Dk. Slaa afika msibani kwa Sheikh Simba mchana huu

Sikusoma bure, kumbuka hilo.

Najua hukusoma bure lakini ulisomea seminary ya kikatoliki kwa bei poa, kwani kwa pasi zako usingeweza kuzipata Kinondoni muslim na Kibohehe ambazo ndio zilikua seminary za kiislamu tu enzi za ujana wako. Maana naona umri wako uko magharibi zaidi.
 
Sema anawajuwa misukule, maana mnamchangia kwenye mabakuli yeye anamjengea mke wa mtu jumba la kifahari mabwepande. Cheza na Daktari wa kanoni wewe?
Unatamani slaa angekuoa laki wewe ni Elimu duni.

swissme
 
Sema anawajuwa misukule, maana mnamchangia kwenye mabakuli yeye anamjengea mke wa mtu jumba la kifahari mabwepande. Cheza na Daktari wa kanoni wewe?

Vp Elimu ya marehemu, inaeleweka?
 
Umefanya jambo zuri sana umeonyesha ukomavu , kiongozi mkuu wa kitaifa kama dr.slaa ungekosa umma ungekushangaa. Bravo
 
ningependa Mohamed Said aandike tanzia au wasifu mzuri kama kawaida yake.
 
Last edited by a moderator:
Sema anawajuwa misukule, maana mnamchangia kwenye mabakuli yeye anamjengea mke wa mtu jumba la kifahari mabwepande. Cheza na Daktari wa kanoni wewe?

Hakuna mwana ccm mwenye akili timamu,wewe ndo kiongozi wa mataahira ya ccm,that's why ulifukuzwa Canada kwa uchawi.
 
Namba uliyopiga kwa sasa haipatikani tafadhali jaribu tena baadae.
 
Kwa bahati mbaya watanzania hatuchagui "personality"tunachagua MTU atakae simamia rasilimali zetu vizuri ili ziweze kutuletea maendeleo tunayohitaji

Huyo kashindwa kusimamia kanisa, kashindwa kusimamia wanawe, kashindwa kusimamia hawara (jikumbushe ya Khalid Kagenzi). Ataweza kusimamia nchi?

Hivi hizo shule huwa mnakwenda kusomea ujinga?
 
Najua hukusoma bure lakini ulisomea seminary ya kikatoliki kwa bei poa, kwani kwa pasi zako usingeweza kuzipata Kinondoni muslim na Kibohehe ambazo ndio zilikua seminary za kiislamu tu enzi za ujana wako. Maana naona umri wako uko magharibi zaidi.

Huko kuna kusomeshwa ujinga ambako kwa bahati nzuri sana sikupitia.
 
Back
Top Bottom