Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

Dk Slaa asema Mufti hakufanya utafiti

kamshauri kikwete aliyechochea dhana hii ya udini.....
 
Na wakifuata ushauri huu wako ndio watakuwa wameuwasha moto kwani iko wazi kabisa kuwa viongozi wa CHADEMA ni vibaraka wa viongozi wa dini ya ukatoliki, na ndio wao wanaotoa kauli zao na zinapitishwa vinywani kwa kina Slaa na wenzake, na kwenye uchaguzi mkuu makanisa yamedhihirisha hilo wazi kabisa
Kuna watu wanaufinyu wa akili wanadhani wakiwatenga wakristo kwa kuwattack wakatoliki wataweza TEC,CCT ni wamoja weka kichwani hilo ,ukigombana na Wakatoliki ni wakristo wote na nia yenu nikuingiza nchi katika vita vya kidini hakuna itakayeokoka,taifa litaangamia munamwendekeza Jakaya ni mambo ya muda tuu ,siku zitapita hata kwepa hata siku moja dhambi kubwa aliyoingiza kwenye nchi yetu KIKWETE ni shetani anatakiwa atolewe mapepo
 
DOGO PUNGUZA PUMBA HAYO MAWAZO ALIYO TOA Mh NI YA MSINGI NA VIONGOZI KAMA VIONGOZI WANATAKIWA KUYAFATA....WAISLAM BADO NI KUNDI MUHIMU SANA KTK USTAWI WA CDM,KAULI YA KUDAI WAACHWE KAMA WALIVYO NI YA KITOTO SANA NA HAINA MASHIKO HATA KIDOGO.MI NAAMINI KABISA MTANDAO HUU NI WA WATU WALIO MAKINI SANA NA WANAPENDA MAENDELEO YA NCHI HII KWA WATU MSIO NA UPEO NAOMBA MUWE MAKINI KTK KU POST PUMBA ZENU....MNAWEZA LIGAWA TAIFA ILI.

BY dizle

from udom
 
Kwa kifupi waislamu hawashauriki uliza duniani kote labda hawa wa kwetu wawe wa kwanza.
 
DOGO PUNGUZA PUMBA HAYO MAWAZO ALIYO TOA Mh NI YA MSINGI NA VIONGOZI KAMA VIONGOZI WANATAKIWA KUYAFATA....WAISLAM BADO NI KUNDI MUHIMU SANA KTK USTAWI WA CDM,KAULI YA KUDAI WAACHWE KAMA WALIVYO NI YA KITOTO SANA NA HAINA MASHIKO HATA KIDOGO.MI NAAMINI KABISA MTANDAO HUU NI WA WATU WALIO MAKINI SANA NA WANAPENDA MAENDELEO YA NCHI HII KWA WATU MSIO NA UPEO NAOMBA MUWE MAKINI KTK KU POST PUMBA ZENU....MNAWEZA LIGAWA TAIFA ILI.

BY dizle

from udom
 
Na wakifuata ushauri huu wako ndio watakuwa wameuwasha moto kwani iko wazi kabisa kuwa viongozi wa CHADEMA ni vibaraka wa viongozi wa dini ya ukatoliki, na ndio wao wanaotoa kauli zao na zinapitishwa vinywani kwa kina Slaa na wenzake, na kwenye uchaguzi mkuu makanisa yamedhihirisha hilo wazi kabisa
Genius Brain kama unapinga ushauri wa Chadema kukutana na viongozi wa dini ya Kiislam nimekushutukia unayo ajenda ya siri na yenye nia mbaya nyuma yake. Ukweli daima utashinda.
 
Kuna watu wanaufinyu wa akili wanadhani wakiwatenga wakristo kwa kuwattack wakatoliki wataweza TEC,CCT ni wamoja weka kichwani hilo ,ukigombana na Wakatoliki ni wakristo wote na nia yenu nikuingiza nchi katika vita vya kidini hakuna itakayeokoka,taifa litaangamia munamwendekeza Jakaya ni mambo ya muda tuu ,siku zitapita hata kwepa hata siku moja dhambi kubwa aliyoingiza kwenye nchi yetu KIKWETE ni shetani anatakiwa atolewe mapepo

Ww ndio sasa una mapepo, kwani ni ukweli uko wazi kuwa kampeni za uchaguzi mkuu CHADEMA walitumia sana makanisa kufanya kampeni, sasa kama ww huishi Tanzania huwezi kujua, na nina wasiwasi huo. Mambo ya wakatoliki Sumbawanga unayajua ww ?
 
