Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Usiwadhalilisbe waislam. Waislam wa kweli ni watu wanaoelewa mambo siyo kama unavyotaka waeleweke. Hakuna muislamu wa kweli atakayeona eti Dr Slaa kumshauri shehe mkuu kujiridhisha kabla ya kutoa matamko ni kuutukana uislam. Hakuna jumuiya ya kiislam itakayokubaliana na picha unayotaka kuionyesha hapa kwamba uislamu ni udictator katika umaskini wa fikra, taarifa na ueledi.
Tafadhali usiwasingizie waislam wala shehe mkuu. Hili litakuwa lako tu.

Nimekubali J.K Ni Mkareeeeeeeeeeeeeeeee!! Kwani akiona anashindwa anachochea udini.
sasa kashawistahi udini hadi Sheikh mkuu kamsikiliza, sasa kamsemea Dr. Slaa kwa Mkuu Na Dr. Slaa Kaingia Choo cha Kike kilainiiiii japo ****** alijua slaa ni mjanja ila ndege mjanja hunaswa kwa Tundu bovu..

Hiyo Kumjibu Sheikh Mkuu ni kosa Kubwa ambalo hato lisahau maishani mwake kwani jumuiya ya kiislam itaona kama imetukanwa ni kheri kuikosoa CCM Kuliko uislam kwa hili Slaa anaweza kushtakiwa kwa jumuia kote duniani.

kila aina ya neno baya kumchochea achukiwe na waislam wote mie namshauri amuombe tu msamaha sheikh ndio kiasi inaweza kuwa salama yake Kidogoooooooo... ila avumilie maneno mengine ikiwemo laana. japo alaanie nae hulaaniwa, hata kama hatoliona kosa lake.

Jumuiya Ya kiislam haita jali anatetea haki na usawa wala nini kosa ni kumsema mkuu hajatumia utafiti kama nilivyonukuu Pole zake... Hongera j.k kwa kufadhiri uchochezi wa udini japo na upande wa pili hautaafiki nchi haita kalika hii utaufanya U.N Ije kulinda amani.....

Poleni Watanzania Nchi ****** kesha ishindwa anaona bora tukose wote ... Damu ikimwagika ipo juu yako. Utacukiwa hadi na vizazi vyako rekebisha hilo mapema j.k.

Why Afrika Naipenda Afrika Mungu Ibariki Tanzania ... Wacha nianze Kuitafuta Passport Yangu... Niende Kwetu SheliSheli....

PEMBE NA NG'OMBE HALIFICHIKI!
 
MUFTI MKUU SIMBA SASA WATANZANIA TUKUELEWEJE KWA UNAFIKI HUU JUU
YA MAANDAMANO KUUNGA MKONO SIASA ZA LIBYA???

Maandamano ya Ndugu zetu Waislamu Tanzania kwa ajili ya UFISADI dhidi ya Wa-Tanzania kwa Mufti Mkuu NI HARAMU lakini pindi wafanyavyo kitu hicho hicho katika mazingira haya haya ya Bongo kwa jina la Nchi ya Kiislamu ya Libya na wakati mwingine kwa ajili ya Wa-Palestina eti kwa Mufti Simba sasa hiyo sasa NI DHAWABU wa Mwenyezi Mungu inawasubiri ahera.

Jamani Wa-Tanzania twende wapi kwa UNAFIKI WA MCHANA MCHANA kwa kiwango kama hiki?? Hivi kama binadamu angelipewa ukuu wake Mwenyezi Mungu japo kwa siku moja tu, kwa mtaji wa unafiki wa kiasi hiki, taifa letu la Tanzania kweli kungebaki mtu mbele ya kiti cha enzi cha nafsi kama ya Mufti Mkuu Simba bin Jumaa huyu kweli??

Kwenye hayo maandamano ya kumunga mkono Dikteta Kanali Qadhaf wa Libya laiti wangeruhusiwa na ghafla tu mtu awatupe katika mtaa mojawapo pale mji wa Benghazi ninayo uhakika haitochukua zaidi ya dakika 20 kabla hawajachinjwa woote na Jambia ya Nguvu ya Umma wa nchi hiyo mithili kuku KWA MTAJI WA UNAFIKI WAO mkubwa hawa.

