Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Mimi nadhani siyo waislam wote wenye matatizo dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye si muislam.Ni wale wenye msimamo mkali ndio wenye chockochoko,kwasababu hao hawataki rais awe mkristo,na akipatikana rais ambaye si muislam,basi ni ugomvi,akipatikana ambaye ni muslam,still ni ugomvi kwasababu akikosolewa wanasema ni kwasababu ni muislam.

Ni zamu ya wasilamu ku udenounce ufisadi,whoever habors a fisadi is also a fisadi...Ina maana you are either with mafisadis or you are with wapinga ufisadi,there is no neutrality in this one.
 
Mimi nadhani siyo waislam wote wenye matatizo dhidi ya kiongozi wa nchi ambaye si muislam.Ni wale wenye msimamo mkali ndio wenye chockochoko,kwasababu hao hawataki rais awe mkristo,na akipatikana rais ambaye si muislam,basi ni ugomvi,akipatikana ambaye ni muslam,still ni ugomvi kwasababu akikosolewa wanasema ni kwasababu ni muislam.

Ni zamu ya wasilamu ku udenounce ufisadi,whoever habors a fisadi is also a fisadi...Ina maana you are either with mafisadis or you are with wapinga ufisadi,there is no neutrality in this one.
Mkuu unajua sisi Waislaam sijui yametufika yapi haswa..
Maandamano ya Chadema yalikuwa ya kudai haki ya Watanzania wote kama alivyoahidi rais mwenyewe..Maisha bora kwa kila Mtanzania au sio?

Hali ya nchi kiuchumi imezidi kuwa mbaya sana na pengine JK alikuwa na sababu ya kuhofia maandamano yale hata kama hayakuwa nalengo au maana mbaya. He is the President na anaona nchi ikididimia chini ya uongozi wake..

Lakini waislaam wanapoongozwa na Mufti kupinga maandamano yale ni sawa kabisa na Unafikii kwani kama kweli wao hawataki Padre au mchungaji mbona wanamiminika Loliondo kupata tiba ya babu mchungaji?.
Wasiende basi huko Loliondo au Mufti asimame na kukemea ya babu maana yapo ktk fani yake, lakini hatusikii kitu ila wao wanazidi kutafuta safari za Loliondo,
 
Interesting stuff. Mufti sio mjinga kama mnavyodhani. Kwa elimu yake ya kidini anaujuzi wa juu sana ( na dini inaendana na historia vizuri sana). To say the least, the man is probably on the same level as a field leader in Human Anthropology and history. Did any of you people ever think about the possibility that he knew CHADEMA would respond by putting out a statement. Kuambiwa "kafanye utafiti" ni sawa na kumwambia kiongozi wa BAKWATA kuwa he is talking sh!t and should shut the hell up. Nahapa inatoka wa Katibu Mkuu wa CHADEMA ambae ni ex Padre.lol.. Its just too funny. Slaa played right into CCM's hand. The easiest thing for CCM to do is to alienate CHADEMA from gaining support in the general Islamic population. Mbunge gani wa CHADEMA ataaweza shinda jimbo la Ilala after that? hehehe Its too smart on CCM's part (japokuwa very bad in general and on the part of BAKWATA who are showing more and more that they are the product of Nyerere's efforts to control the muslim population sawa na alivyokataza TV.lol) Chamsingi ni kwamba kauli ya mufti imekosa objectivity (nahisi kwa kusudi) na matokeo yake CHADEMA wamejibu kwa kuongea ukweli but in the process insulting the de jure leader of the Islamic faith in Tanzania (albeit he is a political stooge wa CCM).. CHADEMA just pissed into the wind on this one.
 
Guys lets try to be more realistic on this matter. Maandamano ya chadema tumeona matunda yake leo hi watz wote, sukari imeshuka bei jioni hii nimenunua sukari kwa kilo Tsh. 1600 kutoka sh. 2200 kabla ya maandamano. Mkuu wa nchi ambaye alisema tukubali tanesco walipopandisha bei, leo anawaaigiza kuzishusha bei za nishati zote kwa ujumla. Katetea kwa mara ya kwanza wafanyakazi wasifukuzwe kazi TRL. Inshort anajaribu kuangalia matatizo ya watz ambayo hakuyaona kwa kipindi chote cha kwanza cha uongozi wake.

Hizo zote ni faida ya maandamano ambayo yamewafanya waamuke kwa kujua kuwa kumbe watz sasa sio wale wa zidumu fikra sahihi za wenyekiti wa chama. Mufti mkuu amekosea kwa kulichukulia swala hili kwa ushabiki wa kisiasa bila ya kuangalia matatizo ya watz ambao ndani yake kuna waislamu wengi ambao nao wamenufaika kwa maandamano yaho ambayo yy kama kiongozi wa dini anayapinga kisiasa na itikadi za udini. Akitoka hapo atasema tz kuna siasa za udini pls viongozi wa dini matatizo yanayosabishwa na watawala wetu mbona hayatubagui kuwa huyu ni mwislam basi apate unafuu flani wa maisha labda tofauti na mkristo fulani?

Mbona sijawahi kumsikia Mfuti Shabani bin Simba akiikumbusha serikali juu ya uwajibikaji wake au yeye anaona maisha tunayoishi watz na waislamu kwa ujumla japo Mungu katujalia raslimali za kutosha ni halali yetu.Well done Dr. Slaa kwa tamko lako lililojaa hekima za kiuongozi uliotukuka
 
This has nothing to do with Muslims or Christians because we all go to the same hospitals, use the same roads, eat the same food (mostly..lol) Umeme ndio ule ule... This is an illusion intended to offend Muslims by forcing a reaction from CHADEMA. Religion is an emotional as opposed to logical force, that is why it is so dangerous and thus powerful. Waislamu viongozi wao wakitukanwa inaudhi kama inavyowaudhi wakristo na wayahudi labda buddhist monks tuu ndio wana immunity from this foolishness.. Tanzania mtu akitukaniwa dini yake (or at least perceive it so) anajiskia kama demu wake katiwa dole la jicho na mtu barabarani kwa kusudi...lol Reaction is explosive... Predictably... CHADEMA up ur game...bado sana.
 
tatizo lako ni dogo sana,sikukualika wakati natengua ndoa yangu rasmi mbele ya wachungaji na wala sikukualika wakati nabariki Ndoa yangu mpya mbele ya wachungaji.Ndiyo maana wahenga walisema usilolijua ni kama usiku wa giza.

nakupa ruhusa wa wewe kunena yote unayoyajua,ili nikujifunze zaidi.

