By
Fitinamwiko
Dr. Ulimboko kuficha ukweli ni dhuluma kwa
wananchi tuliokuchangia matibabu yako. Wengi tunahisi serikali ilikufanyia ujasusi, hivyo tunataka kuwajua hao majasusi.
Dr. Ulimboko kama umetishwa au umehaidiwa cheo na serikali, kumbuka ni serikali hiyo hiyo iliokutesa na inaogopa nguvu ya umma. Dr.Ulimboko! kama Mh Mwakyembe angeweka ukweli hadharani, yasingekutokea yaliyokupata maana serikali ni DHAIFU. UDHAIFU wa serikali, uliwatumia watu wake ambao walishindwa kutekeleza kazi 100% kwako na Mwakyembe.
Dr. Ulimboko kuficha maradhi, ni kueneza maradhi maana we don't know who is going to be a next victim? Dr. Ulimboko sasa wakati umefika kusema ukweli, kwani ni haki yetu kuujua. Dr. Ulimboko remember " GOD do not like ugly" ulipona kwa dua zetu na utaangamia kwa dua zetu