Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Kamwambie Slaa kuwa mufti na timu yake wanajua A-Z kuhusu chadema. Pia mwambie kuwa malengo ya chadema yalijulikana b4 election. Pia mwambie Slaa kuwa yeye kama amefanya utafiti aombe mdaharo na mufti tuone nani ataumbuka. siku zote Nyani haoni k....le kwahiyo chadema kupitia washabiki wake masela na wazee wenye uchu na madaraka hawajioni pindi wanapoenda ndivyo sivyo, uzalendo wameweka ma...oni na uchu wa madaraka wameweka mbele. Muulize Padri Slaa lini alisimama kuwakemea maaskofu kwa ududuzi wanaoufanya? Mufti itikadi yake inaamini kuwa Dini na siasa huwezi vitenganisha ama Slaa na maaskofu wenzake itikadi yao ni kuwa ya Kaisali muachie kaisali na ya mungu muachie mungu sasa ilikuwaje maaskofu wakatoa ILANI YA UCHAGUZI? na kilicho cha ajabu ilani hutolewa na chama kama muongozi wao wa kusaka madaraka, sasa je maaskofu ilani yao ni ya chama gani? mbona Slaa hakuwasema kuwa wamechemka.Pia Slaa sikumsikia akiwasema maaskofu walipotoa tamko kuwa hawamtambuai meya wa Arusha, ivi wao ni madiwani? maana meya huchaguliwa na madiwani na ndio wanaweza sema hawamtambui meya, haya maduduzi yote hayaonekani kwa watu wenye jicho moja. mwisho kamwambie Slaa ajibu hoja na aache kulalamika. otherwise aitishe mudaharo

Tafadhari wana jf. Tukatae kuwa na waalimu wa kiwango cha chini. Yaonekana hata Makamba na Hiza Tambwe wameweza kutufundisha, ingawa ni uongo. Tangu lini neno ilani likawa ni neno la siasa tu!

Nimetembelea Wikipedia na inaniambia tafsiri ifuatayo;
A manifesto is a public declaration of principles and intentions, often political in nature. Manifestos relating to religious belief are generally referred to as creeds. Manifestos may also be life stance-related.

Pia kuna maelezo mengine;
Manifestos is derived from the Italian word manifesto, itself derived from the Latin manifestum, meaning clear or conspicuous. Its first recorded use in English is from 1620, in Nathaniel Bent's translation of Paolo Sarpi's History of the council of Trent: "To this citation he made answer by a Manifesto" (p 102). Similarly, "They were so farre surprized with his Manifesto, that they would never suffer it to be published" (p 103)
 
Mwalimu wangu wa siasa alinifundisha kwamba, unapotokea mgongano ktk jamii, ujue kuwa mwafaka unakaribia. Matokeo ya mgongano ni kuvunjika kwa TUNGAMO. Ndipo awamu mpya (New Era) huzaliwa. Naamini tutasikia hata CHADEMA kwa CHADEMA, CCM kwa CCM, CUF kwa CUF, na hata dini kwa dini, wakigongana, alimradi, siku ya kuvunjika kwa TUNGAMO inakuja!

Mungu Ibariki Tanzania, Afrika na Dunia.
 
Hivi wewe Padri muasi huwa unafanya utafiti kabla ya kufanya maamuzi yako? Wewe si ulisema kuwa hujui kama kimada wako Josephine alikuwa ni mke wa mtu? Ungefanya utafiti hata mdogo usinge mtangaza mke wa mtu kuwa mchumba! Acha unafiki! Matusi yenu dhidi ya Sheikh Simba imedhihirisha wazi wazi kuwa Chadema ni Taasisi ya kikristo na hilo halina kificho tena. Pia imedhihirisha kuwa CDM inadhani inaweza kushinda urais bila kula za waislamu. Endeleeni kujidanganya. Hivi makanisani siku hizi hawafundishi adabu? Ni matusi tu?
 
