Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi...

pumbafu mkubwa wewe kama huelewi kaa kimya na uzoba wako..leaders alipigiwa simu na ndio maana hata wakubwa zako wa usalama wa taifa hawajaihusiaha wala kuiongelea..ny..ko yako.

Alipigiwa simu kwenda kutatua mgomo leaders usiku, si ndio? malizia...

Ukimalizia halafu utajuwa mpumbavu ni nani.
 
we mtetee mjomba wako huyo anayelisha familia yako kila siku tu hapa..ila kama hujui undani wa jambo uliza kwanza pimbi we! simu ilipigwa kuhitajika usiku huo!! besides kuwa kiongozi inakuzuia nini kufanya entertainment socially say drinking(social drinking) or other activities!!!!! na simu ni ya mtu wa ikulu na ilishasemwa wazi na yeye pamoja na watu waliokuwa ktk kikao bse wakati huo kulikuwa na vikao ikulu, viongozi wa kidini(madhehebu yote) na madaktari wenyewe!!
so kuwa leaders ni jambo la kawaida kabisa...jipange upya.
 
KIONGOZI wa madaktari, Dk Stephen Ulimboka amewataka watanzania wasiwe na hofu na wasubiri siku maalum ambayo ataweka wazi ukweli wote kuhusu namna alivyotekwa na kuteswa, pia hali yake ya kiafya kwa sasa.
Dk Ulimboka ambaye amerejea nchini hivi karibuni kutoka Afrika Kusini alikokuwa amepelekwa kwa ajili ya matibabu alisema jana kuwa hawezi kuzungumza lolote kwa sasa na aachwe apumzike kwani ameugua na ametengana na familia yake kwa muda mrefu, hivyo anahitaji muda wa kuwa peke yake.

“Niacheni nipumzike kwa sasa. Wakati muafaka ukifika, nitasema yote. Sitaacha kusema, muda muafaka ukiwadia nitayasema yaliyonitokea na taratibu maalum zitaandaliwa ili nizungumze na watanzania,” alisema Dk Ulimboka.
Alisema hawezi kuzungumza bila utaratibu maalum bali atazingatia taratibu zitakazoandaliwa na uongozi wa Jumuiya ya Madaktari (MAT) ndipo ataueleza umma na kusema yaliyo moyoni kuhusu kutekwa na kupigwa kwake.

“Haya mambo yatawekwa hadharani lakini ni kwa utarartibu maalum, si kama hivi mnavyotaka ninyi. Kila mtu ananiuliza halafu mnakwenda kuandika ya kwenu, naona hii imekuwa kama biashara sasa,” alisema.
Aidha Dk Ulimboka alivilaumu baadhi ya vyombo vya habari kwa kuandika habari ambazo si za kweli kuhusu suala la kutekwa na kuteswa kwake na kusema kuwa wamekuwa wakipotosha ukweli wa tukio lenyewe.

“Wengine wananipigia simu na kunijulia hali, nikiwaambia basi wanaenda kuandika tofauti, kwa mfano juzi wameandika kuwa nimeonekana nikipanda boti, jambo ambalo si la kweli,” alisema.
Akizungumzia hilo, makamu wa rais wa MAT, Prinus Saidia alisema Dk Ulimboka kwa sasa yupo mapumzikoni na atazungumza kwa kina baada ya muda mfupi.

Alisema madaktari wamekubaliana kuwa Dk Ulimboka aachwe apumzike baada ya kipindi kigumu cha muda mrefu lakini atazungumza kwa undani wakati ambao utakubaliwa na jumuiya hiyo.
Wakati huo huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Haki za Raia, Siasa na Mwenendo wa Bunge, Marcossy Albanie amesema ataitisha mkutano wa waandishi wa habari siku ya Jumatatu ambapo pamoja na mambo mengine atazungumzia suala la kutekwa na kuteswa kwa Dk Ulimboka.

Albanie hakutaka kuweka wazi ni nini hasa ambacho atakwenda kuzungumzia kuhusu Dk Ulimboka bali alisisitiza kuwa taasisi yake itazungumzia suala hilo la kutekwa na kipigo cha daktari huyo.