Mara kesho utawasikia wakiandamania Palestina, mara kutetea Al-Shaabab wa Somali ilmradi tu!! Hivi kweli Shikh Mkuu sijui Mufti si jana tu kawatangazia wenzetu Waislamu wa Tanzania kwamba hakuna ruksa wao kushiriki kwenye maandamano yoyote ya kisiasa; je wana uhakika gani kama mambo ya Libya si ya kisiasa.

Ama kweli Mungu aliye juu ni Mungu Kijana tayari amemdhiri Mufti Mkuu katika hili. Sala ya toba asiisawhau pindi aingiapo Msikitini hasa kwa Ijumaa hii.

Na kwa mtaji wa kitendo chake hiki Wana-JF nawaomba, mbali na elimu ahera ambayo bila shaka huenda ikawa ni mkubwa sana kwa kiongozi huyu Simba, je elimu dunia kwake imesimameje???

Nimekubali J.K Ni Mkareeeeeeeeeeeeeeeee!! Kwani akiona anashindwa anachochea udini.
sasa kashawishi udini hadi Sheikh mkuu kamsikiliza, sasa kamsemea Dr. Slaa kwa Mkuu Na Dr. Slaa Kaingia Choo cha Kike kilainiiiii japo ****** alijua slaa ni mjanja ila ndege mjanja hunaswa kwa Tundu bovu..

Hiyo Kumjibu Sheikh Mkuu ni kosa Kubwa ambalo hato lisahau maishani mwake kwani jumuiya ya kiislam itaona kama imetukanwa ni kheri kuikosoa CCM Kuliko uislam kwa hili Slaa anaweza kushtakiwa kwa jumuia kote duniani.

kila aina ya neno baya kumchochea achukiwe na waislam wote mie namshauri amuombe tu msamaha sheikh ndio kiasi inaweza kuwa salama yake Kidogoooooooo... ila avumilie maneno mengine ikiwemo laana. japo alaanie nae hulaaniwa, hata kama hatoliona kosa lake.

Jumuiya Ya kiislam haita jali anatetea haki na usawa wala nini kosa ni kumsema mkuu hajatumia utafiti kama nilivyonukuu Pole zake... Hongera j.k kwa kufadhiri uchochezi wa udini japo na upande wa pili hautaafiki nchi haita kalika hii utaufanya U.N Ije kulinda amani.....

Poleni Watanzania Nchi ****** kesha ishindwa anaona bora tukose wote ... Damu ikimwagika ipo juu yako. Utacukiwa hadi na vizazi vyako rekebisha hilo mapema j.k.

Why Afrika Naipenda Afrika Mungu Ibariki Tanzania ... Wacha nianze Kuitafuta Passport Yangu... Niende Kwetu SheliSheli....

PEMBE NA NG'OMBE HALIFICHIKI!
 
Nduguzangu uko tunapokwenda si kwenye maswala ya dini na siasa aviwezi kurandana, natamani tungepata mtu anayeweza kutofautisha siasa na dini ili tuweze kuwamaliza awa mafisadi vizuri, but nilicho kiona ni bahaadhi ya mafisadi wanatumia mwanya wa udini kujijengea mazingira ya kuendelea kutafuna nchi kilaini. kamwe atutakubali nduguzangu ebu tuachane na maswala ya udini tuweke nguvu zetu pamoja tuweze kujikomboa kutoka ktk mikono ya mafisadi, udini autaweza kutufikisha mahali.
 
Napenda kukushauri Mh Dr Slaa kuwa uendelee kukaza buti kwani mashambulizi ya hali juu pamoja na kejeli mbalimbali zitaendelea kuelekezwa kwako ili kukuvunja moyo. Nakushauri kuwa usikate tamaa wapenda maendeleo na haki wapo nyuma yako na watendelea kukuunga mkaono. Na Wanzania sasa tumeamka tunajua nani mkweli na nani muongo,tegemea mashambulizi zaidi na zaidi kwa mwaka huu na ujao lakini usikate tamaa kwani Mungu huwa upande wa wenye haki. Ninamini kuwa CCM hata ushirikina wanatumia kupambana na wewe kwa kuwa wao ni waovu na uovu ni asili ya wengi wao japokuwa sio wote, wewe mtegemee Mungu kwa kila jambo. Ninauhakika watawatumia wabunge wawili mamluki waliondani ya chama chako kwa sasa kukushughulikia ni muhimu kuwa makini na hao mapandikizi hayo mawili. Paka sasa hivi wameshindwa kuwashughulikia vizuri kutoka na mshikamano wa wengi wenu hasa ushirikiano mzuri wa wewe na kamanda Mbowe umewavunja nguvu.