Josephine si busara mambo yako na ndoa zako kuleta hapa JF!
 
Acheni kujidanganya.*

Waislam walio wengi wanaliangalia Chadema kwa jicho la ukali sana hivi sasa. Katika miaka miwili iliyopita na hadi sasa Chadema wamekuwa wakifafanya makosa mengi sana kisiasa. Yawezekana yamewawezesha kisiasa kwa hivi sasa lakini sio kwa maslahi ya muda mrefu. Ni vigumu sana hivi sasa kuwaaminisha waislamu walio wengi kuwa harakati za Chadema hazina nia mbaya na Rais Mwislamu.

Lakini pia hii ya Dr Slaa ambaye anaoenekana kama nembo ya nia mbaya hiyo dhidi ya muislam mwenzao kujibizana na Sheikh Mkuu ndio inaharibu kabisa. Hivi maneno yote anayokong'otwa Kikwete na Maaskofu mlimsikia akijibizana nao moja kwa moja? Ama Dr Slaa anatekeleza jukumu lake la Umakamba?


Chadema badala ya kujiuliza ni vipi ya Misri hayatokei bado Tanzania mnapaswa kujiangalia na kujisahihisha mapema ama sivyo mnajizika katika kundi la fringe parties kujumuika na CUF ambao nao walidharau umuhimu wa kujisahihisha walipokuwa na nafasi ya kufanya hivyo.

Kung'ang'ania na santuri ya kuwa Tanzania hakuna udini hakusaidi Chadema wala Tanzania.

Na ninyi wengine mnaokazinia kuwakejeli waislam ama kiongozi wao ndio mnaharibia kabisa safari ya ukombozi wenu.

Labda una hoja lakini umeshindwa kuiilezea vizuri na hivyo kuonekana kama huna hoja yoyote ya maana zaidi ya kuendeleza malumbano ya Kidini! Dr Slaa hakujibishana na Mufti, bali ametoa ufanunuzi kwa Umma nini kinachoperekea Wazee wa kiislam kutoka na matamko ya yaliyo jaa uongo. Kumbuka kuwa Kikwete amewai kutamka zaidi ya mara sita(6) kuwa kuna Udini hapa nchni kabla hata Wazee wakislaam kuanza kubeba bendera ya CCM.

Kitu kinacho niperekea kukuona kama unaleta malumbano ya kidini ni pale unaposema CDM imefanya makosa lakini husemi hayo makosa ni yapi?


Tamko ya Slaa halina kushabihana kwa aina yeyote ile na Matamko ya Makamba, labda kama unaushahidi ulete tuhujadili, Kikwete ndiye aliyejivisha gamba la Udini baada ya kuona kuwa nchni imemshinda kuongoza hasilani. alichofanya ni kutafuta Viongozi wachache wa Kislaam ambao hawafanyi utafiti na kutafuta ukweli kueneza propaganda hizo, lakini ukae ukijua kuwa sio waislaam wote wanakubaliana Bakwata na mawazo ya Mufti, na ndio maana kila wakati hao wazee wanajitokeza kuongea na kuimba huo wimbo wao maana hata wao wanajua mpaka sasa impact ya huo wimbo wao ni mdogo sana, kama Watanzani wakiamua leo hii kukubaliana na huo wimbo wa Kikwete na Wazee wa Kislaam nakwambia sisi Waislaam ndio tutakuwa Looser, hii peke yake inaonyesha kuwa Mufti hafanyi utafiti wowote kabla ya kuongea lolote.

Ukitaka kudanganya watu kuwa Dr Hakupaswa kusema ukweli juu ya hilo jambo ni uongo maana unataka kutwambia kuwa ulita hiyo sumu iendelee kuenea katika jamii bila kupingwa, kama Dr hasinge toa ufafanuzi hata sisi tusinge pata kujadili hapa pia Jamii hisinge weza kupata nafasi ya kujua ukweli juu ya kuropoka kwa Mufti. Nilazima ufafanuzi utolewe kila wakati ambapo itaonekana kuna kikundi cha watu wa chache wanataka kuteketeza jamii kwa sababu ya matumbo yao.
 
Acheni kujidanganya. Waislam walio wengi wanaliangalia Chadema kwa jicho la ukali sana hivi sasa. Katika miaka miwili iliyopita na hadi sasa Chadema wamefanya makosa mengi sana kisiasa. Ni vigumu sana kuwaaminisha waislamu walio wengi hivi sasa kuwa harakati za Chadema hazina nia mbaya na Rais Mwislamu. Lakini pia hii ya Dr Slaa ambaye anaoeekana kama nembo ya nia mbaya hiyo dhidi ya muislam mwenzao kujibizana na Sheikh Mkuu ndio inaharibu kabisa. Hivi maneno yote anayokong'otwa Kikwete na Maaskofu mlimsikia akihibizana nao moja kwa moja? Ama Dr Slaa ana

We Omary nakujua sana na inawezekana wewe ndio mshauri wa Mufti katika hili swala maana hii ni tabia yako lakini tatizo hujaelimika vya kutosha fanya utafiti ujue madhara ya hayo mnayoimba kila siku uone kama wewe utaishi Tanzania kama ubaguzi utaanza hapa Tanzania kumbuka kuwa ubaguzi ukianza wewe siyo Mtanzania kama alivyoambiwa Waziri wa Fedha watu wanakujua hadi kwenu na nchni yako lakini kwasababu hapendi ubaguzi ndio maana wanakuangalia tu

