kwa kuogopa kupotea hizi PhD sijui wanazipataga wap

Halafu habari ya mihimili kuingilia hatuwezi kuendelea kuruhusu kisa kuna nchi nyingi tu zipo hivyo au zamani ilikuwa hivyo,

Hapa simtetei Nyalandu kwa sababu najua naye ana majanga yake ya kutosha tu ila tukitaka kujenga hoja lazima tulete maoni yenye mashiko
Nyalandu ana kasha nyingi sana, ila kwa bahati mbaya zaidi Dr. amejibu kama kada na sio kama mwanataaluma
 
Hivi huyo Bashiru analipwa na CCM unategemea aje na majibu gani?
Hata wabunge na vyama vya siasa na vinalipwa na serikali ya CCM kutokana na makusanyo ya kodi!

Serikali ya CCM ikiacha kukusanya kodi au kuamua kuja na sera ya kubana matumizi hata malipo ya wabunge na vyama vya siasa yatapata msukosuko!
 
Ukiangalia mijadala ya wasomi wetu wa YUDII ni tofauti kabisa na wasomi wa kule kwa Kenyatta. Wasomi wetu ni aibu tupu. Anaulizwa kingine ana-prolong majibu hatimaye hata haeleweki anajibu swali gani.
 
Back
Top Bottom