Mungu Ibarikia Tanzania ,Mungu ilinde CHADEMA.
 
:smash::smash:

Proudly Tanzanian.

Forever Slaa!!!!!!!!!!!!!!
 
I also support him,....
Ntarudi kuona atasemaje,hapo kwenye plural maana jana ali m-criticize mtu aliye tumia plural kusema "watanzania tumechoka na maandamano"
 
Proudly Tanzanian.

Forever Slaa!!!!!!!!!!!!!!

Watanzania waliisha mchagua wanae mtaka kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki, yeye ndiye ambaye anae takiwa asivunjike moyo ili aweze kuwahudumia including Slaa
 
This has nothing to do with Muslims or Christians because we all go to the same hospitals, use the same roads, eat the same food (mostly..lol) Umeme ndio ule ule... This is an illusion intended to offend Muslims by forcing a reaction from CHADEMA. Religion is an emotional as opposed to logical force, that is why it is so dangerous and thus powerful. Waislamu viongozi wao wakitukanwa inaudhi kama inavyowaudhi wakristo na wayahudi labda buddhist monks tuu ndio wana immunity from this foolishness.. Tanzania mtu akitukaniwa dini yake (or at least perceive it so) anajiskia kama demu wake katiwa dole la jicho na mtu barabarani kwa kusudi...lol Reaction is explosive... Predictably... CHADEMA up ur game...bado sana.
Mkuu Waislaam wengi sana wanamjua Mufti kama ni zuga hana maana hata kidogo..Dhulmati, mwizi Kauza mali zao kiholela pIa ni kada wa CCM wakati wengi wanaharakati wake wako CUF..

Pili waislaam wenye kufahamu historia na ukweli wanajua fila kwamba walioiua Jumuiya ya Waislaam Afrika Mashariki ni Waislaam wenyewe kina Shhaban Nasibu wakidai chombo kile kilikuwa cha wahindi na walitaka chao..

Na jumuiya huyo ilizuiwa kufanya kazi mikoa ya Tanga, Bukoba, na Pwani mapema kabla ya kusimamishwa.. huduma zake kitaifa na kuundwa Bakwata.

Hivyo Bakwata ni chombo tulichokiomba sisi wenyewe na tukaundiwa na serikali kama mnavyoombq mahakama ya Kadhi leo. Kesho ikishindwa kuwakilisha Waislaam mtasema ni njama za kanisa au kiongozi fulani mkristu.

Kwahiyo mkuu wangi, sisi Waislaam wenyewe tumekuwa wazito sana kukemea madudu hasa yanapofanywa na Muislaam kwa viingizio vya imani ya dini wakati tunajua fika kwamba wahusika don't give a damn..wanaliogopa kanisa kuliko Masheikh, Bakwara au Mufti kwa sababu kama hizi..

Serikali remote controls Bakwata na viongozi wake kwa kubofya tu, tofauti na kanisa ambao serikali imeshindwa kuwaweka mfukoni ila yenyewe ndio imebanwa..

Naweza kukubali kwamba CCM wamemtumia Mufti wakijua ati Chadema wata respond na maadam hawana kiongozi wa juu Muislaam zaidi ya Zitto basi nila shaka atajibu Mkristu..

Mkuu wangu huoni kama hizi ni siasa za maji taka? Siasa za chuki na dhambi kubwa kwa Mufri na aibop kwa Uislaam kutumika ktk siasa chafu? hata hivyo,Mungu ni mjuzi kuliko sote, mwisho wa siku itakula kwao CCM kwa matumizi mabaya ya dini na Unafiki wa Mufti.. Amini maneno yangu.

Lakini pamoja na hayo kuigawa nchi kwa makundi ya dini haiwezi kuwa ushindi kwa CCM kwa sababu ni majimbo machache sana waishiyo waislaam wafuasi wa Bakwata, hasa hasa ni mijini hivyo CCM wanaweza kuchukua Dar na mikoa ya Pwani ya mashariki wakigawana na CUF lakiini bara kote Chadema watachukua..

Na huo ndio utakuwa mwanzo wa kuuigawa nchi na pengine mwanzo wa chuki za kidini..

