Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...

Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...

How could he be so insensitive to lead the strike of doctors which is against the lawa and against humanity. And how could you be so insensitive as to support him?

Hope now he knows how those sick feel. Atarudia?

I hope Ulimboka is not the only Doctor. He expressed his feelings ( kwa kusema au kuongoza mgomo) if you think ulimboka was not right, Je, kumpiga na kumtupa msituni ni dawa ? why can't you rectify your system and fire Ulimboka if you think he was not right ?? Kumteka, Kumpiga, kumtishia NI DAWA ? Labda tuseme kuwa Ulimboka analo kosa, Je, dawa ni kumpiga na kumtupa msituni ? Nafuatilia hoja zako, is like some one ambaye kwakweli ni shabiki, maana shabki hajui ukweli na hahitaji kujua ukweli.
 
Tusitegemee sana jipya toka kwa Ulimboka tena.... Bila shaka ndo wanamweka sawa sasa. Hadithi zinazoendelea sasa: kajificha, akitaka ulinzi atapewa, atahojiwa nk, zitaendelea kututumbuiza.
Kuweka ukweli wote hadhari, sitashangaa asipofanya, ila atakuwa msaliti wa wote waliomwamini.
Pamoja na yote hayo, kama hajaungana nao, anahitaji zaidi maombi yetu, kwani hayuko salama.

Unafikiri kilichomponza kula kichapo ni nini? kwa kauli yake mwenye anasema alikwenda leaders club usiku "wakayamalize" ya mgomo. Fikiri, kama si usaliti huo ni nini? mie nawashangaa watu wanaomtetea huyu muuaji na mtesaji wa wagonjwa wetu.

Amevuna alichokipanda.
 
Hakutakiwa afe huyo hakuna cha dua wala maombi mngezuia asile kichapo kama mnaweza. Angetakiwa afe risasi zinafanya kazi gan? huyo alitakiwa aelewe wagonjwa wanavyumwa wanakuwaje, na nna uhaki kajifunza vya kutosha na adabu katia.

Adabu aliyoipata mpaka kajenga geti jipya nyumbani kwake, amekuwa mwoga hata wa kivuli chake. Aliyempa kichapo ni shujaa wa wagonjwa wa Tanzania na kafanya kazi nzuri sana.

Na sasa tunaendelea na kazi ya kusafisha vile virushwa vya mahospitali wanavyopokea hao madokta, wakae mkao wa kula Hosea kisha agizwa rasmi. Watashikwa tu, hakuna ujanja labda waache kazi na kuhama nchi.

Atarudia?
Huo ndio UDHAIFU wa serikali unayoitete, kuna zaidi ya Billioni 350 za vibosile Uswizz, Hosea na Takukuru wanazishindwa mnakwenda kuwabambikia Madaktari wanaotafuta Tonge. Risasi haiui, maana kuna millions of people walishajeruhuwa na wamepona. Let me go back to Dr. Ulimboka, we're waiting to hear from you.
 
Dr. Ulimboko kuficha ukweli ni dhuluma kwa wananchi tuliokuchangia matibabu yako. Wengi tunahisi serikali ilikufanyia ujasusi, hivyo tunataka kuwajua hao majasusi. Dr. Ulimboko kama umetishwa au umehaidiwa cheo na serikali, kumbuka ni serikali hiyo hiyo iliokutesa na inaogopa nguvu ya umma. Dr.Ulimboko! kama Mh Mwakyembe angeweka ukweli hadharani, yasingekutokea yaliyokupata maana serikali ni DHAIFU. UDHAIFU wa serikali, uliwatumia watu wake ambao walishindwa kutekeleza kazi 100% kwako na Mwakyembe. Dr. Ulimboko kuficha maradhi, ni kueneza maradhi maana we don't know who is going to be a next victim? Dr. Ulimboko sasa wakati umefika kusema ukweli, kwani ni haki yetu kuujua. Dr. Ulimboko remember " GOD do not like ugly" ulipona kwa dua zetu na utaangamia kwa dua zetu

tanzania zaid ya uijuavyo!haya na tusubiri
 
Kasema ukweli anaujuwa yeye mwenyewe na yuko eda ya siku 40 kabla hajasema lolote kuhusu kichapo alichochezea.

Ni matumaini yangu kuwa hatarudia. Hata hizo fedha alizozifata leaders usiku hana hamu nazo. Angoje chenji ya mchango wa matibabu, hiyo ni halali yake, tena msimzike mnaozishikilia, msione karudi mkasema ndio basi kisha pona mumtie ndani chenji yake. Inabidi baada ya muda aende tena akaone na madaktari wake waliomtibu waone maendeleo yake na.