Vita dhidi ya ukoloni viliwaunganisha watanzania wa dini zote,sasa how come kwenye ujenzi wa nchi dini moja inataka itawale?Ama ni uchu wa madaraka wa baadhi ya wanasiasa?Kama watanzania wanataka mabadiliko watayapata kwa namna yoyote ile,lakini wale mnaoelekea kuwa upande wa mafisadi inaonyesha mko desparate.

Siku ya siku mtashangaa kuwa wataoswekwa ndani kwa ufisadi ni mchanganyiko wa dini zote.

Ile karata ya kusema uislam unaonewa nchini itakwisha nguvu kwasababu itatekwa na mafisadi,sasa kama usilam ni ufisadi,mtueleze.

Alkaeda walitandikwa na bado wanaendelea kutandikwa,hatahivyo wanadai kuwa ni kwasababu wao ni waislam,sasa ugaidi ni uislam?

Same thing we will eventually ask the likes of Simba;je ufisadi ni uislam?
 
Acheni kujidanganya. Waislam walio wengi wanaliangalia Chadema kwa jicho la ukali sana hivi sasa. Katika miaka miwili iliyopita na hadi sasa Chadema wamefanya makosa mengi sana kisiasa. Ni vigumu sana kuwaaminisha waislamu walio wengi hivi sasa kuwa harakati za Chadema hazina nia mbaya na Rais Mwislamu. Lakini pia hii ya Dr Slaa ambaye anaoeekana kama nembo ya nia mbaya hiyo dhidi ya muislam mwenzao kujibizana na Sheikh Mkuu ndio inaharibu kabisa. Hivi maneno yote anayokong'otwa Kikwete na Maaskofu mlimsikia akihibizana nao moja kwa moja? Ama Dr Slaa ana
 
Kwahiyo waislam watamtetea musilam mwenzao hata kama ni fisadi?Kwa utaratibu huu naona hatutaepuka kuzichapa.
 
Acheni kujidanganya.*

Waislam walio wengi wanaliangalia Chadema kwa jicho la ukali sana hivi sasa. Katika miaka miwili iliyopita na hadi sasa Chadema wamekuwa wakifafanya makosa mengi sana kisiasa. Yawezekana yamewawezesha kisiasa kwa hivi sasa lakini sio kwa maslahi ya muda mrefu. Ni vigumu sana hivi sasa kuwaaminisha waislamu walio wengi kuwa harakati za Chadema hazina nia mbaya na Rais Mwislamu.

Lakini pia hii ya Dr Slaa ambaye anaoenekana kama nembo ya nia mbaya hiyo dhidi ya muislam mwenzao kujibizana na Sheikh Mkuu ndio inaharibu kabisa. Hivi maneno yote anayokong'otwa Kikwete na Maaskofu mlimsikia akijibizana nao moja kwa moja? Ama Dr Slaa anatekeleza jukumu lake la Umakamba?

Chadema badala ya kujiuliza ni vipi ya Misri hayatokei bado Tanzania mnapaswa kujiangalia na kujisahihisha mapema ama sivyo mnajizika katika kundi la fringe parties kujumuika na CUF ambao nao walidharau umuhimu wa kujisahihisha walipokuwa na nafasi ya kufanya hivyo.

Kung'ang'ania na santuri ya kuwa Tanzania hakuna udini hakusaidi Chadema wala Tanzania.

Na ninyi wengine mnaokazinia kuwakejeli waislam ama kiongozi wao ndio mnaharibia kabisa safari ya ukombozi wenu.
 
Nakubaliana nawe kwenye bold.Ilikuwa Dr.Slaa anampotezea huyu Mufti.Chadema wangemtumia kiongozi wao mwingine(nzuri angekuwa muislam) kumjibu Mufti
 
Lakini siasa za Tanzania ndivyo zilivyo.Usishangae CUF ikaja kupata nguvu tena kama CCM watasimamisha mgombea mkristo 2015
 
Hivi Yale makontena ya kura kuna utafiti ulifanyika? Mh Slaa pamoja na kuwa sina mlengo wowote lakini nashauri si kila hoja ukurupuke kujibu maana viongozi Wa dini yenu wakikusifia unakaa kimyaaa wala huuulizi utafiti huwa sipendi kuchangia masuala ya dini lakini hapa imebidi I am not happy with Padri Dr Slaa Statement yenye kamfumo ka dharau kwa mbaaaali