Kumbuka maneno yangu haya;- Uislaam ni dini isiyokuwa na watu, hali Wakristu ni Watu wasiokuwa na dini..

Usemi huu ni mzito sana hasa inapokuja ktk maswala ya mfumo wa kijamii na kiutawala..

Nakuhakikishia hata kama itapita miaka ishirini maadam Mwenyezi Mungu atujalie uhai nitalikumbuka
hili na kuwasimulia wajukuu zangu chanzo cha mgawanyiko wa Watanzania nii Mufti akitumiwa na chama CCM..
 
CDM Team nzima wanaweza yote katika yeye Mwenyezi Mungu awatiaye nguvu na wala hapa ushirikina Sheikh Yahaya wale kule Mlingotini hazina nguvu mbele Mungu aliye juu.

Kweli sala zetu na kuwatia viongozi wetu moyo ni usiofedha lakini ni wa muhimu kuliko wengi tunavyofikiri. Jamani, katika mapambano haya ya kuokoa Watanzania Wakristo kwa Waislamu, Wake kwa Wame, Mijini na Vijijini ... kweli tumuogope nani wakati tayari Mungu yuko upande wetu na anatupigania???

Yeyote mwenye kupigania jema na haki kwa wote kwa udhati kabisa bila unafiki wala hatokaa aaibishwe na wanafiki hata mashambulizi yao yaweje chini ya jua!!
 
Watanzania waliisha mchagua wanae mtaka kwenye uchaguzi ulio huru na wa haki, yeye ndiye ambaye anae takiwa asivunjike moyo ili aweze kuwahudumia including Slaa
Oohh Makamba upo?? Hivi ile ID yako ya Selemani huwa ni ya kutokea au ya kujadilia mambo yenye maudhui ya kidinidini hivi???
 
Toka hapa. Watanzania hawakumchagua huyo unayemsema. Alichaguliwa na NEC kwa nguvu ya Polisi na mabomu na risasi. Tuendelee??? usitake danganya watu hapa.
 
cdm team nzima wanaweza yote katika yeye mwenyezi mungu awatiaye nguvu na wala hapa ushirikina sheikh yahaya wale kule mlingotini hazina nguvu mbele mungu aliye juu.

Kweli sala zetu na kuwatia viongozi wetu moyo ni usiofedha lakini ni wa muhimu kuliko wengi tunavyofikiri. Jamani, katika mapambano haya ya kuokoa watanzania wakristo kwa waislamu, wake kwa wame, mijini na vijijini ... Kweli tumuogope nani wakati tayari mungu yuko upande wetu na anatupigania???

Yeyote mwenye kupigania jema na haki kwa wote kwa udhati kabisa bila unafiki wala hatokaa aaibishwe na wanafiki hata mashambulizi yao yaweje chini ya jua!!

mimi naamini mungu atamlinda dr slaa dhidi ya hujuma za mafisadi wa ccm. Wajue kuwa viongozi wa chadema ngazi za juu hadi sisi wa ngazi za chini tuko makini sana.

Mungu ibariki tanzania
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana
ahaha mi nashangaa sana hawa mamluki wamezaliwa mwaka gani maana woooote 2011..Tena JF inapata bad impression these days kwa sababu yao... Huu mwaka mkosi nilitaka kuoa lakini kama wanawake wenyewe ndo hawa basi tena naahirisha.... BY eliesikia

MAK
Join Date : 23rd February 2011

NDUKA
Join Date : 25th February 2011
Posts : 163

KASHAGA
Join Date : 20th January 2011
Location : Soweto
Posts : 286

Ithwa
Join Date : 23rd March 2011
 
Oohh Makamba upo?? Hivi ile ID yako ya Selemani huwa ni ya kutokea au ya kujadilia mambo yenye maudhui ya kidinidini hivi???

Suala la Slaa kukubalika kwa watanzania bado sana, alidhani wingi wa watu mikutanoni ndio kupiga kura na kushinda, watanzania ni werevu sana walimsoma, na wakamuelewa then wakamchinjia baharini. Hivi sasa si unaona anavyo tapa tapa pamoja na wanachama wote including waliomo humu JF?
 