Do you have a HEART brother Zomba? Do such a comment gives you peace? Mh! No commets, I feel tears covering my face.

God bless you and May God give you a heart of flesh.

Queen Esther.
 
Do you have a HEART brother Zomba? Do such a comment gives you peace? Mh! No commets, I feel tears covering my face.

God bless you and May God give you a heart of flesh.

Queen Esther.

Robot haina HEART.
 
Kasema ukweli anaujuwa yeye mwenyewe na yuko eda ya siku 40 kabla hajasema lolote kuhusu kichapo alichochezea.

Ni matumaini yangu kuwa hatarudia. Hata hizo fedha alizozifata leaders usiku hana hamu nazo. Angoje chenji ya mchango wa matibabu, hiyo ni halali yake, tena msimzike mnaozishikilia, msione karudi mkasema ndio basi kisha pona mumtie ndani chenji yake. Inabidi baada ya muda aende tena akaone na madaktari wake waliomtibu waone maendeleo yake na.
Fame & Insanity.
Phweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeew!!!
 
I hope Ulimboka is not the only Doctor. He expressed his feelings ( kwa kusema au kuongoza mgomo) if you think ulimboka was not right, Je, kumpiga na kumtupa msituni ni dawa ? why can't you rectify your system and fire Ulimboka if you think he was not right ?? Kumteka, Kumpiga, kumtishia NI DAWA ? Labda tuseme kuwa Ulimboka analo kosa, Je, dawa ni kumpiga na kumtupa msituni ? Nafuatilia hoja zako, is like some one ambaye kwakweli ni shabiki, maana shabki hajui ukweli na hahitaji kujua ukweli.

Kwanza kashinikiza mgomo haramu halafu wajanja walipojuwa kuwa shida yake ni fedha tu, wakamchombeza kwa mshiko, akaingia kichwa kichwa akaenda mwenyewe eti kumaliza mgomo leaders club usiku.

Hilo mbona hamlioni? au hamlipendi?

Sheria ya nchi gani au ya dini gani inayoruhusu daktari agome? daktari ana protest lakini hagomi kumtibia mgonjwa, ili iweje? wafe wale wagonjwa? kama si u terrorist huo ni nini? huyo hukumu yake ni kifo tu.

Sheria ya uterrorist Tanzania tuliipitisha huyu ndio ilifaa ingetumika kwake haraka sana ili iwe mfano kwa wengine wanaofikiria kuweka rehani roho na maumivu ya watu.

Naishangaa hii Serikali mpaka leo haijamfungulia kesi za ugaidi na usaliti wa kiapo chake.
 
Unafikiri kilichomponza kula kichapo ni nini? kwa kauli yake mwenye anasema alikwenda leaders club usiku "wakayamalize" ya mgomo. Fikiri, kama si usaliti huo ni nini? mie nawashangaa watu wanaomtetea huyu muuaji na mtesaji wa wagonjwa wetu.

Amevuna alichokipanda.
" muuaji na mtesaji wa wagonjwa wetu" kama ungekuwa smart lil ungejua nani ni muuaji wa wagonjwa. Tembelea hospitali yeyote ile ya serikali na angalia hali halisi then you'll know the truth. Je unajua sababu zilizomfanya Rais Mwai Kibaki kuchukua wagonjwa na maiti back to Kenya? Sio madaktari ni vitendea kazi
 
Mnalazimisha aongee nini? Mbona wabongo mmekuwa wanafiki hivi? Huyo hata kuja kusema kitu.anajua kwanini hii kitu imemtokea na akifunguka basi kuna wengine pia watafunguka na ndio tutajua kwanini alikwenda bar kumaliza mgogoro wa madaktari.
 
anaweza kurecord mazungumzo yake na kuyasambaza kabla ya kifo chake.hata ukitia maji sumu kuna wachache watapona na ulimboka aweza kuwa kati ya hao wachache.
Ni wachache sana watakaoamini tape recorder/video. We can't ask questions a video, but we want to ask Dr. Ulimboka. Kuhusu wapo watakaopona he could bo one of them, (true). We do not wish him suffer again, just send our message to him " we're thirst, Dr. Ulimboka is only one has a water for us to drink"
 
Unafikiri kilichomponza kula kichapo ni nini? kwa kauli yake mwenye anasema alikwenda leaders club usiku "wakayamalize" ya mgomo. Fikiri, kama si usaliti huo ni nini? mie nawashangaa watu wanaomtetea huyu muuaji na mtesaji wa wagonjwa wetu.

