Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Suala la Slaa kukubalika kwa watanzania bado sana, alidhani wingi wa watu mikutanoni ndio kupiga kura na kushinda, watanzania ni werevu sana walimsoma, na wakamuelewa then wakamchinjia baharini. Hivi sasa si unaona anavyo tapa tapa pamoja na wanachama wote including waliomo humu JF?

Wewe sio Geniousbrain, bali ni igneousbrain.
 
Mkuu Waislaam wengi sana wanamjua Mufti kama ni zuga hana maana hata kidogo..Dhulmati, mwizi Kauza mali zao kiholela pIa ni kada wa CCM wakati wengi wanaharakati wake wako CUF..

Pili waislaam wenye kufahamu historia na ukweli wanajua fila kwamba walioiua Jumuiya ya Waislaam Afrika Mashariki ni Waislaam wenyewe kina Shhaban Nasibu wakidai chombo kile kilikuwa cha wahindi na walitaka chao..

Na jumuiya huyo ilizuiwa kufanya kazi mikoa ya Tanga, Bukoba, na Pwani mapema kabla ya kusimamishwa.. huduma zake kitaifa na kuundwa Bakwata.

Hivyo Bakwata ni chombo tulichokiomba sisi wenyewe na tukaundiwa na serikali kama mnavyoombq mahakama ya Kadhi leo. Kesho ikishindwa kuwakilisha Waislaam mtasema ni njama za kanisa au kiongozi fulani mkristu.

Kwahiyo mkuu wangi, sisi Waislaam wenyewe tumekuwa wazito sana kukemea madudu hasa yanapofanywa na Muislaam kwa viingizio vya imani ya dini wakati tunajua fika kwamba wahusika don't give a damn..wanaliogopa kanisa kuliko Masheikh, Bakwara au Mufti kwa sababu kama hizi..

Serikali remote controls Bakwata na viongozi wake kwa kubofya tu, tofauti na kanisa ambao serikali imeshindwa kuwaweka mfukoni ila yenyewe ndio imebanwa..

Naweza kukubali kwamba CCM wamemtumia Mufti wakijua ati Chadema wata respond na maadam hawana kiongozi wa juu Muislaam zaidi ya Zitto basi nila shaka atajibu Mkristu..

Mkuu wangu huoni kama hizi ni siasa za maji taka? Siasa za chuki na dhambi kubwa kwa Mufri na aibop kwa Uislaam kutumika ktk siasa chafu? hata hivyo,Mungu ni mjuzi kuliko sote, mwisho wa siku itakula kwao CCM kwa matumizi mabaya ya dini na Unafiki wa Mufti.. Amini maneno yangu.

Lakini pamoja na hayo kuigawa nchi kwa makundi ya dini haiwezi kuwa ushindi kwa CCM kwa sababu ni majimbo machache sana waishiyo waislaam wafuasi wa Bakwata, hasa hasa ni mijini hivyo CCM wanaweza kuchukua Dar na mikoa ya Pwani ya mashariki wakigawana na CUF lakiini bara kote Chadema watachukua..

Na huo ndio utakuwa mwanzo wa kuuigawa nchi na pengine mwanzo wa chuki za kidini..

Kumbuka maneno yangu haya;- Uislaam ni dini isiyokuwa na watu, hali Wakristu ni Watu wasiokuwa na dini..

Usemi huu ni mzito sana hasa inapokuja ktk maswala ya mfumo wa kijamii na kiutawala..

Nakuhakikishia hata kama itapita miaka ishirini maadam Mwenyezi Mungu atujalie uhai nitalikumbuka
hili na kuwasimulia wajukuu zangu chanzo cha mgawanyiko wa Watanzania nii Mufti akitumiwa na chama CCM..

........... Uislaam ni dini isiyokuwa na watu, hali Wakristu ni Watu wasiokuwa na dini..

Mkuu nashukuru sana kwa hayo maneno yako yaliyojaa hekima kubwa.
 
Propaganda za udini zinatumika sana na wanasiasa waliofilisika kisiasa, wanamhusisha yeyote ambaye anaridhia anachopewa kama zawadi. Ombwe la uongozi nchini ni dhahiri kwamba wanasiasa wetu wamefilisika kisiasa.
 