Mtuhumiwa wa makontena ni serikali kupitia tume ya uchaguzi. Ambaye angenufaika na na hayo makontena ni serikali au chama tawala, Aliyefanya uchunguzi ili kusema hakuna contena kama hilo ni serikali, sasa wewe ulitegemea serikali watoe jibu gani kuhusu hilo.???
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana
Itahwa nakuhurumia soma thread vizuri halafu uonyeshe dharau na Udini ambao Dr Slaa ameusema. Pia kumbuka amewaalika viongozi hao kwenye mikutano yao (CDM) wasikie kile wanacho kiongea hapo hakuna UDINI kwani si siri tena udini huu unapigiwa upatu na JK na CCM (propaganda) sio watanzania
 
Acheni kujidanganya. Waislam walio wengi wanaliangalia Chadema kwa jicho la ukali sana hivi sasa. Katika miaka miwili iliyopita na hadi sasa Chadema wamefanya makosa mengi sana kisiasa. Ni vigumu sana kuwaaminisha waislamu walio wengi hivi sasa kuwa harakati za Chadema hazina nia mbaya na Rais Mwislamu. Lakini pia hii ya Dr Slaa ambaye anaoeekana kama nembo ya nia mbaya hiyo dhidi ya muislam mwenzao kujibizana na Sheikh Mkuu ndio inaharibu kabisa. Hivi maneno yote anayokong'otwa Kikwete na Maaskofu mlimsikia akihibizana nao moja kwa moja? Ama Dr Slaa ana

Kwa hiyo kama waislam wanaichukia chadema, unataka wakristu wafanye nini? maana hapa unataka kuaminisha kuwa chadema ni ya wakristu, na ccm ni ya waislam, je tukifanya hivi ndo nchi itatawalika? angalieni kauli zenu za uchochezi
 
Ama kweli tunakwenda kubaya zaidi siku hadi siku.
Watu wanamlaumu Dr.Slaa kwa kumjibu Mufti ati kwa nini hakufanya hivyo kwa maaskofu ambao hawakukishambulia chama chake..Ni sawa na kuuliza kwa nini viongozi wa CUF na CCM wamenyamaza wakati Mufti kuwaponnda Chadema na maandamano

Swala muhimu hapa ni kujiuliza kama maandamano ya Chadema yalikuwa sii halali mbona CUF wamewahi kuandamana sana miaka ya nyuma na waliiungwa mkono na Chadema pamoja na watu wengi tena ktk maswala hayahaya.
Na sikumsikia Mufti akizungumzia uchochezi zaidi ya viongozi wa dini kuchochea zaidi ufisadi wa CCM na hata wengine kutiwa hatiani..
Kitu kilekile walichokifanya CUF miaka ya nyuna kilikuwa halali lakini leo hii sii halali..

Mimi n achoamini ni kuwa maandamani ya Chadema yamemwamsha JK toka usingizini wala sii kikombe cha babu wa Loliondo..
Sasa mwenyewe anashuhudia madudu yanayoendelea wizarani na mashirika ya umma tena kwa mshangao mkubwa..Na ndivyo siasa zinavyotakiwa kuwa kwa maana ya kuundwa demokrasia ya vyama vingi..

Hivi kweli nyote mnashindwa kuuona mfumko wa bei na ufisadi unaotendeka wakati wakisema Chadema lakini hayo hayo yasemwe na Lipumba yanaonekana ni ya msomi aliyebobea uchumi lakini sii Uislaam..

Jamani jamani acheni haya maswala ya udini. Mufti kachemsha na hakika waislaam wengi wanalijua hilo, sii swala la Dr. Slaa kukemea hoja zinazowahusu CCM, kwa sababu ati Slaa ni Padre na waliosema dhidi ya serikali ni maaskofu.

Na kikubwa zaidi maaskofu siku zote wamekemea uongozi wa serikali na wizara zake sio chama CCM au CUF kama chama kwa sababu siasa za chama haziwahusu..