Amevuna alichokipanda.
My brother Zomba, je nawe unategemea kuvuna nini Kati ya ulivyovipanda na unaendelea kupanda? Hebu basi ukatubu na kugeuka usije angamia. Soma Zaburi ya 35 yote hata Kama sio mkristo. The GRACE of God can save you from curses you are receiving because of such comments. Wagalatia 6:7. Ogopa laana ya maneno maana maneno huumba kaka yangu mpendwa. Usihukumu usihukumiwe.
God bless you.
Queen Esther.
 
Kwanza kashinikiza mgomo haramu halafu wajanja walipojuwa kuwa shida yake ni fedha tu, wakamchombeza kwa mshiko, akaingia kichwa kichwa akaenda mwenyewe eti kumaliza mgomo leaders club usiku.

Hilo mbona hamlioni? au hamlipendi?

Sheria ya nchi gani au ya dini gani inayoruhusu daktari agome? daktari ana protest lakini hagomi kumtibia mgonjwa, ili iweje? wafe wale wagonjwa? kama si u terrorist huo ni nini? huyo hukumu yake ni kifo tu.

Sheria ya uterrorist Tanzania tuliipitisha huyu ndio ilifaa ingetumika kwake haraka sana ili iwe mfano kwa wengine wanaofikiria kuweka rehani roho na maumivu ya watu.

Naishangaa hii Serikali mpaka leo haijamfungulia kesi za ugaidi na usaliti wa kiapo chake.

Mkashindwaje kumuua ? mlishindwa nini ? why didnt you kill him ?
 
" muuaji na mtesaji wa wagonjwa wetu" kama ungekuwa smart lil ungejua nani ni muuaji wa wagonjwa. Tembelea hospitali yeyote ile ya serikali na angalia hali halisi then you'll know the truth. Je unajua sababu zilizomfanya Rais Mwai Kibaki kuchukua wagonjwa na maiti back to Kenya? Sio madaktari ni vitendea kazi

Miaka 58.4 life expectancy ya Mtanzania baada ya miaka 7 tu ya Kikwete madarakani. Kabla yake kwa miaka 44 na Marais watatu na mmoja wao katawala miaka 24 walituwacha Watanzania taabani na life expectancy ya chini ya miaka 48.

Sasa ulitaka maiti ziche hapa? wamechukuwa maiti wakaona wachukuwe na waginjwa wao.

Wewe unajuwa kuwa miaka ya hivi karibuni jinsi huduma zetu zilivyoboreshwa kuna Wakenya wengi na wengine wa nchi za jirani wanaokuja kutibiwa Tanzania? au hujui hilo? Hususan kwenye tiba ya kansa, tumepiga hatua kubwa sana kwa uongozi wa Dokta Ngoma pale ocean road.

Katazame Hospitali na vituo vya afya vya leo na unavijuwa vilivyokuwa kabla Kikwete hajachukuwa madaraka? sema kweli. Leo hospitali zetu zinatazamika na huduma zimeboreshwa maradufu. Wanaoziharibu ni hawa wanaosaliti kwa kuwa wamebaniwa mianya yao ya kuiba na matarajio ya agenda zao za siri. Hizo mbinu tunazijuwa wala hazitupi shida, tunapambana nazo na ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
 
Mkashindwaje kumuua ? mlishindwa nini ? why didnt you kill him ?

Alitakiwa achezee kichapo tu, ajuwe wagonjwa wanakuwaje, auguwe kama wanavyouguwa wao, natumai ataendelea kuuguza majeraha na maumivu kwa muda mrefu ili asisahau wagonjwa wanakuwaje. Somo kalipata.
 
Go to hell.

Miaka 58.4 life expectancy ya Mtanzania baada ya miaka 7 tu ya Kikwete madarakani. Kabla yake kwa miaka 44 na Marais watatu na mmoja wao katawala miaka 24 walituwacha Watanzania taabani na life expectancy ya chini ya miaka 48.
 
halafu aendelee kudanganywa na hao kina Nkya wanaojifanya wanaharakati kwa kuropoka kuwa "mapambano yanaendelea" Fisi hawa - mapambano ya kugoma na kuuwa wananchi wasio hatia. Kapata fundisho na atubu kwanza na aanze kushuhudia mauwaji aliyoyaongoza.
 
Back
Top Bottom