Omarilyas,
Katika uchaguzi wa mwaka 2010 ni nani ali "inject" suala la udini katika kampeni? Hayakuwa magazeti ya Rostum yaliyokuwa yakimpigia debe Kikwete? Haikuwa Kikwete ambaye alimlipa yule Kasisi wa Pentecostal kutuhumu udini ndani ya Chadema? Unasema Chadema katika miaka miwili iliyopita wamekuwa wakifanya makosa mengi sana kisiasa. Ni yepi hayo? Na mbona ukiangalia katika medani ya siasa inaonekana chati za Chadema zinaendelea kupanda. Unaelezeaje hilo?

Kaka nadhani haya siwezi kutoa majibu yake hadharani. Inshaalah tutaonana soon.
 
Mufti hakufanya utafiti kwa hili. kama vile slaa nae hakufanya utafiti pale aliporopoka/alipotangaza kifo cha mkuu wa shinyanga. Akili zao kweli zinafanana hawa jamaa. Yaaani Shekhe Vs Padre. = 0 Vs 0
 
Huyu atafanya utafiti saa ngapi? Anazo hizo akili?

Usimkebehi Mufti. Ila ushauri wa CDM ni mzuri kwani mufti ajitahidi kuongea na hawa viongozi wa vyama, kubadilishana mawazo. Hii ni muhimu sana ili amani yetu idumu. Na si mufti tu bali viongozi wote wa mambo ya imani.:tongue:
 
kwani yeye slaa alifanya utafiti alipomtangaza mkuu wa shinyanga kafa? yeye na muft wanafanana akili. yeye padre mwenzie shekhe.
 
kwani yeye slaa alifanya utafiti alipomtangaza mkuu wa shinyanga kafa? yeye na muft wanafanana akili. yeye
padre mwenzie shekhe.
hawawez fanana akili-chunguza vizuri-kuna aliemzidi mwenzake-tena kamzid kwa kiwango kikubwa sana
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana

Pwambafu sana veve! Kama haipo kitu ya kongea kwa nini iko ongea!!
 
Nadhani imefika wakati kukaa na viongozi wa dini ya kiislam kuwasikiliza kwanini chadema imekuwa kero kwao? kwanini kila kukicha Chadema imekuwa ikisemwa vibaya na viongozi wa dini hiyo. inawezekana hamusikii kwa kuwa hayatolewi ktk vyombo vya habari visivyo vya dini. lkn kila kukicha tuhuma za waumini wa kiislam inashika kasi, kila pembe ya tz .
hii kama taachwa iendelee na kutokaa nao meza kuangalia sorce au kutumia vyombo vyao vya habari kuwasiliana nao itaathiri kwa kiasi kikubwa mustkabali wa chadema kisiasa. Inawezekana wanatumiwa kisiasa na wapinzani wa chadema, lkn ni wazi chadema kama chama kinachotaka kujaribu kujikosha ktk jamii ya kitanzania hakuna budi kutafuta njia mbadala ya kuondoa dhana hii. njia pekee ni kukaa na viongozi hao, kuwasikiliza malalamiko yao na pengine kaungalia nini source: au kutumia redio zao kuwaeleza uzuri wa chadema kwao na kuwaondoshea wasiwasi watz hao

Na wakifuata ushauri huu wako ndio watakuwa wameuwasha moto kwani iko wazi kabisa kuwa viongozi wa CHADEMA ni vibaraka wa viongozi wa dini ya ukatoliki, na ndio wao wanaotoa kauli zao na zinapitishwa vinywani kwa kina Slaa na wenzake, na kwenye uchaguzi mkuu makanisa yamedhihirisha hilo wazi kabisa
 
hao ni kuwaacha tu, ukiwajibu watapata kichwa, kwa waelewa tunajua wametumwa tu na CCM wenyewe. Duh tena nasilikiza zumbukuku wa DDC hapa napata ujumbe murua
 
FALSAFA NZURI YA CHAMA CHA SIASA NI SHARTI IAKISI JAMII HUSIKA NA
UHALISIA WA MATUMAINI / NDOTO ZAO, MAZINGIRA WANAMOISHI,
URAHISI KUKUMBUKIKA / KUELEWEKA KWA FALSAFA YENYEWE NA YENYE KUENDANA VILIVYO NA KIPINDI KATIKA MAISHA WANAMOISHI

Nitangulie kuwapa hongera sana sana tena sana CHADEMA kwa kuweza kuibuka na falsafa ambayo kiujumla ni sura halisi ya matakwa ya Wa-Tanzania na safari yetu ndefu kama jamii moja katika maisha haya.