Maan baada ya kubaguwa Wakisto tuaanza kuchambuwa nyie waislaam ambao sio raia na kuwabagua pia
 
Wadau,
Sheikh mkuu alialika waislamu wote na maulamaa wafike msikiti wa Al-farouq kwa ajili ya kujadili hali ya machafuko huko Libya na muenendo wa siasa za Tanzania, Tusimlaumu Mufti kwani hakufanya hayo binafsi. Ni baada ya mkutano huo ndipo akaja na conclusion yake, mkutano huo ulitangazwa saana via Radio kheir kwa kuwaalika wote wafike. Kauli ya mufti isichukuliwe kimzaha, it means something.
Kiuhalisia wa Tanzania ni kwamba...kumetokea tabaka kubwa na linalosambaa kwa kasi isiyozuilika kirahisi (UDINI). Mufti katoa kauli baada ya Pengo kutoa kauli, HEBU TUYAJADILI MATAMKO YAO KIUJUMLA YALILENGA NINI? Mufti vs Kardinali.


Nimekataa hakuna udini Tanzania. Thibitisha

Halafu unasema, ametoa kauli baadaa ya Pengo... ina maana kwamba kama Pengo asingeongea, mufti asingetoa kauli? kama ndivyo udini huo ni wa kutngenezwa, haupo.
 
Nimekubali J.K Ni Mkareeeeeeeeeeeeeeeee!! Kwani akiona anashindwa anachochea udini.
sasa kashawishi udini hadi Sheikh mkuu kamsikiliza, sasa kamsemea Dr. Slaa kwa Mkuu Na Dr. Slaa Kaingia Choo cha Kike kilainiiiii japo ****** alijua slaa ni mjanja ila ndege mjanja hunaswa kwa Tundu bovu..

Hiyo Kumjibu Sheikh Mkuu ni kosa Kubwa ambalo hato lisahau maishani mwake kwani jumuiya ya kiislam itaona kama imetukanwa ni kheri kuikosoa CCM Kuliko uislam kwa hili Slaa anaweza kushtakiwa kwa jumuia kote duniani.

kila aina ya neno baya kumchochea achukiwe na waislam wote mie namshauri amuombe tu msamaha sheikh ndio kiasi inaweza kuwa salama yake Kidogoooooooo... ila avumilie maneno mengine ikiwemo laana. japo alaanie nae hulaaniwa, hata kama hatoliona kosa lake.

Jumuiya Ya kiislam haita jali anatetea haki na usawa wala nini kosa ni kumsema mkuu hajatumia utafiti kama nilivyonukuu Pole zake... Hongera j.k kwa kufadhiri uchochezi wa udini japo na upande wa pili hautaafiki nchi haita kalika hii utaufanya U.N Ije kulinda amani.....

Poleni Watanzania Nchi ****** kesha ishindwa anaona bora tukose wote ... Damu ikimwagika ipo juu yako. Utacukiwa hadi na vizazi vyako rekebisha hilo mapema j.k.


Why Afrika Naipenda Afrika Mungu Ibariki Tanzania ... Wacha nianze Kuitafuta Passport Yangu... Niende Kwetu SheliSheli....


PEMBE NA NG'OMBE HALIFICHIKI!
 
kwa hiyo mkiambiwa mle ma**I mtakula kwa sababu mkubwa wenu kasema/?
 
JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 14th November 2010
Posts : 2,110
Thanks 100 Thanked 402 Times in 248 Posts

Rep Power : 25


icon1.png
Re: CUF -- kwa nini siku hizi mnafanya mikutano yenu vichochoroni?


quote_icon.png
Originally Posted by only83
Nikikuwa nachat na Mtatiro kupitia facebook,jamaa kachoka yani kapotea njia lakini jinsi ya kurudi anashindwa anaona aibu.....wale wakristo mnamkumbuka farisayo Nicodem aliyekwenda usiku kumuuliza maswali Yesu maana aliogopa macho ya watu mchana...Mtatiro ashauriwe jamani.Hope wapo hapa wanaJF waliosoma nae pale UDSM anaweza kuwasikiliza.......................

WABUNGE NA VYAMA VINAVYOTAMANI KUHESABIWA UMAKINI TANZANIA:
TAFUTENI HARAKA ELIMU SAHIHI JUU YA MAANA, CHANGAMOTO NA USHIRIKI WA MAFANIKIO NDANI YA MFUMO MPYA WA 'SIASA ZA USHINDANI' ILI MUENDELEE KUMUDUU NA KUDUMU

Ingawaje mwenye kutundika thread hii katusababishia wengi kucheka mbavu kuuma lakini baada ya kicheko ni wazi kwamba kuna mambo mengi sana ambayo watu na vyama, kama washiriki, kwa bahati mbaya hawajagundua kwamba tayari yamebadilika kabisa na kamwe hayatokaa yarudi kuwa kama zamani kisiasa nchini.

Kweli ni masikitiko makubwa sana kwamba watu wengine hufikiria kwamba mtu unaweza tu ukaingia kwa jambo lililoitwa 'jipya' lakini bado ukatumia tu mbinu zile zile, lugha zile zile, na kashfa zile zile na bado ukaendelea tu kufanikiwa; laa hasa!! Pindi usikiapo kuna mabadiliko, kwa wale watu wadadisi wa mambo, ni sharti utafute kujua ya kwamba (1) ni kitu gani hasa kilichobadilika, (2) kivipi kimebadilika, (3) kwa sababu zipi, (4) na huko nyuma hali ilikuaje na sasa yakoje, (5) je mimi mwenyewe naendana na au siendani na mfumo huo mpya kwa kiasi gani hasa, (6) nifanye jitihada zipi (si kwenda Mlingotini) zinazokubalika ili niendane na mfumo mpya kwa namna ambavyo nitapata uhakika wa kung'ara KIUTENDAJI (si ki-ndumba) ndani na nje ya chama changu kusudi nisiwe mzigo wa chama na wapiga kura wala kulazimika kupanda BP kila wakati ...