Ndivyo nijuavyo pamoja na kwamba sikubaliani kabisa na viongozi wa dini kujiingiza ktk malumbano ya kisiasa hasa baina ya vyama pinzani..

Mimi nijuavyo Waislaam wajinga tu na washabiki ndio wataingia mkenge huu na uvumi unaoenezwa kama kikombe cha babu ..na hakika ni wagonjwa wa akili tu ndio watakimbilia huko lakini sio waislaam wote wana ukimwi au kisukari cha akili... ..
 
Acheni kujidanganya.*

Waislam walio wengi wanaliangalia Chadema kwa jicho la ukali sana hivi sasa. Katika miaka miwili iliyopita na hadi sasa Chadema wamekuwa wakifafanya makosa mengi sana kisiasa. Yawezekana yamewawezesha kisiasa kwa hivi sasa lakini sio kwa maslahi ya muda mrefu. Ni vigumu sana hivi sasa kuwaaminisha waislamu walio wengi kuwa harakati za Chadema hazina nia mbaya na Rais Mwislamu.

Lakini pia hii ya Dr Slaa ambaye anaoenekana kama nembo ya nia mbaya hiyo dhidi ya muislam mwenzao kujibizana na Sheikh Mkuu ndio inaharibu kabisa. Hivi maneno yote anayokong'otwa Kikwete na Maaskofu mlimsikia akijibizana nao moja kwa moja? Ama Dr Slaa anatekeleza jukumu lake la Umakamba?

Chadema badala ya kujiuliza ni vipi ya Misri hayatokei bado Tanzania mnapaswa kujiangalia na kujisahihisha mapema ama sivyo mnajizika katika kundi la fringe parties kujumuika na CUF ambao nao walidharau umuhimu wa kujisahihisha walipokuwa na nafasi ya kufanya hivyo.

Kung'ang'ania na santuri ya kuwa Tanzania hakuna udini hakusaidi Chadema wala Tanzania.

Na ninyi wengine mnaokazinia kuwakejeli waislam ama kiongozi wao ndio mnaharibia kabisa safari ya ukombozi wenu.
Omarilyas,
Katika uchaguzi wa mwaka 2010 ni nani ali "inject" suala la udini katika kampeni? Hayakuwa magazeti ya Rostum yaliyokuwa yakimpigia debe Kikwete? Haikuwa Kikwete ambaye alimlipa yule Kasisi wa Pentecostal kutuhumu udini ndani ya Chadema? Unasema Chadema katika miaka miwili iliyopita wamekuwa wakifanya makosa mengi sana kisiasa. Ni yepi hayo? Na mbona ukiangalia katika medani ya siasa inaonekana chati za Chadema zinaendelea kupanda. Unaelezeaje hilo?
 
Ama kweli tunakwenda kubaya zaidi siku hadi siku.
Watu wanamlaumu Dr.Slaa kwa kumjibu Mufti ati kwa nini hakufanya hivyo kwa maaskofu ambao hawakukishambulia chama chake..Ni sawa na kuuliza kwa nini CUF na CCM wamenyamaza wakati Mufti alipozungumza..kuwaponnda Chadema na maandamano.
Swala la Muhimu hapa ni kujiuliza kama maandamano ya Chadema yalikuwa sii halali mbona CUF wamewahi kuandamana sana miaka ya nyuma na waliiungwa mkono na Chadema pamoja na watu wengi tena ktk maswala hayahaya.
Na sikumsikia Mufti akizungumzia uchochezi zaidi ya viongozi wa dini kuchochea zaidi ufisadi wa CCM na hata wengine kutiwa hatiani..
Kitu kilekile walichokifanya CUF miaka ya nyuna kilikuwa halali lakini leo hii sii halali..

Mimi n achoamini ni kuwa maandamani ya Chadema yamemwamsha JK toka usingizini wala sii kikombe cha babu wa Loliondo..
Sasa mwenyewe anashuhudia madudu yanayoendelea wizarani na mashirika ya umma tena kwa mshangao mkubwa..Na ndivyo siasa zinavyotakiwa kuwa kwa maana ya kuundwa demokrasia ya vyama vingi..