Mytake ameshatishwa, maana vyombo vya habari vimekuwa vikimnukuu kauli zake tangu arudi anaonekana kubadilika na kutoihusha serikali tena na sasa anaanza kulaumu media???
 
Kama sio rushwa hiyo, basi na yeye ameahidiwa uwaziri kama Mwakyembe ili ainusuru serikali yake!!! Bado tuna safari ndefu!!
 
Kwani hujui kama Bongo kuna vijigazeti uchwara vya kumwaga!? Wanajua habari ya kutendewa unyama Dr Ulimboka inauza/itauza sana magazeti hivyo wako tayari kuandika lolote lile hata kama halikutoka kinywani kwa Dr ili kuongeza mauzo ya vijigazeti vyao.

Mytake ameshatishwa, maana vyombo vya habari vimekuwa vikimnukuu kauli zake tangu arudi anaonekana kubadilika na kutoihusha serikali tena na sasa anaanza kulaumu media???
 
Kasema ukweli anaujuwa yeye mwenyewe na yuko eda ya siku 40 kabla hajasema lolote kuhusu kichapo alichochezea.

Ni matumaini yangu kuwa hatarudia. Hata hizo fedha alizozifata leaders usiku hana hamu nazo. Angoje chenji ya mchango wa matibabu, hiyo ni halali yake, tena msimzike mnaozishikilia, msione karudi mkasema ndio basi kisha pona mumtie ndani chenji yake. Inabidi baada ya muda aende tena akaone na madaktari wake waliomtibu waone maendeleo yake na.
Hivi we kiumbe unatoka pori gani? Natamani nikuone live maana mawazo yako mara zote yanatisha!! Sijui unafananaje maana hata jini lina logic fulani. Lakini wewe... ka!!!!!
 
Mwacheni auguwe, atakuja kusema ukweli. Mbona mnamsonga-songa na bado ana maumivu?

Ulimboka ukija utueleze leaders ulikwenda kutatua mgomo kivipi?
 
Hivi we kiumbe unatoka pori gani? Natamani nikuone live maana mawazo yako mara zote yanatisha!! Sijui unafananaje maana hata jini lina logic fulani. Lakini wewe... ka!!!!!

Wewe jibu hoja huko, kama zimekuingia ujuwe huo ndio ukweli. Ulifikiri alikwenda leaders kufanya nini? kustarehe tu, huku kaacha wagonjwa hawana madaktari wanateseka hovyo! Fikiri.

Njoo leaders tukutane.
 
Hivi tunataka aseme ili iweje, kama ni kuandika watu wameadika sana kuhusu Dkt. Ulimboka, kama ni kuhumu tulishahukumu sana humu, sasa tunataka aseme ili itusaidie nini? ukweli uliopo ni kuwa hata akisema leo ndiyo ni serikali unadhani nini kitatokea.

Tuache ushabiki usikua na maana sasa. Kama anataka kusema kama alivyosema atasema, siyo kila siku Uliombo Ulimboka inatia kinyaa sasa.
 
Hata Dk Ulimboka akijikanganya, lakini umma wa watanzania hautakanganyika. Tusubiri 2015:israel:
 
sioni anapojikanyaga wala nini

na kwa taarifa tu, hawezi kuwa mpuuzi kama ****** wa kubwabwaja na ahadi za vitisho; kama ni kutoa, basi si ajabu keshayatoa hata wakimuua leo, yapo
 
Ulimboka hajajikanyaga, tuendelee kukombea afya njema muda ukifika atasema kila kitu.
 
waandishi makanjanja bwana..sasa amejikanganya wapi???
 
Sio vizuri kudharau tu mawazo ya Mtu, what has been written here makes sense.

KIONGOZI wa madaktari, Dk Stephen Ulimboka amewataka watanzania wasiwe na hofu na wasubiri siku maalum ambayo ataweka wazi ukweli wote kuhusu namna alivyotekwa na kuteswa, pia hali yake ya kiafya kwa sasa.
Dk Ulimboka ambaye amerejea nchini hivi karibuni kutoka Afrika Kusini alikokuwa amepelekwa kwa ajili ya matibabu alisema jana kuwa hawezi kuzungumza lolote kwa sasa na aachwe apumzike kwani ameugua na ametengana na familia yake kwa muda mrefu, hivyo anahitaji muda wa kuwa peke yake.