... na maswali kama hayo yafanyiwekazi KIUHAKIKA NA UNYENYEKEVU zaidi wa kutafuta kule upya wa KUJIVUA GAMBA LA ZAMANI kwa wakati mwafaka na kujivisha GAMBA MPYA NA INAYOKUBALIANA NA MAZINGIRA YALIOPO na kwa mtindo utakaompendeza zaidi yule bosi na au mlaji wako wa mwisho ambaye ni MHESHIMIWA MPIGA KURA.

Bila kufanya hivo basi niwaambieni HABARI MBAYA SANA kwamba kwa kipindi cha miaka michache ijayo, kwa tafsiri yangu ya mambo kitaaluma, bunge letu huenda ikabahatika kupata ugeni mkubwa wa Wabunge Vijana zaidi, Wasomi zaidi, na hata wakawashangaza zaidi wazee kwa kushinda kwao Uchaguzi kiurahisi zaidi bila hata kuhitaji utajiri mkubwa wa kuhonga mtu alimradi mtu huyu aje asome ninayoyaandika humu, akayafanyia HOMEWORK ya kufa mtu ndani ya miaka miwili mitatu hivi na kisha anapojitokeza ulingoni atakuta anazungumza lugha inayooana zaidi na mazingira yaliopo, akawa anazungumza na baadaye kushughulikia zaidi matatizo hasa yanaokubaliana fika na matarajio ya mabosi wake; waheshimiwa wapiga kura.

Nirudie kwamba kwa sasa hivi ni rahisi mno kwa mtu anayejua dhana ya SIASA ZA USHINDANI unaotegemea nguvu za idadi na U-smart wa watu wanaojitokeza kugombea ukilinganisha na kuendana kwao na mahitaji halisi ya wakati uliopo wa mlaji wa mwisho wa HUDUMA ZA KIUONGOZI anazotarajia kutoa akishinda.

Ndio nasema kwamba wapo wanasiasa wengi ambao bado huendesha mambo yao kisiasa lakini kwa kutumia fikra na mbinu za zamani katika kipindi ambacho ni tofauti kabisa. Huko nyuma siasa za fitina, majungu, kuunda zengwe, kupiga domo na kumwaga hewa tupu, kununua vyeo na wapiga kura, mtoto kurithiswa chama cha siasa cha kufuata, kurithishana uongozi na mambo kama hayo yote yalihesabiwa kuwa ndio ujanja zaidi mtu kuitwa mwanasiasa mahiri. Hii hali inaelezea hasa kwa nini Tanzania tumejitawala wenyewe karibia miaka 50 na mambo bado ni ki-mishen tauni tu toka ngazi ya kata hadi ofisi inayostahili heshima ya hali ya juu inayoitwa ikulu nchini. Ajabu kote huko kumebakia woga tu na wala si heshma kwao.

Kwa wale ambao walau tumewahi japo hata kusikia kitu 'MFUMO WA SIASA ZA USHINDANI' napenda niseme kwamba hii ni sayari nyingine kabisa ambayo pale bungeni kwetu Dodoma, kama sikosei, zaidi ya ile dadi kubwa ya wabunge karibia 400 huenda chini ya asilimia 10% tu ndio wanaoifahamu kwamba ni kitu gani hasa hiki. Lakini kwa kuwa siku zote wanasiasa huhesabika kuwa ni watu mashuhuri kwa kujua kila kitu (MR / MS I-KNOW-ALLS) naona nafasi ni finyu sana kwa wale wengine zaidi ya 360 kuhiari walau kujishusha na kwenda kutafuta elimu juu ya hili ili uwepo wao bungeni uendelee kuwa na uhakika pamoja na tija kwa jamii kutokana na yeye mwenyewe na au chama chake kama kundi zima.

Guys, an imagination of a possible political landscape without CUF around just but most ungratifying to witness.

The case would never be the same as it would apply to TLPs, NCCR-Mageuzis and the UDPs of this World that has practically been consigned into political Limbo courtesy of the prominently trenched Self-Seeking behaviour, The Politics of Double-Tongue lashing and Own Course Self-Agrandisement by many in their ranks.

Niliposema kwamba Juliasi yule wa DARUSO enzi zile wala si huyu hapa na kwamba kwa bahati mbaya mno akina Maalim Seif wamemfichia mi-faili nyeti zenye kuonyesha (1) sura halisi ya CUF, (2) Malengo ndani ya sera yao mpya ya 'Kujiunga Muafaka na Nguruwe Kuchakaza shamba Mabua yote' na hatima yake.

Ndio, na wamemficha pia Juliasi faili iliobeba (3) tafsiri za wananchi Bara na Visiwani kama kweli walichokua wanakitafuta CUF ilikuani UTULIVU tu Zanzibar au AMANI KAMILI kwa kurejesha kwanza HAKI NA MASLAHI KWA UMMA wa nchi hii.

Si utani na mikutano ya wenzetu inapoondoka Kidongo Chekundu pale kweupe Mnazi Mmoja hadi kule mitaa ya Mwisho wa Lami Gongolamboto, Mtoni kwa Azizi Ali Mara Manzese Kwa Bibi Mfuga Nyau ... kweli hii ni a Big Change in the Wrong Direction; yes it is a most demoralising experience and transition that bothe CUF are currently walking dow the political memory valleys kwa kupingana tu na Maslahi ya Wapigakura nchini.

In fact, a more compelling question that analysts would soon surrender to evader no more is that 'of what use is an army commander if all foot soldiers are long-gone?' I just tend to hope that the NOW apparent CUF Career Presidential Candidates Hon Maalim Seif Sharrif Hamad (Visiwani) and Prof Ibrahim Haruna Lipumba will, at least, seek an escape to some remote hotels may be around Uluguru Mountains and conduct a most sincere Worst-Scenario Self-Evaluation.