Hivi kweli nyote mnashindwa kuuona mfumko wa bei na ufisadi unaotendeka wakati wakisema Chadema lakini hayo hayo yasemwe na Lipumba yanaonekana ni ya msomi aliyebobea uchumi lakini sii Uislaam..

Jamani jamani acheni haya maswala ya udini. Mufti kachemsha na hakika waislaam wengi wanalijua hilo, sii swala la Dr. Slaa kukemea hoja zinazowahusu CCM, kwa sababu ati Slaa ni Padre na waliosema dhidi ya serikali ni maaskofu.

Na kikubwa zaidi maaskofu siku zote wamekemea uongozi wa serikali na wizara zake sio chama CCM au CUF kama chama kwa sababu siasa za chama haziwahusu..

Ndivyo nijuavyo pamoja na kwamba sikubaliani kabisa na viongozi wa dini kujiingiza ktk malumbano ya kisiasa hasa baina ya vyama pinzani..

Mimi nijuavyo Waislaam wajinga tu na washabiki ndio wataingia mkenge huu na uvumi unaoenezwa kama kikombe cha babu ..na hakika ni wagonjwa tu ndio watakimbilia huko lakini sio waislaam wote wana ukimwi au kisukari cha akili... ..

Mkandara;wenye uwezo wa kufikiria kama wewe kama wapo ni wachache sana.Lakini wengi ambao ndiyo wapiga kura wenyewe,hawawezi wakaelewa unachokisema hata wangepata nafasi ya kuja kukusoma hapa JF.Kifupi Dr.Slaa hakupaswa kumjibu Mufti,ukichukulia kuwa yeye ndiye chanzo hasa cha 'watu' kuanza kukihusisha Chadema na ukristo.
Inawezekana uko sawa kimtazamo lakini ninavyoamini mimi ni kwamba Dr.Slaa kwa kumjibu Mufti anakuwa ameendelea kujiweka katika wakati mgumu zaidi kupata support ya ordinary muslims wengi ambao ndiyo wapiga kura.
 
Ndugu msiwe na hasira kiasi hicho Chadema sio sawa na JF na JF sio sawa na Ukristo!! ila jambo linalo tusumbua hapa ni kwa namna gani tunashugulikia matatizo katika nchi yetu!! wakati mtu fulani bila kujali ni shehk au padri anapozungumzia matatizo yanayowakumba wananchi, mwingine anamsonga huyo mtu na kutaka kumnyamazisha kwa maslahi yake binafsi. Haijalishi ni nani anatoa kauli maadam ni mwanajamii achilia mbali uongozi alionao, kama kauli hiyo itaendana na ukweli hakuna atakaye mpinga! na hata kama akipingwa waliowengi watatetea hoja hiyo. Mfano Pengo alisema Maandamano ya chadema hayana tatizo lolote kwani ni haki ya wananchi kulalamika pale wanapoona hawatendewi haki ni hili lipo kisheria! si jambo la mtu kuamua tu mwenyewe! Akaiomba serikali kushughulikia kero za wananchi na sio kuwazuia wasitoe hisia zao. Sasa Mufti anasema kuwa maandamano yanasababisha uvunjifu wa amani kwa lipi aliloliona yeye au kwa kigezo gani? hapa inaonekana kiongozi wetu anatumiwa kama kasuku kwani alicho kiongea kikwete ndicho kakiongea yeye hana lake jipya. Vibaya zaidi aliposema kuwa hizi harakati za watu kujikomboa na ufisadi ni chuki dhidi ya uislam eti kwa kuwa raisi ni muislam hapo ndipo tatizo linapokuja! wakati watu wakidai kutimiziwa haki zao hoja ya udini inajitokeza je tukae kimya mfisadi watule hadi tukongoloke kabisa? Kisa tukisema tutaonekana tunachuki na uislam? Hiyo ni dhana potofu na ni upeo mdogo wa kuona mambao.
 