Hakika kwa ufahamu wangu falsafa ya CDM imekidhi misingi yote muhimu kiasi cha kutosha kututambulishia kwamba CHADEMA ni watu gani katika jamii yetu, wanaamini katika lipi na siku zote tuwafanyie tathmini katika uendeshaji wa shughuli za kila siku katika taifa hili huku wananchi tukizingatia misingi gani hasa zinazotambulika rasmi.

Ndio, Falsafa ya Chama Cha Siasa si sawa na mtu kufanya ziara binafsi kwenye mbuga za wanyama kokote duniani. Wala Jambo hili halipigiwi KOFULI MLANGONI kwamba haukua nalo jana leo hii ukitangaza kuwa nalo basi ni kosa la jinai - laa hasha!! Hivyo mtu kusema kwamba labda kwa kuwa Mwenyekiti Mstaafu, Mhe Edwin Mtei, katika mahojiano yake na vyombo vya habari pengine miaka 5 iliyopita hakulitaja falsafa ya Chama; hiyo peke yake hakizuii chama kuweza kupiga hatua zaidi kwa KUJIPA SURA HALISIA kisiasa nchini.

Kiukweli, kupokezana kule kete la majukumu ndani ya Chama na hiyo ndio maana tunasema CHADEMA ni cha Wa-Tanzania wote na wala si mali ya mtu binafsi kama vilivyo vyama vingine vya mifukoni hapa nchini hivyo kama Mzee Mtei aliweza kutekeleza hatua fulani muhimu kwa uhai wa chama hiki basi nasisi Vijana Wa-Tanzania wenye mali yao tunaendelea kukamilisha mengine na mengi zaidi mazuri bado yako njiani yanakuja - kaeni mkao wa ushindi kote nchini!!

Nielewavyo mimi, falsafa ya Chama Cha Siasa kwa maelezo miepesi ni UJUMLA WA MAWAZO NA FIKRA yanayotafuta kumtambulisha mtu na au Chama na kile anachokiamini, kupenda kuliona likitendeka kwa jamii yake na kwamba yuko tayari kuwekeza muda na rasilmali nyinginezo muhimu kuendeleza fikra na mawazo hayo kwa faida na maendeleo ya jamii katika ujumla wake.

le majibu ya maswali ya msingi kama vile; (1) nyinyi kama Chama cha siasa wananchi tuwatambueni kuwa muu akina nani hasa?? (2) mnaamini katika mambo yepi hasa ambayo lasimamia ambayo ndiyo itakayokua ni chimbuko na muongozo wa shughuli zenu zote kiutendaji kama chama.

Na kwa mantiki hii ndipo nako tunapotangaza kwamba ni mwisho wa SIASA ZA MKUMBO huku tukifungua ukurasa mpya wa siasa za kisasa zenye kuegemea misingi ya wazi na iliotukuka mioyoni mwa Wa-Tanzania tuliowengi.

Hadi hapo nawashauri vijana wenzangu kote nchini na wananchi kwa ujumla kwamba maadam sote tumeshajionea madhara makubwa yalioletwa na falsafa mpya ya Chama fulani nchini; falsafa ya 'Kasi Mpya, Nguvu Mpya na Ari Mpya' pasipo kuelewa hasa dira zima ya wapi tunakopelekwa kama taifa, na hatimaye kutokea ajali ya mwaka kisiasa ambapo chama hicho hivi sasa kimeparaganyika vipande 200 kidogo, ni muda muafaka sote tukajiunga CHADEMA leo hii na wala si kesho.

Hakika CHADEMA pekee ndiyo nyumba salama kisiasa kwa watu wa rika zote, dini zote, rangi zote, jinsia zote na daraja zote za uelewa sawa na vile ambayo hata Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliiona na kutuambia kwa kinywa kipana sote nchini.
 