“Niacheni nipumzike kwa sasa. Wakati muafaka ukifika, nitasema yote. Sitaacha kusema, muda muafaka ukiwadia nitayasema yaliyonitokea na taratibu maalum zitaandaliwa ili nizungumze na watanzania,” alisema Dk Ulimboka.
Alisema hawezi kuzungumza bila utaratibu maalum bali atazingatia taratibu zitakazoandaliwa na uongozi wa Jumuiya ya Madaktari (MAT) ndipo ataueleza umma na kusema yaliyo moyoni kuhusu kutekwa na kupigwa kwake.

“Haya mambo yatawekwa hadharani lakini ni kwa utarartibu maalum, si kama hivi mnavyotaka ninyi. Kila mtu ananiuliza halafu mnakwenda kuandika ya kwenu, naona hii imekuwa kama biashara sasa,” alisema.
Aidha Dk Ulimboka alivilaumu baadhi ya vyombo vya habari kwa kuandika habari ambazo si za kweli kuhusu suala la kutekwa na kuteswa kwake na kusema kuwa wamekuwa wakipotosha ukweli wa tukio lenyewe.

“Wengine wananipigia simu na kunijulia hali, nikiwaambia basi wanaenda kuandika tofauti, kwa mfano juzi wameandika kuwa nimeonekana nikipanda boti, jambo ambalo si la kweli,” alisema.
Akizungumzia hilo, makamu wa rais wa MAT, Prinus Saidia alisema Dk Ulimboka kwa sasa yupo mapumzikoni na atazungumza kwa kina baada ya muda mfupi.

Alisema madaktari wamekubaliana kuwa Dk Ulimboka aachwe apumzike baada ya kipindi kigumu cha muda mrefu lakini atazungumza kwa undani wakati ambao utakubaliwa na jumuiya hiyo.
Wakati huo huo, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Haki za Raia, Siasa na Mwenendo wa Bunge, Marcossy Albanie amesema ataitisha mkutano wa waandishi wa habari siku ya Jumatatu ambapo pamoja na mambo mengine atazungumzia suala la kutekwa na kuteswa kwa Dk Ulimboka.

Albanie hakutaka kuweka wazi ni nini hasa ambacho atakwenda kuzungumzia kuhusu Dk Ulimboka bali alisisitiza kuwa taasisi yake itazungumzia suala hilo la kutekwa na kipigo cha daktari huyo.

Mytake ameshatishwa, maana vyombo vya habari vimekuwa vikimnukuu kauli zake tangu arudi anaonekana kubadilika na kutoihusha serikali tena na sasa anaanza kulaumu media???
 
Mm nashauri tumuache Dr Ulli akae na familia yake kwa usalama kwani Waandishi na sisi wachangiaji humu hatuna msaada wowote ila ni kupiga mayowe na kushabikia km Boxing jukwaani,
hapo huwezi kupambana napo, hata kina Mwakyembe walisema wakitoka India wataanika yote, kina Mwandosya, kina Mapalala, bado kina Marehemu Hanga, Kombe mbona hamkusaidia ile kuhadithia vijiweni km sinema?
Mwacheni kwani hata leo au kesho keshamuelezea Baba au Mama kila kilichotokea na wametuambia tumuache kwanza.
 
OSOKONI Mkuu, kujikanganya maana yake ni kuchanganya mawazo/maoni yanayopingana, kukataa au kubadilisha alilosema mwanzo.

Yote uliyoandika na sehemu ulizoweka rangi ndio hayo hayo aliyoyasema tangu tangu arejee, pangine na nyongeza, sasa kujikanganya kuko wapi?

Kitu pekee kilichotafauti na kile ulichosema Dr. Ulimboka amesema, ni hayo mawazo yako (My take). Mwacheni apumzike, hata asiposema, ni haki yake.
 
Last edited by a moderator:
Hela ishatembezwa nini? I hope dr ulimboka kama ni hela wamekupa hela nzuri sio hela mchwara....
 
Back
Top Bottom