Yes, they would certainly need to do that long before they could similarly seek an independent expert hand to equally do the same to the very CUF as a party and ultimately hand down the CUF Secret Files stored far away in Chake Chake - Pemba to Juliasi Mtatiro and other remnant youths to help chat out a possible next course of action - either to Revive or Survive their own way and a lot sooner the better!!

To this end, I just DON'T see myself leaving out CHADEMA for a more freequent (4-Month Periodical Independent & Credible) monitoring and evaluation about their yesterdays, todays and tomorrows. Waberoya, Mwanakijiji and myself can most competetly string them to this own-face behind the mirror scene for a more re-assuring future.

And this is where all political parties, just like any other business establishment known around, are bound to most willingly go or never!! The market-based COMPETITIVE POLITICS that we tirelessly seek to live to-date (Democratic Multipartism) is just but more dynamic, most enveloping and so demand both at group and personal levels such that a POLITICAL HERO / HEROES of yesterday is NEVER guaranteed tomorrow unless they 24 / 7 choose to obay Philip Kotler's dictates to keep their eyes to the ground to catch the most correct scale of the electorates' next-day heartbeats and seek to serve them in the best way possible on TIME and in a WAY that a competitor (another political Party or an opponent within your party or across) would never far easily pick a match.

In a nutshell, after luoghing of my friend Julious Mtatiro's most impending political misfortunes, like is lately the case with CCM, with his political party CUF that daily diminishing in value in the eyes of the HONOURABLE ELECTORATES, may I point here that the Political Landscape is fast-adjusting with youth on the steerwheels, things turning high-tech almost in a speed of a click of a computer mouse away such that the yerteryears inherently incompetence and majungu / fitina in political arena shall soon NEVER be tolerated BUT only practical positive results in public goods to the general public that shal be mattering and not even a mere name of a political party of the neighbours shall ever count.

Wazee, huku ndiko tunakokwenda; hakuna watu kulala tena bungeni na kujigeuza wataalam wa kuzungusha maneno badala ya matunda kuonekana. Huko katika ulimwengu ulioendelea utasikia pengine chama chake Obama kimeshinda kwa wingi leo na keshokutwa kwenye Mid-term elections ukasikia wamepigwa chini zaidi ya nusu na Waheshimiwa Wapiga kura kwa kutoridhisha kiutendaji.

Nasema na ieleweke kwamba ule utamaduni wa 'HIKI NI CHAMA CHANGU NA FAMILIA YETU NZIMA tangu enzi za babu hivyo sitoweza kukihama' itakuja kutoweka bila hata ya wengi wetu kujua. Hatutopigia kura tena (1) SURA za watu, (2) MAJINA YA VYAMA bali tu (3) kwa kiasi Gani Wametuletea sisi Wapiga Kura Matunda tuliokua tukiyatarajia.

Hizo ndizo misingi halisi za siasa za ushindani huko tunakoelekea ambapo VIJANA WENGI NA WASOMI nchini ndio idadi yao inaendelea kuwa kubwa nchini. Hivyo kitendo cha Chama kubahatika kupewa ka-nafasi ya kuongoza na kisitumie vizuri KUJING'ARISHA mbele ya macho ya wapiga kura; badala yake kikajiroga kwenye kujiingiza kwenye Vitendo vya Kifisadi, basi siku kikipoteza nafasi hiyo ujue fika chama hicho kitatiwa LOCK-UP na wapiga kura kwa muda usiojulikana sawa yake KANU wa Kenya ambacho hivi leo kisiasa wala hakizungumzwi hata kwenye nafasi ya nne ki-umaarufu.

Na atakayesoma maoni haya ampitishie na kiongozi wake wa chama chake, kata, wodi, jimbo na taifa ili tukija kuwatia LOCK-UP kwa uwezo wa kura zetu wasije wakasingizia hawakuelewa kama sheria za mchezo wa siasa za ushindani ni tofauti kiasi hicho.

Mwisho nimalizie kwa kusema kwamba enyi mlioko madarakani ambao bado ndio mnaoonekana wakubwa kwa sisi Wapiga kura, malizieni salama utamu huo kwa vile wengi wetu hawajaeleweshwa; tangu hapo 2015 na kuendelea MPIGA KURA NDIYE ATAKAYEGEUKA MFALME kwa kipindi chote na wala si kwa wakati wa wiki 2 au 3 za uchaguzi tu.

Chukua hatua ewe unayefikiria kuja kua kiongozi wa ngazi yoyote hapo baadaye kidogo ili usije ukafa bure na shinikizo la damu kwenye mfumo mpya wa siasa ndani ya mipaka yetu!!
 
Huu ni ujinga mtupu na tena ni mawazo finyu. !!!
 
kwani huyo Sheikh Mkuu kasema nini na slaa kamjibu nini?
Sheikh Mkuu Kasema hivi...
SHEHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Shaaban bin Simba, amewataka Waislamu wote nchini kutoshiriki katika maandamano ya wanasiasa yanaoendelea nchini kwa vile yanalenga kuleta uvunjifu wa amani.

Mufti Simba ametoa agizo hilo alipozungumza na Baraza la Maulamaa lililowashirikisha mashehe na maimamu mbalimbali wa Tanzania katika Msikiti wa Farouk uliopo katika Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata), Kinondoni jijini Dar es Salaam.


Amewataka waumini hao wa Kiislamu kuvunja ukimya katika mambo mbalimbali yanayojitokeza nchini hususani yanayohusu mustakabali wa Taifa, na kuwataka mashehe na maimamu wa misikiti yote nchini kuwaasa waumini wa dini hiyo kuyapinga maandamano hayo kwa njia ya kistaabu ili amani idumishwe.


Bila kutaja chama au wanasiasa wanaoendesha maandamano hayo, Mufti Simba amesema , kimantiki maandamano hayo si halali kwa kuwa yanaonesha waziwazi kudhoofisha nguvu za Rais aliyepo madarakani katika utekelezaji wa majukumu yake.


"Sisemi ni wanasiasa wa wapi wanaochochea maandamano hayo kwa kuwa kila mmoja anajionea mwenyewe, wao badala ya kutetea amani wanageuka na kuwa wavurugaji wakubwa wa amani," amesema Mufti Simba leo.