Genius Brain kama unapinga ushauri wa Chadema kukutana na viongozi wa dini ya Kiislam nimekushutukia unayo ajenda ya siri na yenye nia mbaya nyuma yake. Ukweli daima utashinda.

Hilo halitawezekana na viongozi wa kiislamu hawatakubali kwani CDM wao wenyewe waliisha jipambanua wako upande gani wa kidini. Sasa itaonekana kama wanawaletea mzaha mzaha hivi. Na hili liweke utaniambia siku sijazo, wajaribu tu utaona mkuu
 
Hivi karibuni Sheikh Mkuu alitoa kauli ya kuwataka waislam wasishiriki maandamano yanayoandaliwa na Chadema. Baada ya siku moja Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa akajibu kwa kusema Sheikh Mkuu hakufanya utafiti. Kauli ya Slaa ni sahihi lakini haikustahili kutolewa na kiongozi kama yeye katika kipindi hiki ambacho kuna tension kubwa ya udini na mikakati ya makusudi ikifanyika kukihusisha chama hicho na mambo hayo. Slaa kwa kufanya hivyo anataka kukiingiza Chadema na yeye binafsi kwenye mtego wa malumbano ya kidini kitu ambacho kitawanufaisha wapinzani wao CCM. Naishauri Chadema kuwa waangalifu sana na mitego ya aina hiyo na ikiwezekana baadhi ya majibu au matamko yawe yanatolewa na viongozi wa chini kama wenyeviti wa mikoa au viongozi wa jumuia za chama kama BAVICHA ili iwe rahisi kukihami chama endapo kutakuwa na utata kutokana na kauli iliyotolewa. Chadema isione aibu kujifunza kutoka CCM kwa kutoa matamko kupitia jumuia zao kama UVCCM viongozi wa juu wanapotakiwa kuthibitisha husema 'hayo ni maoni yao' hata kama ndio msimamo wa chama. Naomba kuwasilisha.
 
Tupe ushauri wako kwanza, naona wewe ndiye mdini, mbona huku kwetu udini hakuna?, halafu mbona waislamu waelewa wala hawahitaji kusikiliza nani kasema, mtu mwenye akili timamu huamua mambo kwa kufikiri na kwa utashi wake mwenyewe, huchuja na kuamua lipi zuri na lipi baya, ukiona mtu ansubiri kuamriwa hata kufikiri ujue huyo hata ukifanya nini habadiliki maana Ubongo wake haufanyi kazi, so ndugu yangu acha kuwazalilisha waislamu wote ati hawajui nini walifanyalo kwa kuwasikiliza waislamu wachache, acha wao wenyewe wauone ukweli na kuamua cha kufanya, jukumu la Chadema ni kuendelea kuelimisha wananchi juu ya siasa bora, uongozi shirikishi na jinsi uchumi wetu unavyonufaisha watu wachache.
 
wewe unaejiita muhadhiri ndiwe haswaa unaeenedekeza udini. pia inaonekana muislamu wewe. dini zisikupe presha sisi sote ni wamoja ndugu yangu. kikubwa hapa ni kuangalia matatizo ya msingi yanayoikabili jamii yetu na kuona chanzo ni nini ambapo serikali iliyopo madarakani ya ccm ndo ya kuulizwa. kupindishwa hoja kwamba ccm inaulizwa kwa sababu inaongozwa na muislamu ni kukwepa utatuzi.
 
Hivi karibuni Sheikh Mkuu alitoa kauli ya kuwataka waislam wasishiriki maandamano yanayoandaliwa na Chadema. Baada ya siku moja Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa akajibu kwa kusema Sheikh Mkuu hakufanya utafiti. Kauli ya Slaa ni sahihi lakini haikustahili kutolewa na kiongozi kama yeye katika kipindi hiki ambacho kuna tension kubwa ya udini na mikakati ya makusudi ikifanyika kukihusisha chama hicho na mambo hayo. Slaa kwa kufanya hivyo anataka kukiingiza Chadema na yeye binafsi kwenye mtego wa malumbano ya kidini kitu ambacho kitawanufaisha wapinzani wao CCM. Naishauri Chadema kuwa waangalifu sana na mitego ya aina hiyo na ikiwezekana baadhi ya majibu au matamko yawe yanatolewa na viongozi wa chini kama wenyeviti wa mikoa au viongozi wa jumuia za chama kama BAVICHA ili iwe rahisi kukihami chama endapo kutakuwa na utata kutokana na kauli iliyotolewa. Chadema isione aibu kujifunza kutoka CCM kwa kutoa matamko kupitia jumuia zao kama UVCCM viongozi wa juu wanapotakiwa kuthibitisha husema 'hayo ni maoni yao' hata kama ndio msimamo wa chama. Naomba kuwasilisha.