Hapo ndipo washabiki na wapenzi wa CHADEMA huwa wanadhihirisha upeo mdogo wa kufikiri, wao uwezo wao wa kufikiri na kuchambua mambo huishia kwenye urefu wa mkono tu, na si zaidi ya hapo
 
wewe ambae upeo wko unaishia zaid ya mkono mbona ha2kuoni? 2shakuzoea, hu2p presha wla kisukar, unalpw sh ngp per day kuandka v2 vcvyokuwa na kchw wla miguu? Ni hzo tshrt za kampen ndo znakutia wazim mpk leo? Huna jipya na tshrt hakun tn sbr uchaguz ujao!
Hapo ndipo washabiki na wapenzi wa CHADEMA huwa wanadhihirisha upeo mdogo wa kufikiri, wao uwezo wao wa kufikiri na kuchambua mambo huishia kwenye urefu wa mkono tu, na si zaidi ya hapo
 
Suala la Slaa kukubalika kwa watanzania bado sana, alidhani wingi wa watu mikutanoni ndio kupiga kura na kushinda, watanzania ni werevu sana walimsoma, na wakamuelewa then wakamchinjia baharini. Hivi sasa si unaona anavyo tapa tapa pamoja na wanachama wote including waliomo humu JF?
Kati ya CDM na CCM ni nani anae tapa tapa!?
 
Hapo ndipo washabiki na wapenzi wa CHADEMA huwa wanadhihirisha upeo mdogo wa kufikiri, wao uwezo wao wa kufikiri na kuchambua mambo huishia kwenye urefu wa mkono tu, na si zaidi ya hapo

i reserve my comment
 
MUFTI MKUU SIMBA SASA WATANZANIA TUKUELEWEJE KWA UNAFIKI HUU JUU
YA MAANDAMANO KUUNGA MKONO SIASA ZA LIBYA???

Maandamano ya Ndugu zetu Waislamu Tanzania kwa ajili ya UFISADI dhidi ya Wa-Tanzania kwa Mufti Mkuu NI HARAMU lakini pindi wafanyavyo kitu hicho hicho katika mazingira haya haya ya Bongo kwa jina la Nchi ya Kiislamu ya Libya na wakati mwingine kwa ajili ya Wa-Palestina eti kwa Mufti Simba sasa hiyo sasa NI DHAWABU wa Mwenyezi Mungu inawasubiri ahera.

Jamani Wa-Tanzania twende wapi kwa UNAFIKI WA MCHANA MCHANA kwa kiwango kama hiki?? Hivi kama binadamu angelipewa ukuu wake Mwenyezi Mungu japo kwa siku moja tu, kwa mtaji wa unafiki wa kiasi hiki, taifa letu la Tanzania kweli kungebaki mtu mbele ya kiti cha enzi cha nafsi kama ya Mufti Mkuu Simba bin Jumaa huyu kweli??

Kwenye hayo maandamano ya kumunga mkono Dikteta Kanali Qadhaf wa Libya laiti wangeruhusiwa na ghafla tu mtu awatupe katika mtaa mojawapo pale mji wa Benghazi ninayo uhakika haitochukua zaidi ya dakika 20 kabla hawajachinjwa woote na Jambia ya Nguvu ya Umma wa nchi hiyo mithili kuku KWA MTAJI WA UNAFIKI WAO mkubwa hawa.

Mara kesho utawasikia wakiandamania Palestina, mara kutetea Al-Shaabab wa Somali ilmradi tu!! Hivi kweli Shikh Mkuu sijui Mufti si jana tu kawatangazia wenzetu Waislamu wa Tanzania kwamba hakuna ruksa wao kushiriki kwenye maandamano yoyote ya kisiasa; je wana uhakika gani kama mambo ya Libya si ya kisiasa.

Ama kweli Mungu aliye juu ni Mungu Kijana tayari amemdhiri Mufti Mkuu katika hili. Sala ya toba asiisawhau pindi aingiapo Msikitini hasa kwa Ijumaa hii.

Na kwa mtaji wa kitendo chake hiki Wana-JF nawaomba, mbali na elimu ahera ambayo bila shaka huenda ikawa ni mkubwa sana kwa kiongozi huyu Simba, je elimu dunia kwake imesimameje???

Mi nadhani Waislam wa Tanzania wanawapenda Waislam wenzao wa nje ya Tanzania kuliko wao. Wako tayari kuandamana kwa ajili ya Libya lakini siyo kwa ajili ya maisha yao yawe bora!
 
Back
Top Bottom