meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
ulimboka alishinda mauti!hana cha kuogopa.
siku arobaini?ulimsikia ulimboka akiyasema hayo au ni magazeti yetu?Baada ya siku arobaini? Anakusanya ushahidi nini? Au kwa sasa hawezi kunena bado afya haijatengekaa? Watu tuna mambo na vijambo kwelikweli ngoja baada ya siku arobaini aje amtambe Mlundi kuwa ndiye aliyemteka sijui tutasemaje?
Huyu Dr ndo imetoka. Na kama mwakyembe atakuja kusema hata kutekwa hajatekwa
siku arobaini?ulimsikia ulimboka akiyasema hayo au ni magazeti yetu?
ulimboka alishinda mauti!hana cha kuogopa.
Mkuu mimi sijawahi kukutana na Ulimboka na mambo yote ya Ulimboka nimekuwa nikiyapata kupitia vyombo vya habari kama JF, magazeti na Radio. Hiyo ya siku 40 nimeisikia kupitia radio wakati wanasoma magazeti. Upo hapo? Au sikusikia vizuri manake wamerudia kama mara tatu hivi. Una habari ataongea lini na wanahabari kuweka wazi kilichomsibu?
Uko sahihi kabisa mkuu lakini kumbuka pia kwamba ukitaka kujua kifo chingulia kaburi. Dr. Ulimboka ameishachungulia kaburi
Go to hell!Kasema ukweli anaujuwa yeye mwenyewe na yuko eda ya siku 40 kabla hajasema lolote kuhusu kichapo alichochezea.
Ni matumaini yangu kuwa hatarudia. Hata hizo fedha alizozifata leaders usiku hana hamu nazo. Angoje chenji ya mchango wa matibabu, hiyo ni halali yake, tena msimzike mnaozishikilia, msione karudi mkasema ndio basi kisha pona mumtie ndani chenji yake. Inabidi baada ya muda aende tena akaone na madaktari wake waliomtibu waone maendeleo yake na.
anaweza kurecord mazungumzo yake na kuyasambaza kabla ya kifo chake.hata ukitia maji sumu kuna wachache watapona na ulimboka aweza kuwa kati ya hao wachache.Siku 40? kama wanaweza kuzima umeme mji mzima kumkomoa Dr. Slaa, wanaweza kutia sumu maji regardless watu wangapi watatumia kukuangamiza wewe Dr. Ulimboko. Get out and spitt
How could you be so insensitive to a plight of a fellow human being? What makes you think that you are safe? Particularly when the "jungles rule returns?
How could you be so insensitive to a plight of a fellow human being? What makes you think that you are safe? Particularly when the "jungles rule returns?
Dr. Ulimboko kuficha ukweli ni dhuluma kwa wananchi tuliokuchangia matibabu yako. Wengi tunahisi serikali ilikufanyia ujasusi, hivyo tunataka kuwajua hao majasusi. Dr. Ulimboko kama umetishwa au umehaidiwa cheo na serikali, kumbuka ni serikali hiyo hiyo iliokutesa na inaogopa nguvu ya umma. Dr.Ulimboko! kama Mh Mwakyembe angeweka ukweli hadharani, yasingekutokea yaliyokupata maana serikali ni DHAIFU. UDHAIFU wa serikali, uliwatumia watu wake ambao walishindwa kutekeleza kazi 100% kwako na Mwakyembe. Dr. Ulimboko kuficha maradhi, ni kueneza maradhi maana we don't know who is going to be a next victim? Dr. Ulimboko sasa wakati umefika kusema ukweli, kwani ni haki yetu kuujua. Dr. Ulimboko remember " GOD do not like ugly" ulipona kwa dua zetu na utaangamia kwa dua zetu
Namshukuru sana tena sana Mungu kusikia dua na mombi yetu juu ys Dr Ulimboka, Bwana Mungu wetu amemponya kwanjia ya Mwanae Yesu Kristo. Jina la Bwana Yesu, jina lipitalo majina yote libarikiwe.
Kwa habari ya kuwataja waliomteka, binafsi sioni sababu ya kuumpa shinikizo Dr Ulimboka kuwataja hao hayawani. Kama anataka kuwataja basi akawataje kule the Hague (ICC). Ndugu yangu mleta mada hii mfumo wa utawala wa nchi hii umeshaoza, after law hawa watu si Mwanahalisi ilishawabaini, yanini kumshinikiza Dr Ulimboka?
Nikweli mfumo wa utawala umekwisha oza lakini faraja kwa watanzania nikwamba mfumo huu haujaharibu KALENDA. TISS iwike isiwike kunakucha, na siku za hawa hayawani kukalia ofisi zinahesabika. Wana uwezo wa kuteka nyara watu, kuwatesa vibaya na hata kuua lakini hawana uwezo wa kuteka nyara Jua. hawawezi kuteka nyara mawio na machweo ya Jua. Kwa mantiki hiyo wataondoka tu ofisini na hapo ndipo ukweli utawekwa bayana