Tatizo si Mbowe wala Slaa wa kushauriwa tatizo ni wewe na watu wenye tabia kama zako ndio mnaopaswa kushauriwa.
 
DOGO PUNGUZA PUMBA HAYO MAWAZO ALIYO TOA Mh NI YA MSINGI NA VIONGOZI KAMA VIONGOZI WANATAKIWA KUYAFATA....WAISLAM BADO NI KUNDI MUHIMU SANA KTK USTAWI WA CDM,KAULI YA KUDAI WAACHWE KAMA WALIVYO NI YA KITOTO SANA NA HAINA MASHIKO HATA KIDOGO.MI NAAMINI KABISA MTANDAO HUU NI WA WATU WALIO MAKINI SANA NA WANAPENDA MAENDELEO YA NCHI HII KWA WATU MSIO NA UPEO NAOMBA MUWE MAKINI KTK KU POST PUMBA ZENU....MNAWEZA LIGAWA TAIFA ILI.

BY dizle

from udom
 
Na wakifuata ushauri huu wako ndio watakuwa wameuwasha moto kwani iko wazi kabisa kuwa viongozi wa CHADEMA ni vibaraka wa viongozi wa dini ya ukatoliki, na ndio wao wanaotoa kauli zao na zinapitishwa vinywani kwa kina Slaa na wenzake, na kwenye uchaguzi mkuu makanisa yamedhihirisha hilo wazi kabisa

Hahaha,nahisi unalia kwanini jamaa katoa ushauri mzuri hivi!

Imekula kwako empy brain
 
DOGO PUNGUZA PUMBA HAYO MAWAZO ALIYO TOA Mh NI YA MSINGI NA VIONGOZI KAMA VIONGOZI WANATAKIWA KUYAFATA....WAISLAM BADO NI KUNDI MUHIMU SANA KTK USTAWI WA CDM,KAULI YA KUDAI WAACHWE KAMA WALIVYO NI YA KITOTO SANA NA HAINA MASHIKO HATA KIDOGO.MI NAAMINI KABISA MTANDAO HUU NI WA WATU WALIO MAKINI SANA NA WANAPENDA MAENDELEO YA NCHI HII KWA WATU MSIO NA UPEO NAOMBA MUWE MAKINI KTK KU POST PUMBA ZENU....MNAWEZA LIGAWA TAIFA ILI.

BY dizle

from udom

Hakuna kundi nchi hii ila kuna watanzania, na huyu mtu mmoja anatoa thread mbili zenye topic moja tumueleweje? ni uchangu au? mkitaka kumjuwa huyu kama ni changu ushaidi ni huu hapa.

  • user-online.png
    muhadhiri

    Today 10:28 AM
    #1
    Senior Member
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png

    Join Date : 2nd January 2011
    Posts : 64
    Thanks 4 Thanked 14 Times in 8 Posts

    Rep Power : 21

    0 out of 1 members found this post helpful. Did you find this post helpful? |
    icon1.png
    Chadema ni wabinafsi , wabaguzi- waislam

    Kila hali inavyozidi kuendelea mapambano ya waislam dhidi ya chadema yanazidi kuongezeka. Jana kulikuwa na kongamano kubwa mjini arusha la waislam kupinga mfumo kiristo wanaodai upo nchini.
    katika kongamano hilo na makongamano mengine yanayoendelea ambayo yanarushwa moja kwa moja kupitia redio zao wanakituhumu moja kwa moja Chadema kwamba ni wabinafsi na kinatumikia mfumo huo.wamesema kama kweli chadema inatetea maslahi ya watz kwanini hadi leo haijahoji wakiristo kupewa billion 600 2011 na gov huku madhehebu mengine yakinyimwa?jee huo sio ubinafsi?lakini pia mmoja ya wahubiri alimnukuu mbunge mmoja wa mwanza wa chadema akiapa kwamba shule ya zamani ya kiislam ya mwanza haitarudi kwa waislam jambo ambalo waislam wameliona linazidisha uadui kati ya chadema na waislam
    na katika maazimio yao wamesema endapo chadema itajaribu kuandaa maandamano arusha basi na waislam wataandama kujibu mapigo wakati huohuo.
    kwa hali hii chadema inaelekea upande gani wa nchi? kwani hata Kigoma tumesikia wananchi wamesema chadema ikiandama nao watajibu mapigo.
    lkn kila siku zikienda tuhuma hizi zinazidi, kwani viongozi wakuu wa kiislam hutumia redio zao kuhamasishana kuigopa chadema. kwa mtazamo wa kawaida utaona haina athari kwa chadema, lkn ukweli uliowazi unawjengea picha mbaya kwa jamii ya kiislam.
    hii kama viongozi wakuu wa CHADEMA wataona hakitayumbisha chama naamini wanakosea, kwani tayari makongamano yao yanapokelewa na idadi kubwa ya waumini wao ambao wanamchango mkubwa kisiasa
    Chadema ifanyeje kukinusuru chama na tuhuma hizi za udini?​
    Last edited by muhadhiri; Today at 10:41 AM.​