Aidha, amesema, hivi sasa Rais Jakaya Kikwete anaandamwa kutokana na imani ya dini yake huku waumini na viongozi wa Kiislamu wakibaki kimya bila ya kuyazungumzia masuala yanayojitokeza likiwemo hilo.


Amesema, tofauti na uongozi wa marais wanaokuwa na imani ya Kiislamu, marais wanaokuwa na imani ya Kikristo huwa hawaandamwi kiasi hicho na hivyo kuleta tafsiri kuwa imani ya dini ndiyo chanzo cha yote yanayofanywa rais aandamwe.


"Misikiti iungurume na wala isikae kimya, ukimya ufe na yalaani mabaya yote hayo pamoja na dini ya Kiislamu kufanywa tabaka la chini, tuamke na tushikamane kwa pamoja" alisema Mufti Simba.


Amelaani mashambulizi ya baadhi ya Magharibi dhidi Libya, akisema kinaonesha ile ni vita dhidi ya Uislamu na siyo vinginevyo kwa kuwa ni kawaida ya nchi ya Marekani kuziandama nchi zenye Waislamu.


Kuhusu Mahakama ya Kadhi, ameiomba Serikali kuharakisha mchakato wa uanzishwaji wake kwa kuwa ni moja ya nguzo muhimu ndani ya dini hiyo huku pia akiwataka maaskofu kuacha kuingilia kati suala hilo.


Ameshangazwa kuona Waislamu wanapotaka kufanyiwa jambo lolote kunajitokeza ugumu kulitekeleza tofauti na dini nyingine, jambo alilosema halipaswi kufanywa hivyo kwa kuwa ‘wote ni watoto wa baba mmoja.'


Na Dr.Slaa Kasema Hivi..

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa amewataka viongozi wa dini nchini kufanya utafiti kabla ya kutoa matamko yao katika vyombo vya habari.Kauli hiyo ya Dk Slaa imekuja siku moja baada ya Sheikh Mkuu wa Tanzania , Mufti Issa bin Shaaban Simba kukishutumu chama hicho kwamba maandamano yake kinayofanya hivi sasa yana lengo la kuvuruga amani ya nchi.

Katibu Mkuu huyo wa Chadema alisema ameshangazwa na kauli iliyotolewa na Mufti Simba kuwa chama chake kina lengo la kuvuruga amani nchini."Nimeshangazwa sana na kauli ya Sheikh Mkuu, Mufti Simba aliyoitoa kwa vyombo vya habari.
Kimsingi kama alitaka kujua undani wa maandamano yetu angetuuliza kuliko kutoa tamko bila kujua hata undani wa Chadema," alisema na kuongeza kuwa baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakitoa tamko bila ya kufanyia utafiti jambo ambalo linawafanya watoe maelezo yasiyo na ukweli na yanayolenga kuwapotosha na kuchochea chuki kwa wafuasi wake.Dk Slaa alisema Chadema inajua inachokifanya, hivyo kama mtu anahitaji kujua madhumuni ya maandamano yao ni vyema akawauliza ili


kitoe ufafanuzi kwa kuwa kila jambo liko wazi kwa maslahi ya wananchi wenyewe."Sioni haja ya kulumbana na kujibizana kila kukicha kupitia vyombo vya habari. Kama wana hoja ya msingi wailete sisi tutaijibu kwa hoja siyo kuongea mambo kwa mtazamo na propaganda za kisiasa. Unapozungumza ni lazima kuwe na utaratibu wa kutafiti unachokizungumza," alisema Dk Slaa.

Aliwataka viongozi wa dini kuhudhuria mikutano ya chama hicho ili kusikia na kujua kinachozungumzwa na Chadema kuliko kusubiri kusimuliwa na watu na kisha kuyaamini maneno yao.Alisema amelazimika kumjibu Mufti Simba kwa kuwa amesikitishwa na kauli hiyo ambayo alisema badala ya kuwasaidia Watanzania, inachochea chuki na kuruhusu ufisadi kuendelea.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam juzi, Mufti Simba alisema: "Wanasiasa wanataka kuivuruga nchi kwa visingizio kuwa wanataka kuilinda amani, hivyo Waislamu tumeamua kuvunja ukimya uliodumu kwa muda mrefu na kuamua kukekemea vitendo hivyo."Mjadala wa uhalali wa mikutano na maandamano ya Chadema uliibuliwa na Rais Jakaya Kikwete alipolihutubia taifa kupitia redio na televisheni mwishoni mwa Februari kwamba chama hicho cha upinzani kina lengo la kuleta machafuko nchini.

Kauli hiyo ilifuatiwa na onyo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira kuwa Chadema kisije kuilaumu Serikali itakapokosa uvumilivu na kuanza kutumia dola kukishughulikia.Wakatihuo huo; Dk Slaa amesema ziara zinazofanywa na Rais Jakaya Kikwete katika wizara mbalimbali ni matunda ya maandamano ya chama hicho katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Alisema Serikali imeanza kutekeleza madai mengi ambayo Chadema ilitaka iyafanyie kazi ndani ya siku tisa. Hata hivyo, alisema chama hicho kitaendelea kutia shinikizo hadi mambo yote yatakapokamilishwa."Hayo ni matunda ya maandamano yetu japo utekelezaji wake hauridhishi kwa kiwango tulichotaka.