we Slaa mpuuzi sana acha kudharau dini za wenzako, Pengo alipotoa maoni yake kuhusu maandamano alifanya utafiti lini? yani nyie mnaposifiwa hakuna comment yoyote ila mkikoselewa tuu,ndo mnakuja na matamko ya kipuuzi! hiyo siasa badilikeni na acheni ulimbukeni coz mnatubero sana

Sasa wewe ndo unaleta udini kwenye mambo yanayohusu maslahi ya taifa. Ni kauli ipi ya Dr Slaa inayoashiria dharau kwa wengine? Umejoini jamvini jana na tayari umeanza kuropoka? ni lazima uwe umetumwa! Jifunze kujadili hoja!
 
Mkandara;wenye uwezo wa kufikiria kama wewe kama wapo ni wachache sana.Lakini wengi ambao ndiyo wapiga kura wenyewe,hawawezi wakaelewa unachokisema hata wangepata nafasi ya kuja kukusoma hapa JF.Kifupi Dr.Slaa hakupaswa kumjibu Mufti,ukichukulia kuwa yeye ndiye chanzo hasa cha 'watu' kuanza kukihusisha Chadema na ukristo.
Inawezekana uko sawa kimtazamo lakini ninavyoamini mimi ni kwamba Dr.Slaa kwa kumjibu Mufti anakuwa ameendelea kujiweka katika wakati mgumu zaidi kupata support ya ordinary muslims wengi ambao ndiyo wapiga kura.
samahni sijakupata hapo kwa Dr.Slaa hakupaswa kujibu yeye..
Hivi wakisema Maaskof kuhusu CCM Makmba haruhusiwi kusema lolote kwa sababu ni Alhajj? au Jk isipokuwa mkristu mwenzao?
Imekuwa maswala ya siasa ni ya kidini au kisiasa maana hakuna quotes za Kuran au Biblia hapa..

Kweli tutafika tuendako? muhimu ni viongozi wa dini kutoingilia maswala ya siasa kulingana na katiba inayosema nchi yetu haina dini na kuitumia dini ni kuvinja sheria..
Ushirika wao ktk mijadala ya kisiasa ni lazima wavue majohp yao na kuzungumza kama raia na sii viongozi wa dini..
 
Sheikh mkuu angealika watu watu kwa ajili ya kudhikiri sawa angenena na watu wake tu na si hoja za kitaifa
 
samahni sijakupata hapo kwa Dr.Slaa hakupaswa kujibu yeye..
Hivi wakisema Maaskof kuhusu CCM Makmba haruhusiwi kusema lolote kwa sababu ni Alhajj? au Jk isipokuwa mkristu mwenzao?
Imekuwa maswala ya siasa ni ya kidini au kisiasa maana hakuna quotes za Kuran au Biblia hapa..

Kweli tutafika tuendako? muhimu ni viongozi wa dini kutoingilia maswala ya siasa kulingana na katiba inayosema nchi yetu haina dini na kuitumia dini ni kuvinja sheria..
Ushirika wao ktk mijadala ya kisiasa ni lazima wavue majohp yao na kuzungumza kama raia na sii viongozi wa dini..

Mkuu Dr.Slaa ni tofauti na Makamba.Dr.Slaa aligombea urais 2010 na kuitingisha sana CCM na bado ni tishio kwa CCM na ndiyo maana unaona hawaachi kumuandama.Makamba ni Katibu Mkuu tu wa CCM.Na isitoshe hakuna 'watu' wanaoihusisha CCM na Uislam kutokana na uwepo wa Makamba,kama wanavyoihusisha CHADEMA na ukristo kutokana na uwepo wa Dr.Slaa.
Kwavile Dr.Slaa anakubalika tayari katika siasa za Tanzania na pengine bado ana nia ya kuwa Rais wa nchii hii,ingempasa aepuke sana kujibishana na hili kundi ambalo halikum support sana katika uchaguzi uliopita.Ilikuwa aendelee kuwa prove wrong critics wake wanaopiga propaganda kuwa ametumwa na Kanisa,kusudi ikifika 2015 basi kura ziwe za kutosha sana!
 
Back
Top Bottom