    Reply Reply With Quote Thanks
  • user-online.png
    GeniusBrain

    Today 11:22 AM
    #21
    JF Senior Expert Member
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png

    Join Date : 3rd November 2010
    Posts : 684
    Thanks 0 Thanked 45 Times in 34 Posts

    Rep Power : 22

    Did you find this post helpful? |
    icon1.png
    Re: Chadema ni wabinafsi , wabaguzi- waislam

    quote_icon.png
    Originally Posted by Saigon
    Na GADDAFI ndio anang'olewa muanze kujifunza kujenga misikiti kwa pesa zenu, na sio kusubili misaada mpaka ya tende, hii ni aibu.

    Vatican vipi , ile misaada wameacha kutoa yakujenga makanisa na kuibatiza Tanzania ?

    Reply Reply With Quote Thanks
  • user-online.png
    GeniusBrain

    Today 11:26 AM
    #22
    JF Senior Expert Member
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png

    Join Date : 3rd November 2010
    Posts : 684
    Thanks 0 Thanked 45 Times in 34 Posts

    Rep Power : 22

    Did you find this post helpful? |
    icon1.png
    Re: Chadema ni wabinafsi , wabaguzi- waislam

    quote_icon.png
    Originally Posted by GeniusBrain

    Hawa ni waislamu, na ni wauwaji.

    Attachment 25811

    Wakristo ndio wanaoiharibu hii nchi kwa ufisadi (refer List of Shame ya Slaa). Top Ten Mafisadi ya mafisadi wote wametoka makanisani, wakina EL, RA, Basil Mramba, D. Yona, endelea...................

    Reply Reply With Quote Thanks
    [*]
    user-online.png
    Nanu

    Today 11:30 AM
    #23
    JF Senior Expert Member
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_pos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png
    reputation_highpos.png

    Join Date : 29th May 2009
    Posts : 931
    Thanks 184 Thanked 257 Times in 182 Posts

    Rep Power : 23

    Did you find this post helpful? |
    icon1.png
    Re: Chadema ni wabinafsi , wabaguzi- waislam

    quote_icon.png
    Originally Posted by muhadhiri
    nadhani imefika wakati viongozi wakuu wa chadema kujipanga, kuangalia jinsi ya kukaa na waislam kuzungumza nao, vyenginevyo chama kinaelea kufa

    Kuna baadhi ya watu wananunuliwa na CCM kwa bei che sana ili tu waongee kuhusu Chadema na wapitie kwenye kivuli cha dini ili alilosema mkubwa wao la udini lionekane kweli lipo!!!​
    Peace is meaningless if nothing is right. Do it and Do It Right or Not at All.
    Swallowing His Own Words has never Killed the Politician!
    Reply Reply With Quote Thanks
 
FALSAFA NZURI YA CHAMA CHA SIASA NI SHARTI IAKISI JAMII HUSIKA NA
UHALISIA WA MATUMAINI / NDOTO ZAO, MAZINGIRA WANAMOISHI,
URAHISI KUKUMBUKIKA / KUELEWEKA KWA FALSAFA YENYEWE NA YENYE KUENDANA VILIVYO NA KIPINDI KATIKA MAISHA WANAMOISHI

Nitangulie kuwapa hongera sana sana tena sana CHADEMA kwa kuweza kuibuka na falsafa ambayo kiujumla ni sura halisi ya matakwa ya Wa-Tanzania na safari yetu ndefu kama jamii moja katika maisha haya.