Asingeweza kuacha kusema hivyo kama wale wenye chama wamemuamrisha kufanya hivyo,e.g. Pengo nk
 
Ww ndio sasa una mapepo, kwani ni ukweli uko wazi kuwa kampeni za uchaguzi mkuu CHADEMA walitumia sana makanisa kufanya kampeni, sasa kama ww huishi Tanzania huwezi kujua, na nina wasiwasi huo. Mambo ya wakatoliki Sumbawanga unayajua ww ?

Acha uzembe wa kufikiri kanisa gani waache kufanya kazi za maendeleo kwa waumini wao eti wajikite kusema Dr Slaa apite,munatumia nafasi finyu kuendekeza vitu vya kipumbavu kabisa munabeep mustakabali wa nchi yetu nzuri kwa kuwaingizia wanachi roho za kishetani kwa kutaka tutengane kwa imani za dini wapuuzi na hovyo kabisa na nitasimamia kauli yangu mtu mbaya kabisa kwenye nchi hii ni Jakaya Kikwete mdini,mshari na Shetani mkubwa amepandikiza mbegu ya udini na nadhani anawafadhali
 
Hivi karibuni Sheikh Mkuu alitoa kauli ya kuwataka waislam wasishiriki maandamano yanayoandaliwa na Chadema. Baada ya siku moja Katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa akajibu kwa kusema Sheikh Mkuu hakufanya utafiti. Kauli ya Slaa ni sahihi lakini haikustahili kutolewa na kiongozi kama yeye katika kipindi hiki ambacho kuna tension kubwa ya udini na mikakati ya makusudi ikifanyika kukihusisha chama hicho na mambo hayo. Slaa kwa kufanya hivyo anataka kukiingiza Chadema na yeye binafsi kwenye mtego wa malumbano ya kidini kitu ambacho kitawanufaisha wapinzani wao CCM. Naishauri Chadema kuwa waangalifu sana na mitego ya aina hiyo na ikiwezekana baadhi ya majibu au matamko yawe yanatolewa na viongozi wa chini kama wenyeviti wa mikoa au viongozi wa jumuia za chama kama BAVICHA ili iwe rahisi kukihami chama endapo kutakuwa na utata kutokana na kauli iliyotolewa. Chadema isione aibu kujifunza kutoka CCM kwa kutoa matamko kupitia jumuia zao kama UVCCM viongozi wa juu wanapotakiwa kuthibitisha husema 'hayo ni maoni yao' hata kama ndio msimamo wa chama. Naomba kuwasilisha.
Umenena mkuu,nami uwa mara nyingi napenda viongozi wa cdm wawe makini katika kujibu,si kila kitu lazima wakijabu mfano malumbano yanayoendelea sasa ya kuichafua chadema naomba wao wasijibu huo ujinga kwani ni mkakati wa kuonyesha kuwa hawana jipya,wao wajikite kuonyesha ukweli kwa wananchi uozo wa serikali tu,vyama vingine vinahitaji umaarufu tu kwa kujibizana na cdm wakati huo huo kujipendekeza ccm.
 
Na wakifuata ushauri huu wako ndio watakuwa wameuwasha moto kwani iko wazi kabisa kuwa viongozi wa CHADEMA ni vibaraka wa viongozi wa dini ya ukatoliki, na ndio wao wanaotoa kauli zao na zinapitishwa vinywani kwa kina Slaa na wenzake, na kwenye uchaguzi mkuu makanisa yamedhihirisha hilo wazi kabisa
Mbona umeandika upumbavu mtupu? Hivi viongozi wa dini zote kipindi cha uchaguzi si walikaa na kuongea na vyama vyote
 
Kauli ya Slaa ni sahihi lakini haikustahili kutolewa na kiongozi kama yeye katika kipindi hiki ambacho kuna tension kubwa ya udini na mikakati ya makusudi ikifanyika kukihusisha chama hicho na mambo hayo.

Twas not a 'political correct' statement!
 
Back
Top Bottom