Lakini imedhihirika kwamba mambo hayo yanaweza kupatiwa ufumbuzi. Inashangaza kuona wengine wanayaita maandamano kuwa ni ya kuvuruga amani," alisema.Alisema kuwa matunda mengine ya maandamano ya Chadema yaliyofanyika mkoani Mwanza ni tamko la Rais la kupunguza bei ya sukari kutoka Sh2,200 hadi Sh1,700.Rais Jakaya Kikwete anatembelea wizara mbalimbali kukagua utekelezaji wa maagizo ya yake.
 
kama mufti ametoa maoni kama mtanzania nitakubaliana naye, hapaswi kutumia taasisi ya kidini kutoa maoni ambayo hayana msingi wowote, hivi sasa Bakwata imepoteza muelekeo ndiyo maana haikubaliki na waisalamu anachopaswa kufanya mufti aache kuitumia taasisi hiyo kisiasa na elenge kwenye kuiboresha Bakwata ili irudishe hadhi yake kama ilipokuwa chini mufti Hemedi Bin Jumaa (mungu amrehemu), CCM ndiyo itakayo tuletea vurugu, umasikini uliokithiri, rushwa, kukosekana huduma muhimu za jamii huku wachache wakifaidi matunda ya Taifa letu hayo ndiyo yatakayo tuletea vurugu, kiongozi wa kidini anapaswa kuwa mkweli na muwazi kama ameshindwa na Bakwata ataweza siasa?
 
Kwa hiyo neno viongozi wa dini linamhusu shehe mkuu peke yake? What happen iwapo Dr slaa atakuambia alikuwa anatoa conclusion baada ya kusikiliza matamko ya viongozi mbalimbali wa dini kuanzia tukio la Arusha? Hapo si utakuja na hoja nyepesi kuwa kwa nini alisema hivyo baada ya Mufti kutoa tamko?
 
Sheikh Mkuu Kasema hivi...
SHEHE Mkuu wa Tanzania, Mufti Shaaban bin Simba, amewataka Waislamu wote nchini kutoshiriki katika maandamano ya wanasiasa yanaoendelea nchini kwa vile yanalenga kuleta uvunjifu wa amani.

Mufti Simba ametoa agizo hilo alipozungumza na Baraza la Maulamaa lililowashirikisha mashehe na maimamu mbalimbali wa Tanzania katika Msikiti wa Farouk uliopo katika Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (Bakwata), Kinondoni jijini Dar es Salaam.


Amewataka waumini hao wa Kiislamu kuvunja ukimya katika mambo mbalimbali yanayojitokeza nchini hususani yanayohusu mustakabali wa Taifa, na kuwataka mashehe na maimamu wa misikiti yote nchini kuwaasa waumini wa dini hiyo kuyapinga maandamano hayo kwa njia ya kistaabu ili amani idumishwe.


Bila kutaja chama au wanasiasa wanaoendesha maandamano hayo, Mufti Simba amesema , kimantiki maandamano hayo si halali kwa kuwa yanaonesha waziwazi kudhoofisha nguvu za Rais aliyepo madarakani katika utekelezaji wa majukumu yake.


Sisemi ni wanasiasa wa wapi wanaochochea maandamano hayo kwa kuwa kila mmoja anajionea mwenyewe, wao badala ya kutetea amani wanageuka na kuwa wavurugaji wakubwa wa amani, amesema Mufti Simba leo.


Aidha, amesema, hivi sasa Rais Jakaya Kikwete anaandamwa kutokana na imani ya dini yake huku waumini na viongozi wa Kiislamu wakibaki kimya bila ya kuyazungumzia masuala yanayojitokeza likiwemo hilo.


Amesema, tofauti na uongozi wa marais wanaokuwa na imani ya Kiislamu, marais wanaokuwa na imani ya Kikristo huwa hawaandamwi kiasi hicho na hivyo kuleta tafsiri kuwa imani ya dini ndiyo chanzo cha yote yanayofanywa rais aandamwe.


Misikiti iungurume na wala isikae kimya, ukimya ufe na yalaani mabaya yote hayo pamoja na dini ya Kiislamu kufanywa tabaka la chini, tuamke na tushikamane kwa pamoja alisema Mufti Simba.


Amelaani mashambulizi ya baadhi ya Magharibi dhidi Libya, akisema kinaonesha ile ni vita dhidi ya Uislamu na siyo vinginevyo kwa kuwa ni kawaida ya nchi ya Marekani kuziandama nchi zenye Waislamu.


Kuhusu Mahakama ya Kadhi, ameiomba Serikali kuharakisha mchakato wa uanzishwaji wake kwa kuwa ni moja ya nguzo muhimu ndani ya dini hiyo huku pia akiwataka maaskofu kuacha kuingilia kati suala hilo.


Ameshangazwa kuona Waislamu wanapotaka kufanyiwa jambo lolote kunajitokeza ugumu kulitekeleza tofauti na dini nyingine, jambo alilosema halipaswi kufanywa hivyo kwa kuwa wote ni watoto wa baba mmoja.


Na Dr.Slaa Kasema Hivi..

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willbroad Slaa amewataka viongozi wa dini nchini kufanya utafiti kabla ya kutoa matamko yao katika vyombo vya habari.Kauli hiyo ya Dk Slaa imekuja siku moja baada ya Sheikh Mkuu wa Tanzania , Mufti Issa bin Shaaban Simba kukishutumu chama hicho kwamba maandamano yake kinayofanya hivi sasa yana lengo la kuvuruga amani ya nchi.

Katibu Mkuu huyo wa Chadema alisema ameshangazwa na kauli iliyotolewa na Mufti Simba kuwa chama chake kina lengo la kuvuruga amani nchini.Nimeshangazwa sana na kauli ya Sheikh Mkuu, Mufti Simba aliyoitoa kwa vyombo vya habari.
Kimsingi kama alitaka kujua undani wa maandamano yetu angetuuliza kuliko kutoa tamko bila kujua hata undani wa Chadema, alisema na kuongeza kuwa baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wakitoa tamko bila ya kufanyia utafiti jambo ambalo linawafanya watoe maelezo yasiyo na ukweli na yanayolenga kuwapotosha na kuchochea chuki kwa wafuasi wake.Dk Slaa alisema Chadema inajua inachokifanya, hivyo kama mtu anahitaji kujua madhumuni ya maandamano yao ni vyema akawauliza ili


kitoe ufafanuzi kwa kuwa kila jambo liko wazi kwa maslahi ya wananchi wenyewe.Sioni haja ya kulumbana na kujibizana kila kukicha kupitia vyombo vya habari. Kama wana hoja ya msingi wailete sisi tutaijibu kwa hoja siyo kuongea mambo kwa mtazamo na propaganda za kisiasa. Unapozungumza ni lazima kuwe na utaratibu wa kutafiti unachokizungumza, alisema Dk Slaa.