Hakika kwa ufahamu wangu falsafa ya CDM imekidhi misingi yote muhimu kiasi cha kutosha kututambulishia kwamba CHADEMA ni watu gani katika jamii yetu, wanaamini katika lipi na siku zote tuwafanyie tathmini katika uendeshaji wa shughuli za kila siku katika taifa hili huku wananchi tukizingatia misingi gani hasa zinazotambulika rasmi.

Ndio, Falsafa ya Chama Cha Siasa si sawa na mtu kufanya ziara binafsi kwenye mbuga za wanyama kokote duniani. Wala Jambo hili halipigiwi KOFULI MLANGONI kwamba haukua nalo jana leo hii ukitangaza kuwa nalo basi ni kosa la jinai - laa hasha!! Hivyo mtu kusema kwamba labda kwa kuwa Mwenyekiti Mstaafu, Mhe Edwin Mtei, katika mahojiano yake na vyombo vya habari pengine miaka 5 iliyopita hakulitaja falsafa ya Chama; hiyo peke yake hakizuii chama kuweza kupiga hatua zaidi kwa KUJIPA SURA HALISIA kisiasa nchini.

Kiukweli, kupokezana kule kete la majukumu ndani ya Chama na hiyo ndio maana tunasema CHADEMA ni cha Wa-Tanzania wote na wala si mali ya mtu binafsi kama vilivyo vyama vingine vya mifukoni hapa nchini hivyo kama Mzee Mtei aliweza kutekeleza hatua fulani muhimu kwa uhai wa chama hiki basi nasisi Vijana Wa-Tanzania wenye mali yao tunaendelea kukamilisha mengine na mengi zaidi mazuri bado yako njiani yanakuja - kaeni mkao wa ushindi kote nchini!!

Nielewavyo mimi, falsafa ya Chama Cha Siasa kwa maelezo miepesi ni UJUMLA WA MAWAZO NA FIKRA yanayotafuta kumtambulisha mtu na au Chama na kile anachokiamini, kupenda kuliona likitendeka kwa jamii yake na kwamba yuko tayari kuwekeza muda na rasilmali nyinginezo muhimu kuendeleza fikra na mawazo hayo kwa faida na maendeleo ya jamii katika ujumla wake.

le majibu ya maswali ya msingi kama vile; (1) nyinyi kama Chama cha siasa wananchi tuwatambueni kuwa muu akina nani hasa?? (2) mnaamini katika mambo yepi hasa ambayo lasimamia ambayo ndiyo itakayokua ni chimbuko na muongozo wa shughuli zenu zote kiutendaji kama chama.

Na kwa mantiki hii ndipo nako tunapotangaza kwamba ni mwisho wa SIASA ZA MKUMBO huku tukifungua ukurasa mpya wa siasa za kisasa zenye kuegemea misingi ya wazi na iliotukuka mioyoni mwa Wa-Tanzania tuliowengi.

Hadi hapo nawashauri vijana wenzangu kote nchini na wananchi kwa ujumla kwamba maadam sote tumeshajionea madhara makubwa yalioletwa na falsafa mpya ya Chama fulani nchini; falsafa ya 'Kasi Mpya, Nguvu Mpya na Ari Mpya' pasipo kuelewa hasa dira zima ya wapi tunakopelekwa kama taifa, na hatimaye kutokea ajali ya mwaka kisiasa ambapo chama hicho hivi sasa kimeparaganyika vipande 200 kidogo, ni muda muafaka sote tukajiunga CHADEMA leo hii na wala si kesho.

Hakika CHADEMA pekee ndiyo nyumba salama kisiasa kwa watu wa rika zote, dini zote, rangi zote, jinsia zote na daraja zote za uelewa sawa na vile ambayo hata Marehemu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliiona na kutuambia kwa kinywa kipana sote nchini.

Hii umeitoa wapi mkuu?
Naona una paste kila thread post hii hii
 
Back
Top Bottom