Aliwataka viongozi wa dini kuhudhuria mikutano ya chama hicho ili kusikia na kujua kinachozungumzwa na Chadema kuliko kusubiri kusimuliwa na watu na kisha kuyaamini maneno yao.Alisema amelazimika kumjibu Mufti Simba kwa kuwa amesikitishwa na kauli hiyo ambayo alisema badala ya kuwasaidia Watanzania, inachochea chuki na kuruhusu ufisadi kuendelea.

Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam juzi, Mufti Simba alisema: Wanasiasa wanataka kuivuruga nchi kwa visingizio kuwa wanataka kuilinda amani, hivyo Waislamu tumeamua kuvunja ukimya uliodumu kwa muda mrefu na kuamua kukekemea vitendo hivyo.Mjadala wa uhalali wa mikutano na maandamano ya Chadema uliibuliwa na Rais Jakaya Kikwete alipolihutubia taifa kupitia redio na televisheni mwishoni mwa Februari kwamba chama hicho cha upinzani kina lengo la kuleta machafuko nchini.

Kauli hiyo ilifuatiwa na onyo kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Steven Wassira kuwa Chadema kisije kuilaumu Serikali itakapokosa uvumilivu na kuanza kutumia dola kukishughulikia.Wakatihuo huo; Dk Slaa amesema ziara zinazofanywa na Rais Jakaya Kikwete katika wizara mbalimbali ni matunda ya maandamano ya chama hicho katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Alisema Serikali imeanza kutekeleza madai mengi ambayo Chadema ilitaka iyafanyie kazi ndani ya siku tisa. Hata hivyo, alisema chama hicho kitaendelea kutia shinikizo hadi mambo yote yatakapokamilishwa.Hayo ni matunda ya maandamano yetu japo utekelezaji wake hauridhishi kwa kiwango tulichotaka.

Lakini imedhihirika kwamba mambo hayo yanaweza kupatiwa ufumbuzi. Inashangaza kuona wengine wanayaita maandamano kuwa ni ya kuvuruga amani, alisema.Alisema kuwa matunda mengine ya maandamano ya Chadema yaliyofanyika mkoani Mwanza ni tamko la Rais la kupunguza bei ya sukari kutoka Sh2,200 hadi Sh1,700.Rais Jakaya Kikwete anatembelea wizara mbalimbali kukagua utekelezaji wa maagizo ya yake.
Nashukuru hapa sasa na mie nimeelewa
 
Nimekubali J.K Ni Mkareeeeeeeeeeeeeeeee!! Kwani akiona anashindwa anachochea udini.
sasa kashawishi udini hadi Sheikh mkuu kamsikiliza, sasa kamsemea Dr. Slaa kwa Mkuu Na Dr. Slaa Kaingia Choo cha Kike kilainiiiii japo ****** alijua slaa ni mjanja ila ndege mjanja hunaswa kwa Tundu bovu..

Hiyo Kumjibu Sheikh Mkuu ni kosa Kubwa ambalo hato lisahau maishani mwake kwani jumuiya ya kiislam itaona kama imetukanwa ni kheri kuikosoa CCM Kuliko uislam kwa hili Slaa anaweza kushtakiwa kwa jumuia kote duniani.

kila aina ya neno baya kumchochea achukiwe na waislam wote mie namshauri amuombe tu msamaha sheikh ndio kiasi inaweza kuwa salama yake Kidogoooooooo... ila avumilie maneno mengine ikiwemo laana. japo alaanie nae hulaaniwa, hata kama hatoliona kosa lake.

Jumuiya Ya kiislam haita jali anatetea haki na usawa wala nini kosa ni kumsema mkuu hajatumia utafiti kama nilivyonukuu Pole zake... Hongera j.k kwa kufadhiri uchochezi wa udini japo na upande wa pili hautaafiki nchi haita kalika hii utaufanya U.N Ije kulinda amani.....

Poleni Watanzania Nchi ****** kesha ishindwa anaona bora tukose wote ... Damu ikimwagika ipo juu yako. Utacukiwa hadi na vizazi vyako rekebisha hilo mapema j.k.


Why Afrika Naipenda Afrika Mungu Ibariki Tanzania ... Wacha nianze Kuitafuta Passport Yangu... Niende Kwetu SheliSheli....


PEMBE NA NG'OMBE HALIFICHIKI!

Dr Slaa kaingia mkenge gani? Amemwambia kabla ya kuongea awe anafanya utafiti kwanza sasa kosa liko wapi? Kwani Shehe mkuu ni nani mpaka asijibiwe? Kikwete kushindwa kuongoza nchi isihusishwe na uislamu na kwamba huyo Shehe anatakiwa ajue maisha magumu yanawakabili watanzania wote wakiwemo na waumini wake. Kutumiwa na kufaidi kwake ufisadi wa Kikwete usimfanye asahau maisha magumu ya watanzania yanayosababishwa kwa makusudi na CCM
 
Dr Slaa kaingia mkenge gani? Amemwambia kabla ya kuongea awe anafanya utafiti kwanza sasa kosa liko wapi? Kwani Shehe mkuu ni nani mpaka asijibiwe? Kikwete kushindwa kuongoza nchi isihusishwe na uislamu na kwamba huyo Shehe anatakiwa ajue maisha magumu yanawakabili watanzania wote wakiwemo na waumini wake. Kutumiwa na kufaidi kwake ufisadi wa Kikwete usimfanye asahau maisha magumu ya watanzania yanayosababishwa kwa makusudi na CCM

Baada ya kula na kusaza ubwabwa ndiyo anaibuka na kauli hiyo. Kama ni viongozi wa dini safari hii tunao.
 
Back
Top Bottom